Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Umemfukunyua wapi tena, sasa kwa stress hizi asipopata wa kumpetpet pengine asingelikuwapo, tuwe wa kweli hakuna mtu asiyependa kupetiwa basi tu ikitokea ukakosa unavumilia bila chuki lakini[emoji2960] Ila kama binti ni underage sasa hapo hatari
Matatizo yanazidi kuongezeka
 
Tena shikamoo yao kubwa; wanasubiri siku za misiba (God forbid), ndiyo watoa taarifa wakuu. Sio kwa surprise hizi kwenye misiba ya siku hizi
Hahaaa...dah!!umeona eeeh!!yaani Mimi untambulishe mtoto msibani.Wallahi namkataa na live!
Ndugu wa mume acheni roho mbaya na nyinyi ni wake pia na km wanaume mtazaa wa kikke watafanyiwa hila hizi hizi!!!

Kuna vitu huyu baba amefunika live kaficha haiwezekani kirahisi hivi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naamini zaidi namba 2
 
Hakiyamungu mzee usipomalizia huu uzi polisi lazima nikupeleke utakuwa unyanyasaji wa hali ya juu
Hahaaa pole ndugu yangu, napaogopa polisi, usiombe kwenda kule,maana huyu mwanamke aliniitia polisi, ndio kwanza nimefika nyumbani saa nane, tu kila nisubili chakula sikioni kuja, nikienda jikoni naona ni maji tu tanachemka

Nadhani kudu iris mala nipo sebureni, naona vijana wa nguvu wanaingia sebureni na mke yupo yupo nyuma anawasmbia, huyo hapo, mala wananiambia ninyanyuke wao ni polisi, nawaambia tatizo nini, wanasema twende utajua huko huko,
Nilikuwa nimevaa bukta nikawaomba niingie chumbani nivae suruali, wanifuata mpaka chumbani,
Kusema kweli nikidhani jamaa ni majambazi , maana niwale wanasimamaga nyumba ya defender, tukaongozana mpaka kituoni, naomba niwanieleze kosa langu, wakagoma, mala vua mkanda, vua viatu, weka simu hapa
Haya ingia rumande huko,

Ilikuwa ni saa kumi na moja tayali, sikuona huu ni usiku au mchana, nilikesha usiku kucha mpaka asubuhi naona watu wanaketa chai, hapo hakuna ndugu yangu hata mmoja anafahamu kama nimewekwa rumande,
Sielwi ilikua ni saa ngapi nikampa Afande fulani sh 5000.
Akanipa simu yake nikampigia yule mwanamke aje anitoe maana kesho yake naingia ofisi is mapema sana,
Alinijibu neno moja tu, KAA HUKO HUKO,
Akakata simu,
Kesho yake kaja kunitoa saa tano!!!!
 

Duh
Mzee unatia huruma.
Afu nikikumbuka kwamba umesema rafiki yako alikuambia huyo mwanamke sio hadhi yako ndio napagawa kabisa.
 
Siku 2 rumande na mkeo wa ndoa hakujua upo wapi? Hakuhangaika kukutafuta?
 
Mmmh atunaga uchambuzi wa maneno mi mwenyewe mke wa ndoa lakini natoaga maneno shombo akizingua mwanaume anakaa analiaaa anajiuliza unanidharau kiasi iki
 
Haya yote yanatokea mke mkubwa alikuwa wapi yani hajaongelewa sana humu
 
We ulirogwaa kaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Utaingizwa kwenye kundi letu acha nilale mie
Waniingize popote mimi naingia tu.

Mtu afanye upumbavu huko halafu aje kuomba ushauri!!ushauri gani Sasa???

Huu ujinga wao wanaoufanya wawage tayari na kuvuna mavuno yake.
Wafanye ujinga waje kutusumbua..ni upumbavu Sana.

Wanajidai presha zimewapanda ,vichwa vya moto kwa ujinga wao..na ziwapande sana hadi watakapoacha upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…