Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Hapana Maya, sometimes lazima ubinadamu uchukue nafasi regardless ya mapungufu ya bi mdogo. Ile nyumba na kiwanja kilichouzwa ilikuwa ni kwa ajili ya bi mdogo. Kumnyang'anya hela bi mdogo inayotokana na nyumba yake na wanae sio ubinadamu. Jamaa alikuwa anajaribu kuwa muungwana kuendelea kuyaheshimu makubaliano ya mwanzo kwa sababu nature ya hiyo hela ni ya bi mdogo. Yeye kama baba alikuwa anahakikisha anatoa mwongozo wa matumizi sahihi ya hiyo hela.
nimependa ulivyomjibu vizuro,kwa upole,politely yani hadi raha,napenda aina hii ya majibizano sana sana sana ni kama mtu na ndugu yake mnajadli kitu kwa kuheshimiana.
 
Ubinadamu huo upo upande mmoja
My friend ukiishi na principle za ubinadamu utaishia kuumizwa watu wataichukulia hio kama udhaifu wako
Shida huwezi kuwa binadamu katikati ya wanyama,hujui moyo wa mtu umebeba nini
Huwa na apply ubinadamu baada ya kutendewa ila ukianza kwa unyama huwa natembea na bit hizo hizo,hii dunia haina usawa watu wazuri huishi maisha magumu kama hivyo
maya wewe ni mfupi kwa kimo?
 
Ukiona mitala haina Amani jua mwanaume maskini huyoo!ishu sip amani au furaha hapa kutambulika km mke rasmi halali na haki zote za msingi apate.Kingine hao wenye ndoa za mmoja na kama hivi watoto michepuko kama yotee na mwingine ana ndoa kanisani na ana mke kimila mpk watatu hapo furaha iko wapi.

Sisemi wenye mitala kua hawachepuki ila wakichepuko ni ukahaba na hulka maana wamehalalishiwa kuoa wanne kabisaa.huko kumchuna si akili pia uwe nayo..huyo alinogewa akazaa na tena akijipa moyo ataolewa mke wa pili.

Hakuna mume wa mke mmoja tukubali tukatae!Ingawa tunajipa moyo kua miye ni mke wa kanisani siachiki lakini wengi wanaishi for the sake of watoto tu!Kinaaafiki mnooo au Mali maana wakiwaza kugawana mtu anaona kuanza moja itakua jau!Au ndo Mme anakukimbia anadaaanga anarudi akizeeka anasubiri kufa kanisa lisimtenge.
Ndugu usiharalishe uzinzi kwa wanaume?
 
Pole sana, Tatizo uliamua kujibebesha msalaba wa wake wengi, kwani mke mmoja hakutoshi? Wazazi wetu wameishi ndoa za mke mmoja na wamezeeka pamoja kwa upendo na furaha bila manyanyaso

Hilo onyo au funzo ililotoa hapo liwe kwa wale wanaume wenye tabia kama za kwako

Ukishakuwa na nyumba mbili lazima matatizo yatokee kwa sababu kila mwanamke atataka kuvuta upande wake na kufaidika yeye, hakuna mwanamke anaeweza kuvumilia uke wenza, kama natania waulize waislamu kwa nini wake wenza huwa wanatupiana vijembe

Kwa kifupi, huyo mwanamke yawezekana alikupenda lakini alikua hana imani na wewe kwa sababu alijua fika kwamba wewe ni mali ya wawili so akaamua kutumia hizo mbinu ovu kujilinda au kujifaisisha, bad enough amewalisha sumu moaka watoto, yawezekana hata hao watoto sio wako

Heshimuni ndo zenu acheni nyumba ndogo zitawaletea matatizo na sononeko la maisha

So far what did you achieve from the two wives zaidi ya kuishi maisha ya uongo mwingi, majukumu lukuki na stress zisizobebeka, hata pesa unayoitafut hujaifurahia, nyumba ndo amekutumia mpaka umechoka sasa hakutaki anakuona mzigo

Naamini kama ungeamua kuwa na mke mmoja ungekua mabli sana na watoto wako wangeishi kwa furaha sana
Umetoa hoja nzuri, tatizo siyo kuwa na wake wengi maana hata baadhi ya sisi wenye mke mmoja cha moto tunakiona. Tatizo huyu Kaka yangu ameishi na " mchepuko" kwa jina la "mke mdogo". Kama angekuwa amemuhalalisha na wanajuana na mke mkubwa na pia watoto wanajuana na kutembeleana yasingefika hapa.
 
Na pia Kuna ambao hawana uhakika wa kuwa na Maisha mazuri na huwenda wasifikie Level ya Maisha ambayo Yuko nayo huyu baba...... So busara itawale kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila ni maisha mazuri lakini yenye uchungu ndani yake, amani na furaha anaipata wapi! Wanaipata wale wake zake
 
Miàka 50 u have Been succeed to having some of the crucial properties like Lands, house this is not an easy
 
Akiwa kule, nikapata taarifa kanunua kiwanja kama cha niliona mbili hivi,
Alivvorudi nilimuuliza, akakataa kabisa, nikampigia mama yake kumuuliza, mama tena akakataa,
Ila nilimweleza kwa kutega. Mama kama mtoto wako kaamua kurudi nyumbani. Mwambie tu asifanye kwa kificho huo ni wizi hata watoto wake naogopa wasi je wakapata laana hiyo,

Mama akajibu atakujaje kuishi huku wakati huko ndio kwake?
As nikaona basi bwana isiwe shida,
Nikapotezea nikimsubiri arudi nimuulize.

