The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,001
- 2,360
- Thread starter
- #101
Wewe wasemaWewe ni mzushi.
Wewe wasemaWewe ni mzushi.
Wigi? Hivi bado kuna wtu wanavutiwa na mawigi nowadays?We kumbe hujui nguvu ya wigi na makeup
Mkuu mbona unatumia nguvu sana kufikir kuhusu huyu kibogoyo..save your energy plz 😂😂Halafu inawezekana vipi hali hii imuanze leo akiwa anakaribia kuupata u-senior lecturer ilhali alimudu huko nyuma kote tangia akiwa tutorial assistant?! Huenda hii ni chai kweli!
Chuo hawataki kupangiwawavulana wakae mbele wasichana nyuma..
Tatizo anadanganyaMkuu mbona unatumia nguvu sana kufikir kuhusu huyu kibogoyo..save your energy plz 😂😂
hata First year walete mgomo?Chuo hawataki kupangiwa
Kwahiyo umeanza straight na u-senior lecturer?! Landa vyuo vya uchochoroni!Duh haya yote umeyatolea wapi? Mim sjaanza kama T.A
Proffesa unakiwaje T.A?
Dah hapa ndo mwenyew naona Kuna mtego...maana Kuna kaanafuzi kakilaza kweli ila kana takooo ilo, kanapenda kuja kuja ofisini nikiwa mwenyewe
yani mkuu wa department ukampooza na efu 30 baada ya kukutafutia kazi mbona kama chai ☕️ hiiNdo hii kazi nilipogiwa pande na jamaa...yeye ndo head of department
Sijui nkuambieje lakini kwa CV yangu ni dharau hata kuwa senior lecture...Yani sawa na Einstein awe T.AKwahiyo umeanza straight na u-senior lecturer?! Landa vyuo vya uchochoroni!
Ef30 anataka mara kwa mara sio mara mojayani mkuu wa department ukampooza na efu 30 baada ya kukutafutia kazi mbona kama chai ☕️ hii
Dah we acha tuHayo ndo marupurupu yako Mwalimu tunayaita Benefit in Kind.
Tatizo Mimi ni kafiri' mpenda nguruweHAMIA VYUO VYA KIISLAMU
Tena hao ndo wabishi hatari, Bado balehe inawasubuahata First year walete mgomo?