Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Mkuu shughuli anayo ya kumfanya awe Bize sana tuu..
Ila siku za weekend kama hizi kwangu ndo shida huwaza..

Kama sasa kashanitafuta anasema nikanywe supu tusepe...
Najua hapa nikienda mpaka sa nne usiku seriously nachoka

Kuhusu mtoto daaah hiyo nayo changamoto mkuu wangu
 
Nifanyaje ili aache mkuu ndo hapa napambana ujueeee
 
hiyo ndiyo muhimu gentleman,
ukifyatulisha ka kid utaona mambo yanabadilika kwa haraka mno, coz love itashift kutoka kwenye pombe kuja kwa mtoto

fanya hili hata kwa bahati mbaya otherwise huenda huna future nae πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…