Kabisa mkuu, ni wajinga sana,Watoto wako wa kuzaa wanakuambia urudi kwenu usimpige mama yao?? Duh! Hawakupendi nini? Yaani wanakushikia mpaka mawe?
Jamaa hivi umeishi na mtu miaka 18, ni ngumu yeye kujua kuwa una nyumba nyingine, au mkoa nina nyumba yangu,Swali la jamaa ni kuwa huu mchepuko ulizijuaje hizo mali?
Imeisha hiyoChet cha ndoa kipo,
Hati za nyumba zote ni jina langu,
Nyumba nikiyouza akakimbia na robo ya pesa inaonesha mimi ndio niliuza yeye akiwa kama shahidi,
Kiufupi vielelezo vyote vinanihusu mimi
Upo sawaImeisha hiyo
Ulivyochuma na bi mkubwa vitabak kuwa Mali yenu na yeye
Hapo pambania ulivyochuma na yeye japo yeye mchango wake ulikuwa VIUNO KITANDANI lakn ndio hvyo n mchango pia
Hao watoto wako upande wa bi mdogo washalishwa sumu tayar ngumu kuwa upande wako labda lije tatizo ambalo mama yao hawez tatua ndio watashtuka na kujua umuhimu wa baba
Kifupi nyumba ndogo kwa sisi wanaume zimeleta majanga na maumivu yasiyo kwisha Kwan wanaoumia n wake zetu wa ndoa fikiria Mungu akakuchukua leo huyo bi mdogo anaweza msumbua had bi mkubwa kudai Mali
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Na hapo uliposema Mungu akakuchukua ndipo pa kuangalia sana,Imeisha hiyo
Ulivyochuma na bi mkubwa vitabak kuwa Mali yenu na yeye
Hapo pambania ulivyochuma na yeye japo yeye mchango wake ulikuwa VIUNO KITANDANI lakn ndio hvyo n mchango pia
Hao watoto wako upande wa bi mdogo washalishwa sumu tayar ngumu kuwa upande wako labda lije tatizo ambalo mama yao hawez tatua ndio watashtuka na kujua umuhimu wa baba
Kifupi nyumba ndogo kwa sisi wanaume zimeleta majanga na maumivu yasiyo kwisha Kwan wanaoumia n wake zetu wa ndoa fikiria Mungu akakuchukua leo huyo bi mdogo anaweza msumbua had bi mkubwa kudai Mali
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Brother fanya maamuzi magumu, Watoto wanamna hiyo wanaweza hata kukuuwa piga chini,hadi hapo akili zao zitakapo warudi wao na Mama yao! Wafungie vio hadi kwa ndg zako wasiguse kabisa,Mali kitu gani kinawatoa imani juu ya Baba yao ambae ndiyo kawatengenezea Msingi wote wa Maisha yao, hata huyo Mama wanaemuwona Kama luluu ni Baba yao ndiyo aliwachagulia, angalu wamshukuru kwa kuwachagulia Mama wanae mpenda!!Kabisa mkuu, ni wajinga sana,
Wamelishwa sumu mbaya sana,
Cha ajabu mpaka sasa hivi mimi ndio nawasomesha,
Lakini kinachouzi sana,mahakamani anasema yeye ndio kawasomesha,
Sasa angalia hatari hii, nilivyowapigia simu watoto kuwauliza jinsi mama yao alivyotamka mahakamani,kama ni kweli yeye ndio kawasomesha,
Jibu lilikuwa‘sisi hatufahamu’, kwa kuwa sisi tulikuwa tunaona ada inalipwa tu,!!!!!
Nilivyowauliza Je mama yenu alikuwa na uwezo wakulipia ada kila semester 2.0m , wakasema bwana eee sisi mambo yenu msituingize .
