Mwitore kaka you are very strong.Hao wanaokukejeli hawajui maisha,wanatakiwa wajifunzr.
Vijana wengi wanaishi kwa mijimama au nyumbani kwao,wanatarajia wakiwa na miaka 40 wawe na majumba.
Wadada wengi humu wamezalishwa wanalea watoto peke yao kwa sababu ya viburi,dharau na kejeli.They have lost focus ya maisha.Hawaoni mwanga wowote mbele kaz yao nikukukatisha tamaa.
Makundi hayo achana nayo ukiweza usiwajibu.Masna hujaja,hapa kushindana wao wanataka mshindane.Ukifuatilia wanakuita muongo,mjinga mpumbavu unapaswa kuwaacha watuelezee wao ukweli na mpaka namba ya kiwanja wanakijua kwa ujuaj wao.
Ni kweli, hata mimi hawanipi shida zaidi ya kuwashangaa,
Mitaani humu kuna mambo mengi sana ya aibu yanafanyika, lakini wanaona ya kwangu ni funga kazi
Sawa niliharibu, na nimekubali, sasa wanataka nini zaidi,
Nirudishe saa nyuma?
Maana nimetukanwa kila aina ya matusi, lakini uzuri bado sijadhulumiwa na maisha yangu yanaendelea,
Sina wasiwasi wa kubadili mboga, nikiwaambia hivyo kuwa nipo njema sana bado, hawapendi,
Naona raha yao ni kusikia naomba naomba mtaani, kisa nimekwisha, dhoofu bin taaban.
Kama ulivosema wamo humu wanatunzwa na wamama, , na wanajiona kama wapo sawa
Wengine 35 years bado wapo kwa wazazi,kutwa kuomba pesa za bando
Wengine humu ni wadangaji tu hawana mbele wala nyuma,
Wengine mpaka leo 55 years hawana hata kiwanja, na walikuwa na uwezo wa kujenga
Jamani ee tukaneni sana, lakini mimi maisha nasema namshukuru mungu niliyainjoy
Labda kwa hiki kipindi kifupi sana,
Na nina uhakika ukiwa kama binadamu vipindi vigumu vipo tu, kama hujapitia mwombe mungu akupe maisha marefu ili uone kama wewe ni malaika
Wengine wamama humu wanajifanya malaika, mbona kila siku kwenye magesti hawakosekani,
Na wengi sana ni wake za watu kabisa,
Hivi wewe mwanaume mwenzangu utakaa unaamini kabisa mke wako hacharazwi huko, eti kisa pete ya ndoa,
Ndugu yangu haya maisha ni mafupi sana kama una uwezo yayafurahie, lakini tu timiza wajibu wako wa familia full stop
Tunawaona maofini huko kujichelewesha kuondoka tu, kumbe wana mipango yao na ni humohmo maofisini wanamalizana,
Sasa huko safarini, mama mama yangu wee
Temea mate chini, maana hata kuku wana afadhali, ni vurugu mtindo mmoja,
Wewe baba au mama upo nyumbani eti baba au mama yupo safarini ana pete yangu, thubutu,
Nimemwona mama wa makamo yupo safarini tena kainamishwa na dereva wake uchochoroni pembeni ya gari, nilitaka kuanguka,
Nilisema kinachotutofautisha sisi binadamu na wanyama ni nguo tu,
Tena afadhali ya wanyama, sisi ni zaidi,
Sio wanawake, sio wanaume, sio vijana sio wazee
Uwe na pesa usiwe nazo utaenda hata kubaki tu,
Kwa hiyo kuwa kwangu na nyumba ndogo mimi binafsi sikuona kama nimepungukiwa na kitu,
Naona wengine wanaona ni bora kununua mwanamke kila siku? Sasa shida yote ya nini
Yaani kila siku uwe ni mtu wa kuonja mala hapa pako hivi mala pale pako hivi,
Jamani hizi kitu zinatofautiani, patakapokulizhisha huwa kambi inakuwepo
Ahsante