Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

[emoji1][emoji1]life is too short to be serious that's why pressure zinawaua wallah, mi enjoying my life why should I bother kwa choice ya mtu alochagua na alijua matokeo yake
Hakujua matokeo believe you me!Tungekuwa tunajua matokeo hata kufa tungefia nyumban
 
Basi baada ya muda akaniambia anataka kwenda kwao mala moja sababu mama yake ni mgojwa,
Nilisita kidogo kumruhusu lakini kwa sababu alizungumzia mgonjwa ilibidi nimruhusu,

Lakini usiku huo walikuja binamu zake wawili kumtembelea hapo kwangu,ambao wanakaa kwa yule mdogo wake vilipohifadhiwa vitu,

Muda kidogo yule mtu wangu niliyempa jina la Baba M , akanitaarifu kuna mpango unasukwa wa kusafirisha vitu kesho asubuhi, kuna baadhi vimesafirishwa leo kutanguliza ubungo, vile vikubwa, vilivyobaki vitaondoka kesho,

Kwa hiyo akanipa ushaur siku hiyo nilale hapo ili nimsindikize asubuhi,

Nilimkubalia!
Sasa huyu mama nikaona kama haonyeshi kupendezea na mimi kuendelea kukaa pale mpaka wote ule,

Ilibidi aniulize,

Vipi leo huondoki, nikamjibu wewe kesho si unaondoka hutaki nikuage,
Akanijibu si unaona hawa mabinti wapo? Watalala wapi na wewe ukiwepo,?

Nikamwambia watandikie hapo sebureni chini,

Akakata shauri kuwaruhusu waondoke,
Nadhani wakati anawasindikiza alihisi kama kesho yake nitamsindikizaubungo kwa hiyo kuna mipango ilikuwa inasukwa namna ya kupeleka vile vitas vilivyobaki ubungo,

Mad sana usiku simu yangu msg ikaingia ,
Yule Baba M alinitaarifu mpango uliopo ni wale mabinti watangulie ubumgo, waingi e ndani ya basi halafu wahakikishe vile vitu wameviweka halafu wateeremke na ticketi waiache sehemu fulani kwenye siti,maana anawasiwasi mimi naweza kumsindikiza ubungo,

Basi usiku nilitafakari sana suala hilo, nikaona sio vizuri niende wakati najua kila kitu,
Nisije nikafika huko nikalianzisha, kwanza vitu vikubwa kumbe vilisharangulia mchana,

Nikaamua ngoja kukuche aondoke,

Asubuhi alivyoamka, akaniona mimi naendelea kuchapa usingizi, akaenda kuoga, akavaa haniamshi, baadaye ndio anajistusha, HE HATA KUNISINDIKIZA?

Nikamwambia ulipomaliza kuoga si ungeniamsha,

Pik Pik ikaja akaondoka, baada ya dk kama tano nikasisikia anazuzungumza na binti kwenye,
Fulani Baba ameamka, akamjibu ndio,
Akamuuliza kavaa nguo, yule akasema ndio mama,

Akakata simu, nasikia huko njiani bodaboda alipata shida sana,
Maana mpaka kuna nguo ilimdondoka njiani,

Toka muda huo sikurudi kulala tena, nikawa nje tu natafakari huyu kiumbe,

Muda kidogo nikasikia simu, jamaa yangu kabipigia ananiuliza vipi umeenda ubumgo,
Maana naona mama aliwapigia simu wale mabinti wakimbie haraka Baba fulani anakuja,

Mimi kumbe nipo zangu nyumbani namalazia usingizi wangu

Basi vifaa ndio vikawa vimeondoka hivyo.
 
Kwahiyo alitaka hiyo ml15 uitafute kwa kutumia chanzo kingine ilhali anajua fika una madeni yaliyo kukalia shingoni na Mshahara wako wote asilimia kubwa unaishia kwenye Makato ya madeni hayo !?? Mzee Nisamehe lakini naomba niseme kwamba huyo mwanamke uliingia choo Cha kike ana ushetani ndani yake Hana huruma hata kidogo na wewe
Mzee naye pimbi wambieni watu ukweli mtakuwa huru
 
Hakujua matokeo believe you me!Tungekuwa tunajua matokeo hata kufa tungefia nyumban
Narudia tena why should I bother with someone's choice of life and feel pain. Kila mtu na life lake na kila mtu na changamoto zake na kuonewa huruma hakubadilishi kitu, that's life, mengine tunajitakia wenyewe let's blame ourselves for our actions and not others. So stop blaming for someone action's please, I know hii imewatouch wanaume wengi maana ndo mnaruka ruka huko na mchepuko sasa hzo stress msinimalizie Mimi I have ideas, so stoooooop it, no need ya ku pata sympathy for ur choice of life. Utavuna ulichopaanda in Mwandrys voice.
 
