Naomba ushauri na mapendekezo kuhusu Suzuki Escudo old

Naomba ushauri na mapendekezo kuhusu Suzuki Escudo old

Unaongelea nyingine tofauti na hii?
We changamsha jukwaa,maana kama nyingi,tafuta pikipiki. Unaelezwa kilichofanyiwa kazi wala siyo stori ya kijiweni,mara hivi,mara vile.
Hiyo achana nayo we nunua BB. Inakufaa sana
kama ulisoma vyema maelezo yangu pale juu nilishasema tangu awali kuwa hii Rav4 1st generation sitoiweza kutokana na ulaji wake wa mafuta, ndo nikawaza kuopt escudo old kama mbadala wake kulingana na sifa zake za uimara na ulaji wa kawaida wa mafuta
 
naskia 4wd ya escudo cruiser inasubiri
Hapana hizo ni gari za level tofauti kabisa kutokana na matumizi,uwezo nk.cruiser 1hz ni punda.japo kuna baadhi ya maeneo cruiser inaweza kustruggle kuchomoka kiurahisi kuliko escudo/jimny kwasababu ya uzito wake na body.
 
Tubaki kwenye mada,
Chukua G16 hutojutia. Natamani niipost yangu ila wataijua maana nafikaga nayo hadi masaki na oysterbay.😂😂.
Chukua chuma hiyo. Ila acha nipost hata engine tu.. inatia nyege sana gari hii hata nikitaka kwenda mkoa.
Suzuki Mninga hio
 
Wakuu habari ya muda huu,

Nimekuja mbele yenu nipate ushauri na mapendekezo zaidi kuhusiana na gari aina ya Suzuki Escudo old model.

Mimi napiga sana mihangaiko ya vijijini mashambani ambako ni 100% rough road. Kulingana na mazingira hayo nilitamani gari yenye spec zifuatazo;



Sasa kulingana na vigezo hivyo nikawaza Suzuki Escudo old model maana naskia zina ulaji mzuri wa mafuta naskia zinafika hadi 12km/l, pia nasikia 4WD yake ni balaa. Japo nasikia zina changamoto ya bodi kuingiza vumbi ndani. Nina mpango wa kuchukua mkononi na bajeti yangu ni 6m max.

Awali niliwaza kuhusu Rav4 old, changamoto ikawa ni ulaji wa mafuta maana naona nyingi zinaenda 7km/l sasa kwa mizunguko yangu nikaona haitanifaa japo sifa nyingine inazo.

Naombeni ushauri wenu kama nipo sahihi kwa chaguo hilo na kama kweli escudo old ina sifa hizo na pia kama kuna mbadala tofauti na hiyo escudo old kwa bajeti hiyo ya 6m mkononi. Asanteni.

1. Toyota RAV4

  • Urefu wa Chini na Uimara: RAV4 ina urefu wa chini wa kutosha na chasis imara inayofaa kwa barabara za vijijini.
  • Matumizi ya Mafuta: Inatoa matumizi ya mafuta ya wastani wa 10-12 km/l kulingana na hali ya barabara na mtindo wa uendeshaji.
  • 4WD/AWD: RAV4 inapatikana na mifumo ya 4WD au AWD, ambayo ni bora kwa safari za vijijini na barabara mbovu.

2. Subaru Forester

  • Urefu wa Chini na Uimara: Forester ina urefu mzuri wa chini na chasis imara kwa safari za vijijini.
  • Matumizi ya Mafuta: Inatoa matumizi ya mafuta ya wastani wa 10-12 km/l.
  • AWD: Subaru Forester inajulikana kwa mfumo wake bora wa AWD, unaotoa utulivu na uwezo mzuri wa kuvuka barabara za aina zote.

3. Toyota Hilux Surf (4Runner)

  • Urefu wa Chini na Uimara: Hilux Surf ina urefu wa chini wa kutosha na chasis imara inayofaa kwa mazingira magumu.
  • Matumizi ya Mafuta: Hata ingawa ni SUV kubwa, inaweza kutoa matumizi ya mafuta ya wastani wa 8-10 km/l.
  • 4WD: Inapatikana na mfumo wa 4WD unaofaa kwa safari za vijijini na barabara mbovu.

4. Mitsubishi Pajero

  • Urefu wa Chini na Uimara: Pajero ina urefu mzuri wa chini na chasis imara kwa safari za vijijini.
  • Matumizi ya Mafuta: Inatoa matumizi ya mafuta ya wastani wa 8-10 km/l.
  • 4WD: Inajulikana kwa mfumo wake bora wa 4WD, ambao ni bora kwa safari za vijijini na barabara mbovu.

5. Nissan X-Trail

  • Urefu wa Chini na Uimara: X-Trail ina urefu wa chini mzuri na chasis imara kwa safari za vijijini.
  • Matumizi ya Mafuta: Inatoa matumizi ya mafuta ya wastani wa 10-12 km/l.
  • 4WD/AWD: Inapatikana na mifumo ya 4WD au AWD, inayofaa kwa safari za vijijini na barabara mbovu.

6. Honda CR-V

  • Urefu wa Chini na Uimara: CR-V ina urefu mzuri wa chini na chasis imara kwa safari za vijijini.
  • Matumizi ya Mafuta: Inatoa matumizi ya mafuta ya wastani wa 10-12 km/l.
  • AWD: CR-V inapatikana na mfumo wa AWD, unaotoa utulivu na uwezo mzuri wa kuvuka barabara za aina zote.
AutoGuru
 
Back
Top Bottom