Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

Status
Not open for further replies.
Khaaa, sasa ulitaka atoke akachangamkie mitaani ikiwa bado hajapata ramani?

Ninaishi na mdogo wangu wa kike yupo advance akiwa likizo ni kujifungia ndani tu tena kama nje ya geti labda kwa wiki mara tatu au mbili, akitoka ni kwenye gari akirudi ni ndani.

Yeye ni movies chumbani kwake na kuandika-andika kama huyo wako, inanipa amani kwasababu hata nikisema achanganyike na mimi na familia hakuna tunachoweza kuongea kwa zaidi ya saa zima na wanangu bado ni wadogo.

Hizo huwa ni hobbies za introvert wengi, ni bora ashinde ndani kuliko kuwa kidampa wa mtaa.
 
Na kaombeni hako jamani nimekapenda buree
 
Kwanini usiseme tuu ni wewe?, mpaka umsingizie mdogo wako?
 
Ana boyfriend? Kama hana basi kweli ana tatizo.
 
Kama alivyosema mdau Makaveli10..pitia notebook zake utakuta vitu expectional huyo ni akili ya kipekee Sana....jiweke karibu nae utagundua vingi 😊, many introvert are like that.
 
Ana andika vitu gani ivyo kwanza ..tuanzie apo au ndo mashairi na mauw ya mapenzi
 
Ana andika vitu gani ivyo kwanza ..tuanzie apo au ndo mashairi na mauw ya mapenzi
Sijasoma sana maana hapendelei ila hamna la maana nililo liona ndo maana naona ana tatizo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…