Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Mwanzo nilisema aseme ukweli upande wa bi mkubwa baadae akaja kukiri bi mkubwa alikuja kujua huu mchepuko
Bado kuna kitu hajasema baada ya kujua nini kilifuata, asiseme mambo yaliisha kwa amani
Kwa hiyo, nisemee wewe basi,
Maana naona raha yako ni kutaka kujua bi mkubwa labda alijinyonga au aliondoka,
Au tulivurugana,
Kwa taarifa yako yupo amejaa tele, wala hana habari na upuuzi huu,

Kuna ndugu yangu mmoja alijaribu kumletea umbea wa mambo yangu, weee , alimpa vipande na kumwambia aishie hapo hapo kama hana cha kuzungumza aondoke,

Kiufupi hataki kusikia habari za mambo yangu ya huko
 
Mwitore kaka you are very strong.Hao wanaokukejeli hawajui maisha,wanatakiwa wajifunzr.
Vijana wengi wanaishi kwa mijimama au nyumbani kwao,wanatarajia wakiwa na miaka 40 wawe na majumba.
Wadada wengi humu wamezalishwa wanalea watoto peke yao kwa sababu ya viburi,dharau na kejeli.They have lost focus ya maisha.Hawaoni mwanga wowote mbele kaz yao nikukukatisha tamaa.
Makundi hayo achana nayo ukiweza usiwajibu.Masna hujaja,hapa kushindana wao wanataka mshindane.Ukifuatilia wanakuita muongo,mjinga mpumbavu unapaswa kuwaacha watuelezee wao ukweli na mpaka namba ya kiwanja wanakijua kwa ujuaj wao.
Ni kweli, hata mimi hawanipi shida zaidi ya kuwashangaa,
Mitaani humu kuna mambo mengi sana ya aibu yanafanyika, lakini wanaona ya kwangu ni funga kazi

Sawa niliharibu, na nimekubali, sasa wanataka nini zaidi,
Nirudishe saa nyuma?
Maana nimetukanwa kila aina ya matusi, lakini uzuri bado sijadhulumiwa na maisha yangu yanaendelea,

Sina wasiwasi wa kubadili mboga, nikiwaambia hivyo kuwa nipo njema sana bado, hawapendi,

Naona raha yao ni kusikia naomba naomba mtaani, kisa nimekwisha, dhoofu bin taaban.

Kama ulivosema wamo humu wanatunzwa na wamama, , na wanajiona kama wapo sawa

Wengine 35 years bado wapo kwa wazazi,kutwa kuomba pesa za bando

Wengine humu ni wadangaji tu hawana mbele wala nyuma,

Wengine mpaka leo 55 years hawana hata kiwanja, na walikuwa na uwezo wa kujenga

Jamani ee tukaneni sana, lakini mimi maisha nasema namshukuru mungu niliyainjoy

Labda kwa hiki kipindi kifupi sana,
Na nina uhakika ukiwa kama binadamu vipindi vigumu vipo tu, kama hujapitia mwombe mungu akupe maisha marefu ili uone kama wewe ni malaika

Wengine wamama humu wanajifanya malaika, mbona kila siku kwenye magesti hawakosekani,
Na wengi sana ni wake za watu kabisa,

Hivi wewe mwanaume mwenzangu utakaa unaamini kabisa mke wako hacharazwi huko, eti kisa pete ya ndoa,

Ndugu yangu haya maisha ni mafupi sana kama una uwezo yayafurahie, lakini tu timiza wajibu wako wa familia full stop

Tunawaona maofini huko kujichelewesha kuondoka tu, kumbe wana mipango yao na ni humohmo maofisini wanamalizana,

Sasa huko safarini, mama mama yangu wee
Temea mate chini, maana hata kuku wana afadhali, ni vurugu mtindo mmoja,

Wewe baba au mama upo nyumbani eti baba au mama yupo safarini ana pete yangu, thubutu,

Nimemwona mama wa makamo yupo safarini tena kainamishwa na dereva wake uchochoroni pembeni ya gari, nilitaka kuanguka,