Pole sana kwa hali yako.
Hivi umewahi kuwa na raha hata kufurahia maisha yako na kufanya vitu vinavyokupa peace of mind? Kwa jinsi nilivyokusoma nahisi umepitia vitu vingi hata pesa yako na muda wako mwenyewe hujafurahia.
Utapata msononeko wa mawazo na kuzeeka kwa huzuni ya hali ya juu.
Maisha yako yote ya ujana umekimbizana na stress zote hizo mpaka ulipo sasa.
Mwanaume efforts kwa kweli, ulipigana sana.
 
Alienda huko akakaa kama wiki mbili,
Lakini akiwa kule nikampigia simu mama yake kumpa pole na kumuuliza kama binti yake kaenda na vitu pale, alikataa, ila nilimwona kama
Hakufurahia kitendo cha mtoto, ilibidi amfichie siri, ila nilimwambia kila kitu, na kuwa binti kanisa yields kitu kibaya
 
Siyo kweli, hiyo empire angeitengeneza vipi, nilimchukulia kama mke hasa, na hana tofauti na mke mkubwa, na sasa hivi naye yupo over 40, ukisema mke mkubwa mzito kiuchumi, mimi naona vile vile sio sawa kwani yeye alikosa nini cha kumfanya asiwe mzito, wote wana nyumba na wote watoto wao wameenda shule,kusema mimi nimezeeka nayo sio kweli, kwa taarifa yaani sasa hivi, Mungu apitishie mbali ndio naanza kuona utamu wa maisha, hiyo naisikilizia hasa, nataka nianze sasa kutalii sehemu mbalimbali,

Na kwa taarifa yake nilikuwa nimejipanga kuzeeka naye kwa kuwa nilishaanza kumtafutia kiwanja huko jirani na kijijini kwetu ili kibeneke liendelee, hata gari ningemnunulia,

Halafu mbona namwona naye kama anamabadiliko ya kiutu uzima kulikomimi, kitu gani kinakufanya umwone yeye ni kijana zaidi yangu,
Kumbuka tumeachana miaka minane tu, ujana wote kamaliza akiwa na mimi, leo hii mimi nikienda Club natoka na mtoto wa 25, na wala haoni aibu kukaa na mimi, vipi yeye anaweza kutoka na mtoto wa 25 na akawa happy, au huyo kijana anaweza kuwa happy.

Ila tatizo lingine kubwa ni nalo liona nyinyi wanawake mna chuki na husuda kwa wenzenu wenye maisha mazuri, na hayo maneno yenu ndio chanson cha kuwaingiza chaka na kuharibu kabisa maisha yao
We mzee mbona una vichambo hivo, huyo mke mdogo unambakisha kweli[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Agiza chochote kwa mangi hapo nakuja kulipa.

Kamwe mchepuko hauwezi kuwa halali kisa tuu mmezaa.

Mimi nimemshauri kama anataka awe official basi ni mpaka mke wake aridhie, tofauti na hapo huo utabaki kuwa mpango wa kando tuu.
Hata mke angeridhia.. atabaki KUWA MCHEPUKO.

Tatizo mzee wetu anataka tumpe ushauri mtamu anaotamani kuusikia yeye. Ameshaanguka. Anataka kuinuka lakini hataki kuambiwa ukweli. Hakuna mapenz yoyote hapo. Hakuna kitu.... yaan ajisalikishe mwenyewe kwa mkewe na amweleze kila kitu. Hataki basi aendelee kufuga maradhi. Kwanza huu mchepuko si kawaida. Tena yeye ndo mkatili. Ameikatili ndoa ya mwenzake. Alipo yuko tayari kwa vita ya kumuacha jamaa. Naogopa kutumia maneno mengine juu ya mchepuko yatakua makali sana
 
Akiwa kule, nikapata taarifa kanunua kiwanja kama cha niliona mbili hivi,
Alivvorudi nilimuuliza, akakataa kabisa, nikampigia mama yake kumuuliza, mama tena akakataa,
Ila nilimweleza kwa kutega. Mama kama mtoto wako kaamua kurudi nyumbani. Mwambie tu asifanye kwa kificho huo ni wizi hata watoto wake naogopa wasi je wakapata laana hiyo,

Mama akajibu atakujaje kuishi huku wakati huko ndio kwake?
As nikaona basi bwana isiwe shida,
Nikapotezea nikimsubiri arudi nimuulize.

