Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

Yani phd holder unaogopa skirt? Unacheka cheka na kupoteza content??
 
Unazinguliwa na wasichana wanaosoma physics huko School of Business na Law utapaweza acha kazi kabla hatujaweka kakikombe ka chai
 
Tafuna tangawizi mwanzo wa kipindi mpaka mwisho.
Halafu wabafunzi waangalie kuanzia kwenye paji la uso Hadi kwenye nywele.
Maeneo mengine usiwaangalie.
Kingine wakunjie sura.
Tatu,wanaovaa uchi kwenye pindi lako wasisogee piga mkwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…