Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

nimependa ulivyomjibu vizuro,kwa upole,politely yani hadi raha,napenda aina hii ya majibizano sana sana sana ni kama mtu na ndugu yake mnajadli kitu kwa kuheshimiana.
 
maya wewe ni mfupi kwa kimo?
 
Ndugu usiharalishe uzinzi kwa wanaume?
 
Umetoa hoja nzuri, tatizo siyo kuwa na wake wengi maana hata baadhi ya sisi wenye mke mmoja cha moto tunakiona. Tatizo huyu Kaka yangu ameishi na " mchepuko" kwa jina la "mke mdogo". Kama angekuwa amemuhalalisha na wanajuana na mke mkubwa na pia watoto wanajuana na kutembeleana yasingefika hapa.
 
Na pia Kuna ambao hawana uhakika wa kuwa na Maisha mazuri na huwenda wasifikie Level ya Maisha ambayo Yuko nayo huyu baba...... So busara itawale kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila ni maisha mazuri lakini yenye uchungu ndani yake, amani na furaha anaipata wapi! Wanaipata wale wake zake
 
Miàka 50 u have Been succeed to having some of the crucial properties like Lands, house this is not an easy
 
Next
 
Unauzaje mkuu?
 
Kama ulianza mwanzo kabisa, nilikuwa nasimulia mpaka mwisho kila tukio, baadaye wadau wakawa wanataka nisimulie kwa ufupi, Ndio nikawa naandika kwa vipande, ila kama ukipitia post zote toka mwanza, inaeleweka
Ukifuata kila unachoshauriwa kuandika humu mbali na mategemeo yako simulizi itakosa mvuto.
 
Mzee umevurugwa hasa. Mpaka ukafika tarehe 34 january, si kidogo.
 
Yaani ushauri wote uliopewa umeona bora kuuza nyumba,hatari.
 
Miàka 50 u have Been succeed to having some of the crucial properties like Lands, house this is not an easy
Nashukuru sana Mungu ndugu yangu,
Mie naona nilikuwa muda mwingi nadili tu na wake zangu, sikuwa na habari na kula bata,

Kwa hiyo wakati mwingine huona, maisha hati yakinisaidia kujiinua.

Na hizo property’ ambazo nimezi mention,
Ni kama 60% tu,
Naogopa kutaja nisije kuji expose,

Kusema kweli yule mwanamke angetulia angekuwa na future nzuri sana, lakini amekubali kuwa mjinga kusikiliza mambo ya wanawake wenzie, ambao kusema kweli ni kama walikuwa wanamwonea wivu,
 
Ndugu mbona nilishaelezea huko nyuma sana ukianza utalipata jibu,

Usiishie kwenye ule mwendelezo wa namba 21,

Hapo ni mode kaweka vizuri,
Ila kadri unavoendelea utapata nini kiliendelea.
Okay Shukrani...!
 
Maisha bila furaha hayana maana. Mke mkubwa alishafeli kukupa furaha kabisa. Endelea kutafuta furaha duniani, ila usiwekeze moyo wako wote utaumia tena.
 
Sasa kwanini usibaki na mkeo uachane na huyo anayekusumbua? Yaani nyie wanaume jamani, hivi mkeo akisikia hiyo habari au alishapa habari? Yaani miaka yote hiyo mkeo asijue mwenendo wako? Umemdhibiti vipi asikudukue au atakuwa ni aina ya wale wanawake wapole utasikia acha azurure tu si atarudi nyumbani! Utakuja kufia kwa mchepuko, embu nenda kanisani wakakuombee ili ufahamu wako urudi limbawa likutoke.
 
Sasa kama kakutamkia hivyo wewe unasubili nini yaani ungekuwa kaka yangu, ningekupiga bit languvu na kukutishia kumwambia mkeo songombingo lako hilo, si uachane naye?????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…