Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Watu viherehere Kaka,Mwitore wasikuharakishe,hawana ushauri wanataka umalize wakushambulie na,kukucheka.
Shunie
Epsy
Carha
Maya ETC

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee umenifurahisha siwezi kumcheka kwanza anaonekana ni Baba bora hilo namsifu mi mwanaume akiwa responsible hilo tu ni muhimu mapungufu mengine ni ya kibinadamu kila mmoja ana yake
My dear friend relax mimi nawawazia vijana mabaharia ambao kwa sasa wanaona Kama wana wakomesha wanawake kwa upendo tu sasa inaonekana kama nawaombea mabaya[emoji28][emoji28][emoji28]ofcoz nachomekea viutani hapa na pale msi mind sana mambo ya kukumbushana tu haya[emoji1376]
 
Akiwa kule, nikapata taarifa kanunua kiwanja kama cha niliona mbili hivi,
Alivvorudi nilimuuliza, akakataa kabisa, nikampigia mama yake kumuuliza, mama tena akakataa,
Ila nilimweleza kwa kutega. Mama kama mtoto wako kaamua kurudi nyumbani. Mwambie tu asifanye kwa kificho huo ni wizi hata watoto wake naogopa wasi je wakapata laana hiyo,

Mama akajibu atakujaje kuishi huku wakati huko ndio kwake?
As nikaona basi bwana isiwe shida,
Nikapotezea nikimsubiri arudi nimuulize.

Mwezi January sasa,
Mwaka 2017,
Fungu la pili kapokea 30 m
Hapa kwenye kumpa tena hela toka fungu la pili aisee nimeshindwa kukuonea huruma pamoja na makashkash yaliyotokana na fungu la kwanza.

Ungekua karibu yangu ningekunasa vibao kama vitatu hivi ili akili ikukae sawa. Shubaaamit
 
Mama ya vifaa nimeumia, nimemuuliza sana kagoma kabisa kunikubalia, na michezo yote waliyocheza na wale mabinti, na kiwanja, bado hakubali,

Sasa toka kipindi tumepokea pesa ya kwanza, kulikuwa na ubishani mkubwa sana kuhusu tununue wapi kiwanja,

Mimi ushauri kiwanja kinunuliwe upande wa njia ya kwenda kwangu au mbele ya kwangu, na kuna eneo ambalo nilililenga, lina potential kwa siku za baadaye, na pili mwendo wa kwenda kwake kusema kweli ulikuwa ni mrefu, wakati nimempata nilikuwa maeneo ya mjini kati, na kwenda kwake ilikuwa kama km 20,

Baada ya mimi kuhamia makazi mapya
Mwendo ukaongezeka ikawa km 37,
Nikitoka kwake saa moja usiku nafika kwangu sio chini ya 4.5 au saa tano foleni ikikaza,

Lakini yeye aligoma kabisa,
Kumbuka pesa ameshika yeye!

Eneo nililiopendkeza huku upande wangu ni kama km 10 kumi, nikichukua boda na dala dala ni nusu saa tu nipo ndani mwangu,

Yeye alikuwa akipendekeza eneo lake ni km 20 zaidi kwenda opposite direction!
Yaani alipo hapo kwenda ndani zaidi huko,

Kutoka huko sasa mpaka kwangu ni km 52,

Sasa jamani hii ni kitu gani tena?
Kusema kweli sasa hapo, nilisema liwalo na liwe, nilishika nikataka kupiga, baadaye nikaacha, nikamwambia naomba nipe pesa zangu, na kuachana tuachane, nitakugawia pesa ukajenge huko kwenu,
Watoto wakalia sana wakisema baba usituache,
Nilivyosikia sauti hizo nilimwachia baadaye nikaona nalia mwenyewe tu, huku natetrmeka mbaya sana,
Baadaye nikamsikia mtoto mmoja anamuuliza Kwani mama wewe we ukoje,

Siku nyingine tutamwacha baba akupige,
 
Sio kujionea huruma thamini sana familia uliyopewa na Mungu vile viapo tunavyokusemaga wakati wa ndoa huwa vinaandikwa mpk kwa Mungu ndio maana tunapata kichapo tuki geuka kile kiapo. Wapo wanaume waliozeeka vizuri na familia zao wanatunzwa na watoto na wajukuu kwa heshima zote.

Kuna rafiki ya baba yangu yeye ana story kama yako bahati mbaya mke mkubwa alifariki but yeye alimjali sana mke na watoto wa bi mkubwa mbaya zaidi wale watoto wa bi mdogo wote ni wavuta bangi maana alizaa two boys na bi mdogo. Hawa two boys wamekuwa mwiba kwake yaani mpk last month kamwambia baba yangu ktk dhambi ambayo ninetenda hii imeniumiza maisha yangu yote.

Bahati yake watoto wa bi mkubwa wanamtunza sana. Binti yake mmoja yuko huko kwa wazungu mara nyingi huwa anamtumia ticket at least twice a year aende kukaa na wajukuu.

So usiogope watoto wako watakupenda kama uliheshimu mama zao.
Umesema vema sana, tatizo wanaume wanapoona kasoro ndogo kwa mkewe wa ndoa badala ya kukaa chini na kurekebishana anakimbilia kwa mchepuko bila.kujua huko ndo kwenyw majanga zaidi
 
Hapa kwenye kumpa tena hela toka fungu la pili aisee nimeshindwa kukuonea huruma pamoja na makashkash yaliyotokana na fungu la kwanza.