Nilisema kinachotutofautisha sisi binadamu na wanyama ni nguo tu,

Tena afadhali ya wanyama, sisi ni zaidi,

Sio wanawake, sio wanaume, sio vijana sio wazee
Uwe na pesa usiwe nazo utaenda hata kubaki tu,

Kwa hiyo kuwa kwangu na nyumba ndogo mimi binafsi sikuona kama nimepungukiwa na kitu,

Naona wengine wanaona ni bora kununua mwanamke kila siku? Sasa shida yote ya nini

Yaani kila siku uwe ni mtu wa kuonja mala hapa pako hivi mala pale pako hivi,

Jamani hizi kitu zinatofautiani, patakapokulizhisha huwa kambi inakuwepo

Ahsante
 
Sasa hao wa mke wa tatu kwanini wasimtunze? Kwahiyo bimkubwa naye ndiyo anakula matunda sahizi na baba baada ya kushiba anazoa makapi kutesa kwa zamu.
Wa mke wa Tatu wote hohehahe hakuna anayejiweza. wa bi mkubwa baba yao aliwatekeleza wakiwa wadogo wakt kanogewa na penzi la dogo dogo. Sasa hivi ndio pay back time.
 
Sidhan km alimpenda, huyu bwana alikuwa sponsor ndo walipoanzia na kuzaa hasa mimba ya kwanza ilitokea tu na kwa binti hiyo ilikuwa km daraja la kujiunganisha na sponsor kwa kuwa lazima atalea mtoto. Pili bint alivutiwa na mzee kwa kuwa alionyesha huruma na kumjali jambo ambalo kwa wakati huo ndo alilihitaji.
Kitu ambacho hakujiuliza mwanzo ni hulka ya binti, kitendo cha kuondoka kwa ndugu na kuanza maisha ya kuhaso ni kiashiria kwamba ni mtu wa kujitawala na dizaini hii hutaka uhuru wakishakuwa na hela na huona kuwa na mwanaume wa kumtawala ni utumwa.
Umemaliza, lakini hata hata hivyo mbona kuna mabinti wengi sana tunaishi nao,
Nadhani ni mbinu vilevile ya kutafuta ndoa maeneo tofauti,
Mimi nimeshakaa na mabinti wa kazi wawili na wameolewa kutokea kwangu hapa, mmoja kaolewa na mdogo wangu kabisa,

Nadhani ni hulka tu ya kila binadamu,

Ila kwa huyu wakwangu umepatia kabisa, yaani kabisaa
 
Wa mke wa Tatu wote hohehahe hakuna anayejiweza. wa bi mkubwa baba yao aliwatekeleza wakiwa wadogo wakt kanogewa na penzi la dogo dogo. Sasa hivi ndio pay back time.
Majuto mjukuu , ila kaka zetu wajomba kina Baba wala hawaelewi, tena waume zetu wakizazi hiki utasikia huyu mke dawa yake kumpandisha cheo[emoji23], wanawa tengenezea sumu, MUNGU naye huwaona, halafu MUNGU naye anakuweka maisha mareeef ili ujifunze [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbona nimeashaamua kumwacha,
Na sasa hivi ana mwezi mzima hayupo hapa nyumbani, aliindoka kwa bila kunitaarifu,
Ila nasilkia yupo kijijini kwao

Na mimi naomba sana kwa mungu asirudi,

Sasa swali lako la mimi naamua nini,?

1- Watoto wote wapo shule, nina wasiwasi anategea warudi, likizo ya pasaka naye arudi
, ingawa kweli akirudi nitamshangaa sana,
Hapo itaanza mambo ya ugomvi tena, na tulipofikia sasa ugonvi ukianza watu wanatoka nje ( majirani)

2–nyumba sasa hivi nimeifunga hakuna mtu, ingawa bado naenda na ninalala huko wakati mwingine, sasa akirudi anikute nitamfukuza, au nitafunga nyumba Na kuondoka,
Sasa sielewiataenda kwa mjumbe au polisi, ingawa mjumbe tayari naye keshamchukia kwa tabia zake

