Vangiporini
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 327
- 310
- Thread starter
- #61
kwenye maisha huwezi kubali gharama kizembe wakati kuna options ambazo zitaleta matokeo yaleyale kwa gharama nafuu.Kubali gharama mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye maisha huwezi kubali gharama kizembe wakati kuna options ambazo zitaleta matokeo yaleyale kwa gharama nafuu.Kubali gharama mzee
Wala haina shida mkuu. Ungeanza na hizo optionkwenye maisha huwezi kubali gharama kizembe wakati kuna options ambazo zitaleta matokeo yaleyale kwa gharama nafuu.
kama ulisoma vyema maelezo yangu pale juu nilishasema tangu awali kuwa hii Rav4 1st generation sitoiweza kutokana na ulaji wake wa mafuta, ndo nikawaza kuopt escudo old kama mbadala wake kulingana na sifa zake za uimara na ulaji wa kawaida wa mafutaUnaongelea nyingine tofauti na hii?
We changamsha jukwaa,maana kama nyingi,tafuta pikipiki. Unaelezwa kilichofanyiwa kazi wala siyo stori ya kijiweni,mara hivi,mara vile.
Hiyo achana nayo we nunua BB. Inakufaa sana
Hapana hizo ni gari za level tofauti kabisa kutokana na matumizi,uwezo nk.cruiser 1hz ni punda.japo kuna baadhi ya maeneo cruiser inaweza kustruggle kuchomoka kiurahisi kuliko escudo/jimny kwasababu ya uzito wake na body.naskia 4wd ya escudo cruiser inasubiri
Oya bro hivi hii bei gani ukiagiza au ukidaka mkononi kwa mtu ?
Suzuki Mninga hioTubaki kwenye mada,
Chukua G16 hutojutia. Natamani niipost yangu ila wataijua maana nafikaga nayo hadi masaki na oysterbay.😂😂.
Chukua chuma hiyo. Ila acha nipost hata engine tu.. inatia nyege sana gari hii hata nikitaka kwenda mkoa.
Oya bro hivi hii bei gani ukiagiza au ukidaka mkononi kwa mtu ?
Acha niishi na used hii ist, 😂😂 nafikiria mini cooper nionje ladha nyingine.mpya ya 2022 inakamtika kwa 90M mkononi hio, dukani ni zaidi ya 100M
hii imeeedaaAcha niishi na used hii ist, 😂😂 nafikiria mini cooper nionje ladha nyingine.
Wakuu habari ya muda huu,
Nimekuja mbele yenu nipate ushauri na mapendekezo zaidi kuhusiana na gari aina ya Suzuki Escudo old model.
Mimi napiga sana mihangaiko ya vijijini mashambani ambako ni 100% rough road. Kulingana na mazingira hayo nilitamani gari yenye spec zifuatazo;
Sasa kulingana na vigezo hivyo nikawaza Suzuki Escudo old model maana naskia zina ulaji mzuri wa mafuta naskia zinafika hadi 12km/l, pia nasikia 4WD yake ni balaa. Japo nasikia zina changamoto ya bodi kuingiza vumbi ndani. Nina mpango wa kuchukua mkononi na bajeti yangu ni 6m max.
Awali niliwaza kuhusu Rav4 old, changamoto ikawa ni ulaji wa mafuta maana naona nyingi zinaenda 7km/l sasa kwa mizunguko yangu nikaona haitanifaa japo sifa nyingine inazo.
Naombeni ushauri wenu kama nipo sahihi kwa chaguo hilo na kama kweli escudo old ina sifa hizo na pia kama kuna mbadala tofauti na hiyo escudo old kwa bajeti hiyo ya 6m mkononi. Asanteni.
V6 ni jini8km/ litre na kuna engine zipo vibaya zaidi hasa zile v6
Hili chuma linaenda kwa ngapi mkuu? Limekaa kinyama sana
andaa 80 millionsHili chuma linaenda kwa ngapi mkuu? Limekaa kinyama sana
hahahaha noma sanaandaa 80 millions