Naomba Ushauri: Mwanamke wangu ananiambia mtoto si wangu


Uache ujinga na kuwa dhaifu, kata mahusiano naye mazima, Kwa Nini mnakubali kuteswa na wanawake wa hovyo?
 
Mkuu,huyo mwanamke ulimpenda sana au una moyo wenye huruma sana.
Kulikuwa hakuna haja kujisumbua hata kuulizauliza kabisa
 
Pamoja sana blood nashkuru sana kwa ushauri wako
 
As a men sasa unataka tukushauri nini?
 
Hivi mleta mada una akili kweli wewe, demu kishakuambia kuwa mtoto hakuhusu na si wako, wewe unataka tukushauri nini, muue basi huyo mwanamke kwa kukupotezea mbegu zako za kiume
Hakuna alokamilika kuhusu kua na akili sina kipomo kua nina IQ ngap.nachokijua mm hii sio hadithi na maisha ninayoishi na mpaka naleta umu ni kwamba njiuliza sana nifanjeje
1.nikaushe tu potelea mbali
2.sheria inasemaje?
3.nikapime DNA na je akiwa na bint yang nianyaj
4.yule mtoto kila akiniona ananililia na anaish mazingira magum
 
5.Mim nina ndoa nyingine na maisha yangu mengine ila inaniuma nmesumbuka sana kumlea uyo bint mpaka saiv af mkavu kabisa anantamkia sio mwanangu nyuma kote nasumbuka ivo kwann hakunambia
 
Ni vizuri umepata jibu sahihi kutoka kwa muhusika mwenyewe kwamba mtoto si wako, unataka sisi tusiokujuwa tukuambie nini au unataka tukushauri ujiue?
 
Hawa Viumbe wanahitaji wapimwe akili
Matatizo na hiz kesi zimekuwa kwa kasi kipindi hichi
Hii sio hali ya kawaida
Lazima kutakuwa kuna kitu kwa Wanawake wa siku hizi
Amini kaka maana mtu mwenye akili timam hawez fanya uu ujinga serious nilikua najiuliza tu kwann watu wanafanyaga maamuz magum kila nikiwaza kuusu situation zote mpaka ilipofikia sipati jibu
 
Sio kwel mimi nina maisha yangu mengine na nishaoa mwanamke mwingine kinachoniuma nimesumbuka sana kumlea uyo binti af saiv kirahis tu sio mwanangu kvp an
Mkuu acha kujipa stress na kesi nyingine hapo nyumbani wewe umeshaambiwa mtoto sio wako kuna tatizo hapo ,kama damu ni yako ni yako tu na kama sio yako ndio hivo huwezi lazimisha fullstop
 
Ni vizuri umepata jibu sahihi kutoka kwa muhusika mwenyewe kwamba mtoto si wako, unataka sisi tusiokujuwa tukuambie nini au unataka tukushauri ujiue?
1.nikaushe tu potelea mbali
2.sheria inasemaje?
3.nikapime DNA na je akiwa na bint yang nianyaj
4.yule mtoto kila akiniona ananililia na anaish mazingira magum
5.Mimi nina maisha na ndoa nyingine kinachoniuma nimehangauka sana kuusu uyo binti nimeplay part yangu as a men nakwambia yule bint akiniona ananililia baba af kirahis tu Sio mwanao nimfanye nn uyu dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…