Naomba Ushauri: Mwanamke wangu ananiambia mtoto si wangu

Mwanamke huwa hatanii mkiwa katika ugomvi japo atasingizia hasira.
Lakin hakuna hasira wala utan kwenye issue ya umiliki wa mtoto.
Umepigwa Chief, Mpe Option mwenyew aamue anampeleka mtoto kwao au amekwambia ili iwaje?
 
Mwanamke huwa hatanii mkiwa katika ugomvi japo atasingizia hasira.
Lakin hakuna hasira wala utan kwenye issue ya umiliki wa mtoto.
Umepigwa Chief, Mpe Option mwenyew aamue anampeleka mtoto kwao au amekwambia ili iwaje?
Pamoja
 
Kuna wajinga wanasema uwapotezee, kiaje yaani ni akili hamna au? Mtoto si kama vile vitu ulivyomuachia au si kama mbuzi utamuacha tu. Fanya namna hata ukapime upate uhakika kabla ya kufanya maamuzi, wanawake wana upungufu wa akili usitegemee sana maneno yao.
 
Ikiwa umri bado unaruhusu.

Tafuta mwanamke mwingine uzaenae.

Huyo mtoto na hiyo familia achana nao, watakuvuruga utajikuta huna mbele Wala nyuma na umezeeka.

Focus Yako kwa sasa inatakiwa iwe kwenye kutafuta hela, zitafute kwa nguvu, fanya mazoezi ili uweke mwili safi.

Na katika kutafuta kwako weka katika akili Yako Kuna mtoto unaye Kuna siku atakuja so akija akukute ukiwa imara kiuchumi.

Na najua ukishaanza kujipata hiyo familia itarudi kwako kwa spidi ya ngiri machizi ya marichui ila pliz jitahidi kuwasamehe ila kamwe usiwasogeze tena kwenye maisha Yako, ukiwasogeza utakua fala, watakivuruga na wakuvuruge.
 
Wewe ni fala.
NB: Sijaona hata sababu ya kuimaliza kuisoma story yote kwa kuwa probably ni 👇🏾
 
kwa uthibitisho wa DNA kama mtoto ni wako usisikie la mama yake.Ila huto Ex mtata sana
Hamna haja ya DNA mtoto atafika na kukaa huko na mitabia ya babaake watamchoka.
Na ndio itakua njia ya kutafuta ye kwao wapi.
Utamkuta mlangoni, Baba, baba.
Mijanamke majinuni sa ingine likiona unalipunguzia maslahi kisa mtoto linakutosa tu ili lipate utulivu huko linakokwenda.
 
Pole!
Mshukuru mungu kama huna sukari na presha plus ukimwi!!!

Halafu,achana na mentality ya kuachana achana,kama yameshindikana yaache dormant mahusiano endelea na maisha mengine unayoayaona yanafaa kwako!!

Kuhusu mtoto au watoto usiingie kwenye mtego wao wanaotutega eti tujitoe mhanga kwa watoto Ili wawe msaada kwetu baadae,hii Kansas inatafuna sana wengi wetu!!!wewe hakikisha mahitaji ya msingi yanapatikana!

Kuhusu mtoto ni wako au sio wako!wanawake wote ndio wanajua yupi no mtoto wako au yupi sio wako hata kama mnafanana kama mapacha ni DNA pekee inaweza thibutisha hats huyo mwingine ni wako ama lah!!!

HALAFU KWA SISI WANAUME MTOTO NI YUPI!!?

SISI KWETU MTOTO SI MTOTO HADI AKUE AWE MSAADA KWAKO NDIO ANAKUA MTOTO WAKO,LAKINI WAKIWA BADO WADOGO TUNAFANYA BETTING TU NA TUWALEE KAMA TULEAVYO WANYAMA WENGINE COZ HATA BINADAMU NI MNYAMA!

USIWEKEZE SANA HISIA KWA WATOTO MKUU,ZAIDI SANA HAKIKISHA MAHITAJI YA MSINGI YANAPATIKANA!!USIINGIE MKENGE WA KIHISIA UKAKUFANYA UKAWA MTUMWA WA MWANAMKE KISA WATOTO!!

umenielewa comrade!!?
 
Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanalea watoto sio wa kwao bila kujua. Ningeshauri serikali ya Tanzania iweke mazingira rafiki ya uwazi na ukweli ili watu waweze kupima DNA muda wowote wanapohitaji.
 
Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanalea watoto sio wa kwao bila kujua. Ningeshauri serikali ya Tanzania iweke mazingira rafiki ya uwazi na ukweli ili watu waweze kupima DNA muda wowote wanapohitaji.
Dna ya nn demi? Kama sio wako na hakukwambia acha maisha yaendelee what if ww baba angepima dna na kukuta ww sio mwanae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…