Mwezi January sasa,
Mwaka 2017,
Fungu la pili kapokea 30 m
 
Hapo kwa chuki tu ndo nimekuona hamnazo that's was my opinion na wala haihusiki na chuki kabisa why should I envy someone older than me ambaye ana shindwa ku handle maisha yake na kuja kulia lia humu kwenye forum tena mwanaume it means your in dillema na huna peace of my mind, maana una force watu wakubaliane na justification zako wakati unaumia na kukukula ndani your not happy at all, tena unagutuka uzeeni dakika ya 59. Hyo sijui kuoa hata wa 18 sio shida je una nguvu za kiume za kutosha maana mabaharia wenzako wana handle hii issue kikawaida.
Wewe kubali uliingia Cha kike acha kutafta justification Ili upoze machungu ka viwanja hata mimi ninavyo sembuse mzee mzima unayekaribia ku expire kweli, pole hii kitu itakukula then mkeo ndo wa kuja kukulea so hyo kujenga sio viwanja watu wengi Wanavyo, so usione kuandika hivo eti mie nitaona wivu kwa kipi hasa shaaaaa in maasai voice.
Wewe tuliza mshono wako bwana ur not exceptional watu Wana wake wengi na hawajilizi Hadi sasa kuhangaika na mchepuko ni kwamba huna amani
Nguvu za kiume jamani[emoji134][emoji134][emoji1745]
 
Narudia tena why should I bother with someone's choice of life and feel pain. Kila mtu na life lake na kila mtu na changamoto zake na kuonewa huruma hakubadilishi kitu, that's life, mengine tunajitakia wenyewe let's blame ourselves for our actions and not others. So stop blaming for someone action's please, I know hii imewatouch wanaume wengi maana ndo mnaruka ruka huko na mchepuko sasa hzo stress msinimalizie Mimi I have ideas, so stoooooop it, no need ya ku pata sympathy for ur choice of life. Utavuna ulichopaanda in Mwandrys voice.
How old are you?
 
Mungu wangu,
Mengine wala si ya kucheka,
Ngoja nipaze sauti.

WANAUME TUANZE KUJIONEA HURUMA KWANZA SISI WENYEWE NA MENGINE BAADAYE, HALAFU TUWAPENDE SANA NDUGU ZETUWA KUZALIWA,HAO WATAKUFANA SISI,

KUSOMESHA WATOTO SAWA LAKINI USIJIUMIZE FANYA KWA KIASI ,

ANGALIA SANA FUTURE YAKO MWENYEWE KWANZA BAADAYE HUKO MBELE ITABIDI UJITUNZE MWENYEWE
Pole sana, Tatizo uliamua kujibebesha msalaba wa wake wengi, kwani mke mmoja hakutoshi? Wazazi wetu wameishi ndoa za mke mmoja na wamezeeka pamoja kwa upendo na furaha bila manyanyaso

Hilo onyo au funzo ililotoa hapo liwe kwa wale wanaume wenye tabia kama za kwako

Ukishakuwa na nyumba mbili lazima matatizo yatokee kwa sababu kila mwanamke atataka kuvuta upande wake na kufaidika yeye, hakuna mwanamke anaeweza kuvumilia uke wenza, kama natania waulize waislamu kwa nini wake wenza huwa wanatupiana vijembe

Kwa kifupi, huyo mwanamke yawezekana alikupenda lakini alikua hana imani na wewe kwa sababu alijua fika kwamba wewe ni mali ya wawili so akaamua kutumia hizo mbinu ovu kujilinda au kujifaisisha, bad enough amewalisha sumu moaka watoto, yawezekana hata hao watoto sio wako

Heshimuni ndo zenu acheni nyumba ndogo zitawaletea matatizo na sononeko la maisha

So far what did you achieve from the two wives zaidi ya kuishi maisha ya uongo mwingi, majukumu lukuki na stress zisizobebeka, hata pesa unayoitafut hujaifurahia, nyumba ndo amekutumia mpaka umechoka sasa hakutaki anakuona mzigo

Naamini kama ungeamua kuwa na mke mmoja ungekua mabli sana na watoto wako wangeishi kwa furaha sana
 
Back
Top Bottom