3– sitaki mambo ya polisi tena kwenda kushtakiana,
Sasa sielewi kama polisi wanaweza kunilazimisha nimfumgulie nyumba au huo uwezo hawana, kama hawana natashukuru sana
Dah, Yani inaonesha unampenda sana bi mdogo kwa yote aliyokufanyia lkn bado unamngoja arudi ndio ujue lakufanya, Ila najua bi mdogo akikupigia goti na akakupa utamu lazma umsamehe tu.
Pia kaa ujue hiyo nyumba sio yako ni yenu hatakama ulimpa pesa ya yeye kununua kiwanja hicho, na uthibitisho ni mmliki wa kiwanja aliyewauzieni na vitu vyake alivyo viacha hapo ndani kwahiyo siku akirudi ukiwa haupo atavunja kufuri na vitasa kisha ataingia ndani na hautakuwa na uwezo wa kumfukuza.

USHAURI: Hiyo nyumba mwachie bi mdogo na watoto wake kama urithi wao kutoka kwako.
Pia tafuta mwanamke mwingie umpangishia awe anakuliwaza na kukupatia tendo la ndoa maana naona bi mdogo hataki kukupatia (zaidi ya miezi miwili hayupo) na pia nahisi bi mkubwa hakupati unyumba, Hii itakusaidia kupunguza mawazo juu ya wake zako.
 
Dah, Yani inaonesha unampenda sana bi mdogo kwa yote aliyokufanyia lkn bado unamngoja arudi ndio ujue lakufanya, Ila najua bi mdogo akikupigia goti na akakupa utamu lazma umsamehe tu.
Pia kaa ujue hiyo nyumba sio yako ni yenu hatakama ulimpa pesa ya yeye kununua kiwanja hicho, na uthibitisho ni mmliki wa kiwanja aliyewauzieni na vitu vyake alivyo viacha hapo ndani kwahiyo siku akirudi ukiwa haupo atavunja kufuri na vitasa kisha ataingia ndani na hautakuwa na uwezo wa kumfukuza.

USHAURI: Hiyo nyumba mwachie bi mdogo na watoto wake kama urithi wao kutoka kwako.
Pia tafuta mwanamke mwingie umpangishia awe anakuliwaza na kukupatia tendo la ndoa maana naona bi mdogo hataki kukupatia (zaidi ya miezi miwili hayupo) na pia nahisi bi mkubwa hakupati unyumba, Hii itakusaidia kupunguza mawazo juu ya wake zako.
 
Ni kweli, hata mimi hawanipi shida zaidi ya kuwashangaa,
Mitaani humu kuna mambo mengi sana ya aibu yanafanyika, lakini wanaona ya kwangu ni funga kazi

Sawa niliharibu, na nimekubali, sasa wanataka nini zaidi,
Nirudishe saa nyuma?
Maana nimetukanwa kila aina ya matusi, lakini uzuri bado sijadhulumiwa na maisha yangu yanaendelea,

Sina wasiwasi wa kubadili mboga, nikiwaambia hivyo kuwa nipo njema sana bado, hawapendi,

Naona raha yao ni kusikia naomba naomba mtaani, kisa nimekwisha, dhoofu bin taaban.

Kama ulivosema wamo humu wanatunzwa na wamama, , na wanajiona kama wapo sawa

Wengine 35 years bado wapo kwa wazazi,kutwa kuomba pesa za bando

Wengine humu ni wadangaji tu hawana mbele wala nyuma,

Wengine mpaka leo 55 years hawana hata kiwanja, na walikuwa na uwezo wa kujenga

Jamani ee tukaneni sana, lakini mimi maisha nasema namshukuru mungu niliyainjoy

Labda kwa hiki kipindi kifupi sana,
Na nina uhakika ukiwa kama binadamu vipindi vigumu vipo tu, kama hujapitia mwombe mungu akupe maisha marefu ili uone kama wewe ni malaika

Wengine wamama humu wanajifanya malaika, mbona kila siku kwenye magesti hawakosekani,
Na wengi sana ni wake za watu kabisa,