Mwezi January sasa,
Mwaka 2017,
Fungu la pili kapokea 30 m
Next
 
OMBI WAKUU NA USHAURI

hii nyumba niifanye nini, ni nyumba kubwa,
Ipo kwenye kiwanja cha eka moja,

Eneo ni ni zuri sana, sasa hivi nyumba ni nyingi, lakini ya kwangu kila mtu anaitamani,

Ila bado haijaisha,

Madilirisha nilishaweka ya aluminium bado matatu tu ya dining room
Unauzaje mkuu?
 
Kama ulianza mwanzo kabisa, nilikuwa nasimulia mpaka mwisho kila tukio, baadaye wadau wakawa wanataka nisimulie kwa ufupi, Ndio nikawa naandika kwa vipande, ila kama ukipitia post zote toka mwanza, inaeleweka
Ukifuata kila unachoshauriwa kuandika humu mbali na mategemeo yako simulizi itakosa mvuto.
 
Jan mwanzoni wanarudi tena naamua ngoja tu wakae,
32-Jan hiyohiyo wote wanarudi shuleni kwao

33- January nasikia amerudi analadhimisha apewe funguo, akakataliwa mpaka mimi niwaambie kwa mdomo wangu hao majirani zangu akagombagomba hapo mwishoe aondoke
34 - kesho yake mchungaji akaniita na mke wangu kuomba arudi ndani,

35,-baada ya mazungumzo marefu, anatamkia mchumgaji hii nyumba ni yake, mimi nilishachukua fungu langu, yaani ile mil 15
Mzee umevurugwa hasa. Mpaka ukafika tarehe 34 january, si kidogo.
 
Yaani ushauri wote uliopewa umeona bora kuuza nyumba,hatari.
 
Miàka 50 u have Been succeed to having some of the crucial properties like Lands, house this is not an easy
Nashukuru sana Mungu ndugu yangu,
Mie naona nilikuwa muda mwingi nadili tu na wake zangu, sikuwa na habari na kula bata,

Kwa hiyo wakati mwingine huona, maisha hati yakinisaidia kujiinua.

Na hizo property’ ambazo nimezi mention,
Ni kama 60% tu,
Naogopa kutaja nisije kuji expose,

Kusema kweli yule mwanamke angetulia angekuwa na future nzuri sana, lakini amekubali kuwa mjinga kusikiliza mambo ya wanawake wenzie, ambao kusema kweli ni kama walikuwa wanamwonea wivu,
 
Ndugu mbona nilishaelezea huko nyuma sana ukianza utalipata jibu,

Usiishie kwenye ule mwendelezo wa namba 21,

Hapo ni mode kaweka vizuri,
Ila kadri unavoendelea utapata nini kiliendelea.
Okay Shukrani...!
 
Maisha bila furaha hayana maana. Mke mkubwa alishafeli kukupa furaha kabisa. Endelea kutafuta furaha duniani, ila usiwekeze moyo wako wote utaumia tena.
 
Hivi ninavyoandika hapa, tuligombana sana mpaka kumtupia nguo zake na vitu nje, hiyo ilikuwa tar 4 mwezi huu,
Kisa nilishachoka kuondoka bila kuaga, sasa anasema amekodi mashamva huko moro, aliniaga anaenda nikamkatalia, akaenda kwa nguvu, alivyorudi nikamfukuza, na ugonvi mwingi mpaka watoto wakachangia kunitamkia maneno machafu,

Majirani wakaja wakawaombea, nikawaruhusu waingie ndani, tar 9 Jan yaani siku 4 tu toka nimkataze kwenda moro, kaenda tena bila ruhusa yangu,

Hajarudi mpaka leo,

Ila juzi nilipata taarifa ameonekana anatelemshwa Na gari ya jamaa ambaye nilishamtuhumu kuwa ana mahusiano naye kimapenzi, na hata mwezi wa 11 mwaka jana nilifuma message yake akimwalifu tayari yupo Dar

Nikaamua kumpigia simu huyo bwana nakamkoromea kuwa anaharibu famlia yangu akakataa

Baadaye ni kamuuliza bi mdogo huyo bwana anafanya shughuli gani akasema hafahamu,

Baada ya kuulizia nikasikia baba yake kastaafu kazi ya ualimu kamfungulia duka la nguo,

Hapo nyuma huo mwezi wa kumi na moja mke wangu alinionesha vi tisheti vitatu vipya na kitenge kuwa kanunua kumbe jamaa alipokuja Dar alimhonga
Sasa kwanini usibaki na mkeo uachane na huyo anayekusumbua? Yaani nyie wanaume jamani, hivi mkeo akisikia hiyo habari au alishapa habari? Yaani miaka yote hiyo mkeo asijue mwenendo wako? Umemdhibiti vipi asikudukue au atakuwa ni aina ya wale wanawake wapole utasikia acha azurure tu si atarudi nyumbani! Utakuja kufia kwa mchepuko, embu nenda kanisani wakakuombee ili ufahamu wako urudi limbawa likutoke.
 
Hatujawasiliana toka aondoke kesho anafunga mwezi,
Namshukuru Mungu sasa hivi wala roho yangu haiumii tena, nimeshamwona taka taka, na kusema kweli na mchukia vibaya sana, usiku na mchana naomba asirudi maana sijui ninaweza kumfanya kitu gani



Ameshanitamkia kuwa yupo hapa kwa ajili ya nyumba tu sisi mimi,

Ameshanitamkia mpaka tugawane vyumba,
Sasa kama kakutamkia hivyo wewe unasubili nini yaani ungekuwa kaka yangu, ningekupiga bit languvu na kukutishia kumwambia mkeo songombingo lako hilo, si uachane naye?????????
 
Back
Top Bottom