Ungekua karibu yangu ningekunasa vibao kama vitatu hivi ili akili ikukae sawa. Shubaaamit

Semeni nyie tukisema sisi mnasema tunamuonea
Hivi unawezaje kumpa tena 30m jamaniiii mbona nimetamani kutoa chozi
Huyu baba alikuwa under madawa sio kawaida[emoji19][emoji19]
 
Mama ya vifaa nimeumia, nimemuuliza sana kagoma kabisa kunikubalia, na michezo yote waliyocheza na wale mabinti, na kiwanja, bado hakubali,

Sasa toka kipindi tumepokea pesa ya kwanza, kulikuwa na ubishani mkubwa sana kuhusu tununue wapi kiwanja,

Mimi ushauri kiwanja kinunuliwe upande wa njia ya kwenda kwangu au mbele ya kwangu, na kuna eneo ambalo nilililenga, lina potential kwa siku za baadaye, na pili mwendo wa kwenda kwake kusema kweli ulikuwa ni mrefu, wakati nimempata nilikuwa maeneo ya mjini kati, na kwenda kwake ilikuwa kama km 20,

Baada ya mimi kuhamia makazi mapya
Mwendo ukaongezeka ikawa km 37,
Nikitoka kwake saa moja usiku nafika kwangu sio chini ya 4.5 au saa tano foleni ikikaza,

Lakini yeye aligoma kabisa,
Kumbuka pesa ameshika yeye!

Eneo nililiopendkeza huku upande wangu ni kama km 10 kumi, nikichukua boda na dala dala ni nusu saa tu nipo ndani mwangu,

Yeye alikuwa akipendekeza eneo lake ni km 20 zaidi kwenda opposite direction!
Yaani alipo hapo kwenda ndani zaidi huko,

Kutoka huko sasa mpaka kwangu ni km 52,

Sasa jamani hii ni kitu gani tena?
Kusema kweli sasa hapo, nilisema liwalo na liwe, nilishika nikataka kupiga, baadaye nikaacha, nikamwambia naomba nipe pesa zangu, na kuachana tuachane, nitakugawia pesa ukajenge huko kwenu,
Watoto wakalia sana wakisema baba usituache,
Nilivyosikia sauti hizo nilimwachia baadaye nikaona nalia mwenyewe tu, huku natetrmeka mbaya sana,
Baadaye nikamsikia mtoto mmoja anamuuliza Kwani mama wewe we ukoje,

Siku nyingine tutamwacha baba akupige,
Ningekua ni mimi

Hiiiiiiiiiiiiii 🔫🔫🔫🔫
 
Semeni nyie tukisema sisi mnasema tunamuonea
Hivi unawezaje kumpa tena 30m jamaniiii mbona nimetamani kutoa chozi
Huyu baba alikuwa under madawa sio kawaida[emoji19][emoji19]
Tatizo story mmeidandia katikati au hamsomi kwa umakini. Kwa kukusaidia tu ni kwamba kulikuwa na makubaliano ya hiyo hela iwe deposited kwenye account ya bi mdogo. Mnunuzi wa hicho kiwanja na ile nyumba na kila kilichokuwa ndani aliambiwa hiyo hela ataideposit kwenye account ya bi mdogo. Kumbuka hicho kiwanja na nyumba iliyouzwa ilikuwa nyumba aliyojengewa bi mdogo. Please muwe wafuatiliaji wazuri kabla hamjaanza kulaumu.
 
Basi hapo nikawa nimeshinda mimi,
Nikafuatilia vile viwanja, nikafanikiwakupata mtu alikuwa anauza shamba lake kakata viwanja 20/20 kama 100 hivi kila kiwanja wanauza sh 3m,
Nikachukua vitano kiubishi,
Vimefuatano nikasema mambo mengine mbele kwa mbele,

Hata huvyo nilinogewa nikamwomba anipe kila ili kuwa squire nzuri, ila pesa nitampa kidogo,
Akanipa miezi mitatu, nikaona poa tu,

Kwa hiyo nikawa na viwanja sita vya 20/20
Tukapanga siku ya malipo,

Sasa siku ya malipo ikawa bahati mbaya imeangukia mimi nimepata kisafari nje, ndege inaondoka saa 10, madhani ilikuwa Swiss Air
Reporting time 2 hr before natakiwa siku hiyo hiyo niende mahitaji ya mwisho ya safari,

Ilikuwa ngumu kuongazana naye kwenye malipo,
Nakamkabidhi hilo jukumu,

NINI KILITOKEA
STAY TUNED!
 
Wee jamaa acha bhangii...!!!

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Tatizo story mmeidandia katikati au hamsomi kwa umakini. Kwa kukusaidia tu ni kwamba kulikuwa na makubaliano ya hiyo hela iwe deposited kwenye account ya bi mdogo. Mnunuzi wa hicho kiwanja na ile nyumba na kila kilichokuwa ndani aliambiwa hiyo hela ataideposit kwenye account ya bi mdogo. Kumbuka hicho kiwanja na nyumba iliyouzwa ilikuwa nyumba aliyojengewa bi mdogo. Please muwe wafuatiliaji wazuri kabla hamjaanza kulaumu.

Eish nimeanza story toka mwanzo

Yani kwa akili hata ya mtoto wa chekechea wewe ungeona dalili zile za kwanza kutoka kwa bi mdogo ungebaki na plan ya kumuwekea mil 30 za awamu ya pili tena kwake si angebadili aweke account yake mpaka abaini ukweli

Hatupo hapa kumpigia makofi huyu baba kuna sehemu alikosea na sisi tunatoa tu maoni kama ingekuwa mimi ningefanyaje we endelea tu kusoma hii story sisi wa kudandia hatuachi tupo hapa mpaka iishe na sehemu nikiona sio ntaweka comment sipangiwi [emoji6]
 
Back
Top Bottom