Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Nakazia.. hawezi kuwa wa KILIMANJARO. Hakuna fala wa hivi... haijawahi tokea. Nimeogopa kuwataja tu[emoji23][emoji23] wataniletea pira hapa
Yani wanawake wa kule si wajinga ka huyu na majority wameishia form four so asingeweza kukosa qualifications za certificate, ila hata huyu mchepuko Hana akili na mwanaume naye hivo hvo michepuko mingine yenye akili angekuwa mbali
 
Mzee anadaganya anataka tu kufarijiwa kuhusu mchepuko na kumpa matumaini, na chepuko limemloga then limemfilisi then kala corner. Hafu ujue kwa mke mkubwa hataki lolote kuhusu huko so it seems mke mkubwa alimtelekeza Long.
Mtu wa ajabu kabisa
 
Mke wa maboksi labda. Si unaona aliaga kwenda kukarangiza...
Kukarangiza, mbona kama alisema aliishia kuunguza 😂 😂 😂
Anakaa kule nyumba ndogo hakuna kelele, pia anashinda na boxer tu, haingizi mwanamke, majirani wanamshangaa!😂
Utunzi wa mahaba niue, uniponde kama nyanya, kumbe wengine wanayaishi,

JF imejua kunipa burudani!!

Everyday is Saturday................................😎
 
Hii inanihusu mimi au?
Sijaelewa mambo ya binti wa Form four,
Nadhani sio mimi
 
Kuna kitu anatuficha

Afiche kwa sababu gani,huyu bwana uandishi wake hauna mtiririko mzuri sana kitu ambacho simshangai kwa kuwa hatungi kitabu. Inavyoonekana Bi mkubwa hambani sana,na pia kazi ya jamaa inamfanya anaweza kumpanga Bi mkubwa kuwa anatoka kikazi ila anakuwa na mishe zake. Hilo la kazi amezungumzia kwenye uzi huko juu
 
Uza nyumba we mzee mbona mzito hivyo

Yaani unasubiri mpaka mgawane?

Dah Mungu aliumba
 
Yani wanawake wa kule si wajinga ka huyu na majority wameishia form four so asingeweza kukosa qualifications za certificate, ila hata huyu mchepuko Hana akili na mwanaume naye hivo hvo michepuko mingine yenye akili angekuwa mbali
Yaan halina kitu kabisa kichwani.. ndo maana unaambiwa chagua marafiki bora. Hivi umewahigi kuona show off za mtu ambaye hana shule?[emoji23]
 
Kuwa mwelewa basi analala siku moja moja kwenye nyumba yake na Bi mdogo kwani madogo wako shule na Bi mdogo yuko Moro.Tafuta huo uzi huko juu
Bimdogo ndo nani? Bimdogo ama mchepuko? Mbona Heaven Sent nimeaona anamuulizia mke na si mchepuko. Wewe ndo hujaelewa mada. Ameuliza analia nini angali mke yuko na anadai wanabond vizuri..
 
Yaan huyu baba amelogwa. Amelogwa akaligeka
 
Hii inanihusu mimi au?
Sijaelewa mambo ya binti wa Form four,
Nadhani sio mimi
Kuna mahali uligusia kuna mchepuko umeamua mpaka kunpangia chumba unajilia zako vyako alimaliza form four sijui mchepuko namba 2. Nakushauri usiongeze matatizo
 
Huyu mtu amevurugwa akavurugika haijabaki hata akili moja

Mimi naamini yule aliyesema mzee anatamani yule mwanamke aseme anampenda
 
Ahsante,
Tatizo nalo wapambe, maana ukishatangaza tu
Nauza wapambe hawa hapa, mala nyumba ina mgogoro mala nini, maana uuzaji wa nyumba ni mgumu, bora uuze gari
Kwahiyo akishajua unauza anakuzuia ama
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji112] ulikuwa unapiga starter tu hujui kama ingewaka na kuanza kuondoka? sasa now endesha hata Kama si dereva jifunze, lasivyo itaanguka vibaya Sana (family) mwisho utakuwa mbaya

Mungu akusimamie ufanye uamzi mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…