Hivi wewe mwanaume mwenzangu utakaa unaamini kabisa mke wako hacharazwi huko, eti kisa pete ya ndoa,

Ndugu yangu haya maisha ni mafupi sana kama una uwezo yayafurahie, lakini tu timiza wajibu wako wa familia full stop

Tunawaona maofini huko kujichelewesha kuondoka tu, kumbe wana mipango yao na ni humohmo maofisini wanamalizana,

Sasa huko safarini, mama mama yangu wee
Temea mate chini, maana hata kuku wana afadhali, ni vurugu mtindo mmoja,

Wewe baba au mama upo nyumbani eti baba au mama yupo safarini ana pete yangu, thubutu,

Nimemwona mama wa makamo yupo safarini tena kainamishwa na dereva wake uchochoroni pembeni ya gari, nilitaka kuanguka,

Nilisema kinachotutofautisha sisi binadamu na wanyama ni nguo tu,

Tena afadhali ya wanyama, sisi ni zaidi,

Sio wanawake, sio wanaume, sio vijana sio wazee
Uwe na pesa usiwe nazo utaenda hata kubaki tu,

Kwa hiyo kuwa kwangu na nyumba ndogo mimi binafsi sikuona kama nimepungukiwa na kitu,

Naona wengine wanaona ni bora kununua mwanamke kila siku? Sasa shida yote ya nini

Yaani kila siku uwe ni mtu wa kuonja mala hapa pako hivi mala pale pako hivi,

Jamani hizi kitu zinatofautiani, patakapokulizhisha huwa kambi inakuwepo

Ahsante
Wengine wengine nini? Umekazana wengine saa zote, mara sijui uko njema kuliko wengine? Kama uko njema basi usingejitwisha mizigo ya ajabu ungekuwa njema zaidi. Kwahiyo bado kuna mahali ulichemka

Kwani umekuja huku kulinganisha yako na ya wengine? Unalinganisha maisha yako na kivuli maana hao wengine hawajaleta yao humu

Kwahiyo ulileta huku ukitegemea aina ya ushauri uliotaka?
 
Kila mtu, anaudhaifu wake,udhaifu wake kaukubali, sasa wako je, unauhakika utapona? Hutapata fedheha za kukuletea msongo wa mawazo kutokana na matokeo ya udhaifu wako?

Kama wewe mwanaume, JIFUNZE KITU,KAUSHA ILA KAMA DEMU....PIA JIFUNZE KAUSHA.

ILA KAMA UNAUHAKIKA WA KESHO YAKO,BASI TUKANA UWEZAVYO,MAANA MM NAAMIN LILILOMTOKEA MWENZAKO KWA UZEMBE WAKE,LINAWEZA KUKUTOKEA WEWE KWA UZEMBE WAKO.
 
Kwa hiyo, nisemee wewe basi,
Maana naona raha yako ni kutaka kujua bi mkubwa labda alijinyonga au aliondoka,
Au tulivurugana,
Kwa taarifa yako yupo amejaa tele, wala hana habari na upuuzi huu,

Kuna ndugu yangu mmoja alijaribu kumletea umbea wa mambo yangu, weee , alimpa vipande na kumwambia aishie hapo hapo kama hana cha kuzungumza aondoke,

Kiufupi hataki kusikia habari za mambo yangu ya huko
Ushukuru Mungu kuwa upo hai pamoja na makandokando yako yote, ushukuru huna magonjwa makubwa. Ila uwe makini usije pata maradhi mwishoni.

Naamini mara zote wana familia ni rahisi kuambukizana magonjwa. Wanaume ndo hasa waweza kuwa source.

Better to be alone.
 
Dah, Yani inaonesha unampenda sana bi mdogo kwa yote aliyokufanyia lkn bado unamngoja arudi ndio ujue lakufanya, Ila najua bi mdogo akikupigia goti na akakupa utamu lazma umsamehe tu.
Pia kaa ujue hiyo nyumba sio yako ni yenu hatakama ulimpa pesa ya yeye kununua kiwanja hicho, na uthibitisho ni mmliki wa kiwanja aliyewauzieni na vitu vyake alivyo viacha hapo ndani kwahiyo siku akirudi ukiwa haupo atavunja kufuri na vitasa kisha ataingia ndani na hautakuwa na uwezo wa kumfukuza.

