Naomba Ushauri, nahisi ni tatizo

Naomba Ushauri, nahisi ni tatizo

Natumaini ni wazima
Sio muandishi mzuri mnivumlie

Kama ilivo kawaida ya maisha nimepitia mambo kadhaa hapa siku za karibuni ambayo yakanifanya nisiwe sawa hayakuwa mazuri

Baada ya muda kidogo hivi nikaanza kujihisi homa nikaenda hospitali sikukutwa na tatizo lolote zaidi ya dalili ya mafua nimetumia dawa mafua yakaisha lakini Bado mwili hauko sawa Bado najihis kuumwa lakin siumw kiungo chochote na Bado hayo mambo nilipitia yananikosesha raha sana najihis nimepata sonona maana sio hali ya kawaida ni zaidi ya wiki ya tatu

Sinafuraha,
uchovu kutwa nzima
Nakosa usingizi na usingiz unaisha mapema sanaa
Appatite ya kula imepungua
kuamka kutoka kitandani ni ishu asubhi imekuwa tabu sana
Najitahid kujichangamsha hapa kwenye forum lakin kiukweli naona sio poa mnisaidie namna ya kuignore hii hali
Natanguliza shukrani....!!
Anxiety disorder (Nimehisi tu, muone daktari ndo atoe jibu la uhakika)
Muone psychiatrist kwenye hospital yoyote kubwa
Utapewa counseling sessions na vidonge kama vile Sertraline(Zoloft) , Fluoxetine (Prozac) vitakusaidia kukaa sawa
 
Asante sana Kwa ushauri nitafatilia matibabu
 
Anxiety disorder (Nimehisi tu, muone daktari ndo atoe jibu la uhakika)
Muone psychiatrist kwenye hospital yoyote kubwa
Utapewa counseling sessions na vidonge kama vile Sertraline(Zoloft) , Fluoxetine (Prozac) vitakusaidia kukaa sawa
Pills ni addictive simshauri, psychiatric wa public hospitals ni aaaaaaah,,
 
Depends na your issue and how chronic it is,, pills huwa ni a very last option na ni addictive kwa sababu

session za psychiatrist za Public hospital huwa ni very poor hakuna any follow up kama usipojiongeza mwenyewe and unakuta ana a lot of casases so unaweza kukuta counselling session is not that effective so una depend on pills for your issue and that's bad

Private psychiatric practitioner huwa wako very effective but very expensive too
 
Ooh kumbe nilikuwa sifahamu
 
Back
Top Bottom