Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Nimewaza nafikiri huyu bwana kuna uwezekano mkubwa kuwa alitelekeza familia kubwa labda ndio maana hii ya huyu bi mdogo inamuuma sana haweza move on.
Ndo manake. Alitelekeza familia huyu. Kinachomuuma atakua aliondoka na shombo kibao kwa mkewe sasa akiwaza dunia imemvua nguo balaa
 
 
Umemaliza mkuu
 
Juzi kuna rafiki yangu,staff nwenzangu kanionyesha text kaulizwa unanpenda,akajibu akaulizwa unanpenda nijiendeleze kielimu?nikacheka
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo akimuendeleza hiyo ndio inakuwa kipimo Cha upendo wa huyo rafiki yako kwake ...enhee alichukua hatua ipi baada ya hapo!?
 
Daa, hizi spana unazopiga kwa bi mdogo hataki mchezo
 
kuna wapumbavu wachache wamebahatika kusoma na kupata kazi bila kukaa mtaani

mahusiano ndo wameanza basi wanahisi wamemaliza kila kitu

mtu hata kulogwa hajawahi unategemea atashauri nn
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unajua ni jina la mtu kule ukonga[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] Hilo mbona Ni jina maarufu Sana Kuna mtunzi wa vitabu Alikuwa anatumia jina Hilo Kama character yake katika masimulizi Yake na simulizi zake zilikuwa nzuri Sana
 
Fanya maamuzi ambayo hayatakugharimu,inawezekana mikono yako inampiga,na huenda mdomo wako unamkataa,vidole vyako vinaandika kumkataa hapa JF lakini moyo wako unamkubali.Kama unamtaka kimapenzi vumilia vitimbia vyake.
 
Pending Ahsante kwa maswali yako na ushauri, lakini vile vile kuingia kwenye hisia zangu, wewe ni mtu,
Hapo juu umezungumzia kidogo kuhusu single Mom, hivi maana ya single mom ni nini, mimi nafahamu ni mama mwenye mtoto, analea peke yake, iwe yupo, alikufa, walitengana. Au Baba hajulikani,
Lakini kiufupi hana mume, sasa ikitokea hivyo ni kwamba unakuta hana mahusiano popote,

Au mahusiano yake yeye ni kwa kwa vijana wasi na wake yaani masingle vilevile,
Au kama ni single maza mtu mzima anakuwa na mahusiano na adult man wa namna gani ambaye hana mke
Je katika mahusiano hayo adult man mwenye mke, naye haitwi mchepuko,?

Au sifa kuu ya single mum na mchepuko ni nini?

Kuhusu swali la tatu la yule jamaa yangu kutonishtua
Ni kwamba Huyu binti pale hakuwa na muda mwingi kihivyo kiasi cha yeye kuifahamu tabia yake, isitoshe bado hata yeye binti alikuwa bado mdogo,

Na binti alikorofishana na mwenzake akaamua kuondoka, labda alianza kuwa na kiburi baada ya kunipata mimi, sijui,
Na inawezekana hata mimi kwa muda alio nisumbua, labda ndio kipindi alipata huyo mwanaume,

Inaonesha ana tatizo la kupenda sana mpaka kumsahau anayemlea na aliyefikisha hapo alipo

Kingine, naomba mkumbuke., huyu amekuja kuharibika kipindi kifupi sana nadhani kwa mambo makubwa ni kama miaka 6 iliyopita, otherwise, maisha yakikuwa mazuri sana,
Naweza kusema alikuwa na vigezo vyote vya kuwa mke wa mtu,

Na ninachoona mimi ni baada ya kuingia na kuwa mmiliki wa nyumba kama akina mama wengi tuliowakuta kule, na lile eneo naweza kusema lilikuwa ni eneo la middle class

Sasa wale middle class wa mama labda walikuwa wanamshangaa Naki’s za kumpa vineno neno vya kama hafit nao,

Maana kule mtaani mbona tuliishi vizuri sana,

Lakini kitu kingine ninachofikiria tungekuwa bado tumepanga inawezekana maelewano bado yangekuwa ni mazuri,
 
Stori yako ume hide vitu vingi sasa KWA tutaojua ku read between lines sema ukweli usaidike acha kuficha Mambo na usitake kulazimisha Mambo, umeachwa baada ya kufulia why siku zote asikuletee mapicha. Mimi kwa swala la wanaume wahangaikaji Kama wewe no mercy at all,kabisa, chakukushauri mrudie muumba na zidisha sala kwa wingi Mungu ni warehema akusaidie bila hivo utakufa siku si zako kwa kweli, hizi case nimeshuhudia nyingi mtaani bad ending ya wanaume ka wewe. Wewe mrudie Mungu zidisha ibada bila hvo acha kujifariji uzee utakutesa sana
 
Kwa muda aliokaa nae hiyo kiserikali ni ndoa tayari, anatakiwa kufuata utaratibu kisheria kumuacha la,si hivyo itakula kwake.
Mkuu hapo hamna ndoa mpaka ile yakwanza ifutwe
So mpaka hapo ni bilabila
Kumbuka mleta mada ameshafikishana na kimeo chake kwaa mchungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…