USHAURI: Hiyo nyumba mwachie bi mdogo na watoto wake kama urithi wao kutoka kwako.
Pia tafuta mwanamke mwingie umpangishia awe anakuliwaza na kukupatia tendo la ndoa maana naona bi mdogo hataki kukupatia (zaidi ya miezi miwili hayupo) na pia nahisi bi mkubwa hakupati unyumba, Hii itakusaidia kupunguza mawazo juu ya wake zako.
Sasa comment kama hii Ndio inanivunja moyo kabisa,
Yaani una semantic atavunja vitasa na kuingia, thubutu, nitamuua, yaani kwa idea zote hizi za wana jamvi halafu, aridity aingie tu, naona ni kama hajitaki,

Mmiliki wa kiwanja aliyetuuzia anaingiaje hapa, kwanza alishakufa, na ni yeye aliyenibadilishia majina na kuweka ya kwangu baada ya kumweleza matatizo yangu.

Nyumba ni yangu, usinichanganye
 
Hahaaa pole ndugu yangu, napaogopa polisi, usiombe kwenda kule,maana huyu mwanamke aliniitia polisi, ndio kwanza nimefika nyumbani saa nane, tu kila nisubili chakula sikioni kuja, nikienda jikoni naona ni maji tu tanachemka

Nadhani kudu iris mala nipo sebureni, naona vijana wa nguvu wanaingia sebureni na mke yupo yupo nyuma anawasmbia, huyo hapo, mala wananiambia ninyanyuke wao ni polisi, nawaambia tatizo nini, wanasema twende utajua huko huko,
Nilikuwa nimevaa bukta nikawaomba niingie chumbani nivae suruali, wanifuata mpaka chumbani,
Kusema kweli nikidhani jamaa ni majambazi , maana niwale wanasimamaga nyumba ya defender, tukaongozana mpaka kituoni, naomba niwanieleze kosa langu, wakagoma, mala vua mkanda, vua viatu, weka simu hapa
Haya ingia rumande huko,

Ilikuwa ni saa kumi na moja tayali, sikuona huu ni usiku au mchana, nilikesha usiku kucha mpaka asubuhi naona watu wanaketa chai, hapo hakuna ndugu yangu hata mmoja anafahamu kama nimewekwa rumande,
Sielwi ilikua ni saa ngapi nikampa Afande fulani sh 5000.
Akanipa simu yake nikampigia yule mwanamke aje anitoe maana kesho yake naingia ofisi is mapema sana,
Alinijibu neno moja tu, KAA HUKO HUKO,
Akakata simu,
Kesho yake kaja kunitoa saa tano!!!!
Faza unazingua

Af unataka kutuambia mke mkubwa ulimpa dawa ya kukusahau au?..otherwise hii Chai
 
OMBI WAKUU NA USHAURI

hii nyumba niifanye nini, ni nyumba kubwa,
Ipo kwenye kiwanja cha eka moja,

Eneo ni ni zuri sana, sasa hivi nyumba ni nyingi, lakini ya kwangu kila mtu anaitamani,

Ila bado haijaisha,

Madilirisha nilishaweka ya aluminium bado matatu tu ya dining room
Uza gawana na huyo mama mtoto wako pasu kwa pasu kisha fedha zote nenda nazo kwa mkeo mkafanyie mambo mengine

Hili liwe somo kwako, jitahidi tu kuyajenga na mkeo kama kweli unampenda kama ulivyotueleza hapa.
 
Faza unazingua

Af unataka kutuambia mke mkubwa ulimpa dawa ya kukusahau au?..otherwise hii Chai
Chai ilikuwa ya moto ikawekwa sukari na mdalisini, ikaanza kupoa, ikaongezewa maji, ikawekwa asali na mchaichai, mara ikatumbukizwa mkate, 😂 😂 tuinywe tu!

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom