Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

Kunywa bia mbili kabla ya kuingia class,bill yako kwa mwezi nitumie mm nitalipa.
 
Wataalam,

Nimeanza hii kazi mpya ila kidizaini kama naona maji yanataka kuzidi unga.

Naomba tu niwe muwazi kwenu kwa leo, kazi ninayofanya ni mwalimu wa chuo kikuu kikubwa hapa Dar na nchini (ingawa wenzangu hawapendi kujiita waalimu). Ninafundisha sanasana physics. multipurpose kuanzia Astrophysics mpaka Quantum mechanics.

On paper, qualifications zangu (PhD) zimenifanya niipate kazi kiurahisi, lakini kwenye field mambo naona ni magumu kwangu.

Changamoto nayopitia: Nina aibu sana.

Kuna wanafunzi wa kike wakikaa mbele hapa na sketi fupi wananichanganya sana akili yangu. Yaani kuna muda unakuta naelezea vitu kwenye whiteboard lakini nikiangalia kibinti kinanichekea nasahau hata nilikuwa naongea nini, nabaki tu nachekacheka pale mbele kama zoba.

Wanafunzi wakinikazia sana macho na kuniuliza maswali magumu natetemeka sana pale mbele.

Waalimu wenzangu mnawezaje kupambana na hii hali?

Kweli wanafunzi wa chuo wakorofi sana.[emoji20]
Kama ulivyosema, ni kazi mpya, utaizoea na utajua jinsi ya kujiweka ili uendane nayo. Wanafunzi Wana maswali magumu kuliko elimu yote mpaka udaktari ulioufikia? Usijitie aibu!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mzee elimu ni bahari Haina mwisho, ninaijua physics kuliko viganja vyangu ila Kuna muda nakutana na maswali mwenyew nafloat
 
Walimu kudindisha muda wote ndiyo marupurupu eti?
We ni wa Motoni moja kwa moja. Halafu Kudindisha muda mrefu, mpaka mishipa ya damu itoke nje kabisa, huwa mashine inaumaga mno, maumivu makali unajisika kulia 😭😭😭😭
 
Wataalam,

Nimeanza hii kazi mpya ila kidizaini kama naona maji yanataka kuzidi unga.

Naomba tu niwe muwazi kwenu kwa leo, kazi ninayofanya ni mwalimu wa chuo kikuu kikubwa hapa Dar na nchini (ingawa wenzangu hawapendi kujiita waalimu). Ninafundisha sanasana physics. multipurpose kuanzia Astrophysics mpaka Quantum mechanics.

On paper, qualifications zangu (PhD) zimenifanya niipate kazi kiurahisi, lakini kwenye field mambo naona ni magumu kwangu.

Changamoto nayopitia: Nina aibu sana.

Kuna wanafunzi wa kike wakikaa mbele hapa na sketi fupi wananichanganya sana akili yangu. Yaani kuna muda unakuta naelezea vitu kwenye whiteboard lakini nikiangalia kibinti kinanichekea nasahau hata nilikuwa naongea nini, nabaki tu nachekacheka pale mbele kama zoba.

Wanafunzi wakinikazia sana macho na kuniuliza maswali magumu natetemeka sana pale mbele.

Waalimu wenzangu mnawezaje kupambana na hii hali?

Kweli wanafunzi wa chuo wakorofi sana.[emoji20]
Utakuwa mwalimu wa Zayuni colleji wewe
 
Back
Top Bottom