Naomba Ushauri: Mwanamke wangu ananiambia mtoto si wangu

Mkuu acha kujipa stress na kesi nyingine hapo nyumbani wewe umeshaambiwa mtoto sio wako kuna tatizo hapo ,kama damu ni yako ni yako tu na kama sio yako ndio hivo huwezi lazimisha fullstop
Ni Swala hilo ye kutulia tu,
Kuna watoto wawili hapa sasa ni watu wazima kabisa.
Mama zao walisema enzi hizo sio damu yangu.
Nilikubali kilaini tu nikajikata.
Watoto walivyozidi kukua wakajua kule sio kwao.
Wamentafuta, mi nikawarudisha bomani.
Wako Kwa Amani sa hii na baba yao.
Mama zao huko
wanasumbuana na ndoa zao.
 
Sawa kaka nashuru kwa ushauri
 
Ndo hivo mkuu damu ni nzito kuliko maji ,utulivu ni wa muhimu
 
Huo ndio ukweli mkuu,don't waste your resources tafuta ndugu zako wenye shida wasaidie
 
Wote mna matatizo ya afya ya akili bila shaka,
 
Unataka kufanya nini wakati umeambiwa ukweli?au ulitaka aendeleeee kukudanganya?kubali matokeo move on,,,mimi ilishanitokea nimelea mtoto mpka kafika miaka 13 mama yake akaniambia ukweli ,nikakubali nikawaacha waendelee na maisha yao,,,
 
Unataka kufanya nini wakati umeambiwa ukweli?au ulitaka aendeleeee kukudanganya?kubali matokeo move on,,,mimi ilishanitokea nimelea mtoto mpka kafika miaka 13 mama yake akaniambia ukweli ,nikakubali nikawaacha waendelee na maisha yao,,,
Pamoja sana kaka
 
Sio kwel mimi nina maisha yangu mengine na nishaoa mwanamke mwingine kinachoniuma nimesumbuka sana kumlea uyo binti af saiv kirahis tu sio mwanangu kvp an
Sasa kama ulisingiziwa mimba hutaki? Unataka nini? Au mkuu huna uwezo wa kubebesha mimba tena?
Kiukweli unataka kushangaza chief !
 


TATIZO SIKU HIZI WANAWAKE MNAOANA. AMEKUAMBIA MTOTO SI WAKO KAPIME DNA. THIBITISHA ENDELEA NA MAISHA. UNGEKUWA MWANAUME USIJE KUJA ANDIKA HUKU KUOMBA USHAURI. NA HUYO MTOTO HAWEZI KUWA WAKO. WANAWAKE HAMWEZI ZALISHANA. MPAKA MWANAUME ATIE MIMBA.
 
Baada ya kusoma na kutafakari andiko lako nimebaini wote mna shida ya afya ya akili ingawaje wewe shida ya akili imemzidi huyo mama.

Yaani unaonekana ni mtu wa kuendeshwa endeshwa tu huna misimamo thabiti na mwanamke akigundua hilo atakusumbua sana.

Ushauri:
Kaa kimya usijishughulishe kwa namna yoyote ile na huyo mtoto hata mama yake aseme na kuapa kwamba ni wako.

Kupima DNA kwa Bongo ni wastage of resources kwasababu hawatoi majibu ya kweli eti kwa kisingizio cha kulinda ndoa ama kuepusha mtafaruku zaidi kwenye jamii.
 
Sio kwel mimi nina maisha yangu mengine na nishaoa mwanamke mwingine kinachoniuma nimesumbuka sana kumlea uyo binti af saiv kirahis tu sio mwanangu kvp an
Mkuu mtoto sio wako unalazimisha nini?

Kama una risiti nenda mahakamani ufungue kesi.


Vinginevyo samehe endelea na maisha yako, kakuepusha na mamillioni ya ada kwa bao la mwenzako
 
Huyo binti kukulilia wewe si ishu, usipende kubishana na mwanamke anayekuambia mtoto si wako. Huyo mwanamke si mjinga anajuwa kwanini anakuambia hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…