- Thread starter
- #1,961
Kabisa mkuu, ni wajinga sana,Watoto wako wa kuzaa wanakuambia urudi kwenu usimpige mama yao?? Duh! Hawakupendi nini? Yaani wanakushikia mpaka mawe?
Wamelishwa sumu mbaya sana,
Cha ajabu mpaka sasa hivi mimi ndio nawasomesha,
Lakini kinachouzi sana,mahakamani anasema yeye ndio kawasomesha,
Sasa angalia hatari hii, nilivyowapigia simu watoto kuwauliza jinsi mama yao alivyotamka mahakamani,kama ni kweli yeye ndio kawasomesha,
Jibu lilikuwa‘sisi hatufahamu’, kwa kuwa sisi tulikuwa tunaona ada inalipwa tu,!!!!!
Nilivyowauliza Je mama yenu alikuwa na uwezo wakulipia ada kila semester 2.0m , wakasema bwana eee sisi mambo yenu msituingize .
Dunia hii , we acha tu ndugu yangu