Dunia hii , we acha tu ndugu yangu
Sijui nikupe pole au nisemaje!! Ila ukweli mnawaumiza sana wake wa ujana wenu, mnooo hamjui tuuu wanaume!! Kwa mambo kama hayo ambayo ww umefanya sabab mwisho wa siku wengi mnarud kwa wak zao baada ya kukamua ujana, stareh na kila raha huko kwingn kwa kuona mke wa kwanza kawa skrepa!!! Basi mnaona damu changa ndo halali yenu na mke hanogesh tn!!Ila sasa huko mahakamani mchepuko kakataa kuwa hakuwa akijua mimi nina mke,
Ameshapewa maujanja na watu,
Na anasema anajua mali zangu zote pamoja na nyumba ya mke mkubwa zote anataka zichanganywe kwenye kesi na kama kugawana, zigawanyee zote
Na hapo uliposema Mungu akakuchukua ndipo pa kuangalia sana,
Maana hilo nimelpata wiki iliyopita tu mahakamani,
Ilikuwa hivi, yeye alitaka kuingiza mambo ya watoto kwenye hii kesi, hasa hasa kuwa mali au nyumba ni ya watoto,
Hakimu akamwambia watoto hawahusiki, watahusika tu kama shauri kingekuwa ni mirathi.,
Sasa hapo maana yake ni nini, siku umeondoka duniani hawa watoto wanaweza kutumiwa na ni mdogo kuja kudai mali ya urithi ya ni mkubwa, kwa hiyo mali zako zote ziuzwe au la mali ulizodhani umemwachia ni mkubwa na watoto wa ni mkubwa watakuja kushtukia wanaitwa mahakamani na watoto wa ni mdogo wapate urithi wao,,
Sasa kama hata wenyewe uliwajengea huko wanaona ni mkubwa kaachiwa maghorofa watakuja kuyadai vile vile, maana kumbe wanahaki hiyo,
Lakini kingine ni nini, huyu bi mdogo anaweza hata kukuondoa duniani kwa njia zake, ili ifunguliwe kesi watoto wapewe chao mapema kama ataona bado unang’ang’ania kuishi tu.
Mambo ni mengi lakini tuwe makini sana
Hayo matoto ni majinga sijapata kuona, chunguza huenda mmoja si wako hapo, na ndiye anayemlisha mwenzake sumu za kukuchukia na kukudharau. Keep my word!Kabisa mkuu, ni wajinga sana,
Wamelishwa sumu mbaya sana,
Cha ajabu mpaka sasa hivi mimi ndio nawasomesha,
Lakini kinachouzi sana,mahakamani anasema yeye ndio kawasomesha,
Sasa angalia hatari hii, nilivyowapigia simu watoto kuwauliza jinsi mama yao alivyotamka mahakamani,kama ni kweli yeye ndio kawasomesha,
Jibu lilikuwa‘sisi hatufahamu’, kwa kuwa sisi tulikuwa tunaona ada inalipwa tu,!!!!!
Nilivyowauliza Je mama yenu alikuwa na uwezo wakulipia ada kila semester 2.0m , wakasema bwana eee sisi mambo yenu msituingize .
Dunia hii , we acha tu ndugu yangu
Afanye uamuzi wa kikatiliBrother fanya maamuzi magumu, Watoto wanamna hiyo wanaweza hata kukuuwa piga chini,hadi hapo akili zao zitakapo warudi wao na Mama yao! Wafungie vio hadi kwa ndg zako wasiguse kabisa,Mali kitu gani kinawatoa imani juu ya Baba yao ambae ndiyo kawatengenezea Msingi wote wa Maisha yao, hata huyo Mama wanaemuwona Kama luluu ni Baba yao ndiyo aliwachagulia, angalu wamshukuru kwa kuwachagulia Mama wanae mpenda!!
Hayo matoto yakitimiza miaka 18 ni ya kuyaacha yaanze maisha yao.Kabisa mkuu, ni wajinga sana,
Wamelishwa sumu mbaya sana,
Cha ajabu mpaka sasa hivi mimi ndio nawasomesha,
Lakini kinachouzi sana,mahakamani anasema yeye ndio kawasomesha,
Sasa angalia hatari hii, nilivyowapigia simu watoto kuwauliza jinsi mama yao alivyotamka mahakamani,kama ni kweli yeye ndio kawasomesha,
Jibu lilikuwa‘sisi hatufahamu’, kwa kuwa sisi tulikuwa tunaona ada inalipwa tu,!!!!!
Nilivyowauliza Je mama yenu alikuwa na uwezo wakulipia ada kila semester 2.0m , wakasema bwana eee sisi mambo yenu msituingize .
Dunia hii , we acha tu ndugu yangu
Usije kunifanyia hivyo mke wa ujana wangu... mini sikuchepuka na wewepole sana.
tamaa ndogo tu leo inakuletea heka hwka.
wanaume mnajuaga sana kuharibu familia zenu.
pole sana
Kuondoa matatizo kwa bimkubwa na wanae endapo lolote litatokea. Huu ni muda muafaka wa kuandika wosia na kuwarithisha kila kitu mlichochuma na bimkubwa. Wosia ufuate taratibu zote za kisheria...Na hapo uliposema Mungu akakuchukua ndipo pa kuangalia sana,
Maana hilo nimelpata wiki iliyopita tu mahakamani,
Ilikuwa hivi, yeye alitaka kuingiza mambo ya watoto kwenye hii kesi, hasa hasa kuwa mali au nyumba ni ya watoto,
Hakimu akamwambia watoto hawahusiki, watahusika tu kama shauri kingekuwa ni mirathi.,
Sasa hapo maana yake ni nini, siku umeondoka duniani hawa watoto wanaweza kutumiwa na ni mdogo kuja kudai mali ya urithi ya ni mkubwa, kwa hiyo mali zako zote ziuzwe au la mali ulizodhani umemwachia ni mkubwa na watoto wa ni mkubwa watakuja kushtukia wanaitwa mahakamani na watoto wa ni mdogo wapate urithi wao,,
Sasa kama hata wenyewe uliwajengea huko wanaona ni mkubwa kaachiwa maghorofa watakuja kuyadai vile vile, maana kumbe wanahaki hiyo,
Lakini kingine ni nini, huyu bi mdogo anaweza hata kukuondoa duniani kwa njia zake, ili ifunguliwe kesi watoto wapewe chao mapema kama ataona bado unang’ang’ania kuishi tu.
Mambo ni mengi lakini tuwe makini sana
Ushauri mzuri sana,Kuondoa matatizo kwa bimkubwa na wanae endapo lolote litatokea. Huu ni muda muafaka wa kuandika wosia na kuwarithisha kila kitu mlichochuma na bimkubwa. Wosia ufuate taratibu zote za kisheria...
Fanya hivyo haraka sana. Anaweza kukuua huyu kichaa wako. Atamsumbua sana bi mkubwa asiye na hatia
Mkuu kwa ajili ya usalama baadae andaa wosia ambao utafuata taratibu zote maana hatujui malengo ya bi mdogo n nnNa hapo uliposema Mungu akakuchukua ndipo pa kuangalia sana,
Maana hilo nimelpata wiki iliyopita tu mahakamani,
Ilikuwa hivi, yeye alitaka kuingiza mambo ya watoto kwenye hii kesi, hasa hasa kuwa mali au nyumba ni ya watoto,
Hakimu akamwambia watoto hawahusiki, watahusika tu kama shauri kingekuwa ni mirathi.,
Sasa hapo maana yake ni nini, siku umeondoka duniani hawa watoto wanaweza kutumiwa na ni mdogo kuja kudai mali ya urithi ya ni mkubwa, kwa hiyo mali zako zote ziuzwe au la mali ulizodhani umemwachia ni mkubwa na watoto wa ni mkubwa watakuja kushtukia wanaitwa mahakamani na watoto wa ni mdogo wapate urithi wao,,
Sasa kama hata wenyewe uliwajengea huko wanaona ni mkubwa kaachiwa maghorofa watakuja kuyadai vile vile, maana kumbe wanahaki hiyo,
Lakini kingine ni nini, huyu bi mdogo anaweza hata kukuondoa duniani kwa njia zake, ili ifunguliwe kesi watoto wapewe chao mapema kama ataona bado unang’ang’ania kuishi tu.
Mambo ni mengi lakini tuwe makini sana
inabidi nikuamini tu mume wa ujana wangu.Usije kunifanyia hivyo mke wa ujana wangu... mini sikuchepuka na wewe
Siwezi kuchepuka mamii. Labda itokee tu shetani akinishindainabidi nikuamini tu mume wa ujana wangu.
usiendekeze Micheps watatuharibia familia
Ni ushauri mzuri sanaMkuu kwa ajili ya usalama baadae andaa wosia ambao utafuata taratibu zote maana hatujui malengo ya bi mdogo n nn
Ningekuwa mm ningesha mwendea KWAMSISI huyo bi mdogo angekuwa ardhini au hawez kuongea
Sitakagi ujinga mm maisha yenyewe mafupi haya
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nyie wangoni washirikina sana.Mkuu kwa ajili ya usalama baadae andaa wosia ambao utafuata taratibu zote maana hatujui malengo ya bi mdogo n nn