Hii Gari pale nyuma hua imebinuka vibaya,hovyo Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Gari pale nyuma hua imebinuka vibaya,hovyo Sana.
Td42?Mmh! Hiyo bajeti yako imechangamka.
Ongeza ifike 10.5m nikuuzie Nissan Patrol old model.
Yeah.Td42?
Ndio fuel efficient sana lakiniHii Gari pale nyuma hua imebinuka vibaya,hovyo Sana.
Atajutia hela yakeNaunga mkono hoja achukue Mitsubishi GDI
Hamna gari pale haiwez fikia skuduAtajutia hela yake
Alokudanganya RAV4 inakula hivo ni nani? 12-14km/l inapiga mkuu. Ni uwezo wako ukiichukua uiweke sawaWakuu habari ya muda huu,
Nimekuja mbele yenu nipate ushauri na mapendekezo zaidi kuhusiana na gari aina ya Suzuki Escudo old model.
Mimi napiga sana mihangaiko ya vijijini mashambani ambako ni 100% rough road. Kulingana na mazingira hayo nilitamani gari yenye spec zifuatazo;
Sasa kulingana na vigezo hivyo nikawaza Suzuki Escudo old model maana naskia zina ulaji mzuri wa mafuta naskia zinafika hadi 12km/l, pia nasikia 4WD yake ni balaa. Japo nasikia zina changamoto ya bodi kuingiza vumbi ndani. Nina mpango wa kuchukua mkononi na bajeti yangu ni 6m max.
Awali niliwaza kuhusu Rav4 old, changamoto ikawa ni ulaji wa mafuta maana naona nyingi zinaenda 7km/l sasa kwa mizunguko yangu nikaona haitanifaa japo sifa nyingine inazo.
Naombeni ushauri wenu kama nipo sahihi kwa chaguo hilo na kama kweli escudo old ina sifa hizo na pia kama kuna mbadala tofauti na hiyo escudo old kwa bajeti hiyo ya 6m mkononi. Asanteni.
mkuu hii 12-14km/l ni Rav4 old kweli yenye 3s?Alokudanganya RAV4 inakula hivo ni nani? 12-14km/l inapiga mkuu. Ni uwezo wako ukiichukua uiweke sawa
Ndiomkuu hii 12-14km/l ni Rav4 old kweli yenye 3s?
aiseeNdio
Nifanye nini iweze kula wese hivyo mimi nina gari hiyo na namba ni DAlokudanganya RAV4 inakula hivo ni nani? 12-14km/l inapiga mkuu. Ni uwezo wako ukiichukua uiweke sawa
Nifanye nini iweze kula wese hivyo mimi nina gari hiyo na namba ni D
Kwanza,haikisha unamtumia fundi mzoefu,ukiogopa gharama,utalia. Japo unatakiwa ujue kinatengenezwa kitu gani.Nifanye nini iweze kula wese hivyo mimi nina gari hiyo na namba ni D
Halafu nissan patrol sio hevy duty kama hiyo escudo , ni kama landrover tu zinataka matengenezo sana hasa kama utazitumia kwenye rough road
Duh.yani uifananishe N.Patrol/N.Safari na LR kweli?Halafu nissan patrol sio hevy duty kama hiyo escudo , ni kama landrover tu zinataka matengenezo sana hasa kama utazitumia kwenye rough road
hiyo ya kwako inaendaje km/l ni vizuri tukapata user experienceNifanye nini iweze kula wese hivyo mimi nina gari hiyo na namba ni D