Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

Bila kupepesa macho wewe ndo wale waliopata PhD kwa njia za udanganyifu! Kuiba kwa kuonga! Kuandikiwa thesis & presentation! Kwa ufupi kichwani hamna kitu na hiyo kazi umeipata kwa rushwa! The real PhD holder hawezi kubabaishwa na vibinti vidogo! Mpaka unapata PhD kama kweli ni yako lazima utakuwa na umri around 30s. This age uwezi ukaandika mambo ya kipuuzi kama haya! Naomba uongozi wa UDSM mfukuze kazi huyu anawaaibisha!
Huyo ni entertainer hakuna PhD holder hapo
 
Yaani wewe unachanganyikiwa na hawa ambao matiti yao yamedondoka?

Je,sisi tunaofundisha form three mpaka six tufanyaje?
Yaani form three to six mtoto ziwa saa sita kasoro afu na zile sketi na alegeze vifungo viwili vya shati kwa juu,aisee huwa nachanganyikiwa.
 
Wataalam,

Nimeanza hii kazi mpya ila kidizaini kama naona maji yanataka kuzidi unga.

Naomba tu niwe muwazi kwenu kwa leo, kazi ninayofanya ni mwalimu wa chuo kikuu kikubwa hapa Dar na nchini (ingawa wenzangu hawapendi kujiita waalimu). Ninafundisha sanasana physics. multipurpose kuanzia Astrophysics mpaka Quantum mechanics.

On paper, qualifications zangu (PhD) zimenifanya niipate kazi kiurahisi, lakini kwenye field mambo naona ni magumu kwangu.

Changamoto nayopitia: Nina aibu sana.

Kuna wanafunzi wa kike wakikaa mbele hapa na sketi fupi wananichanganya sana akili yangu. Yaani kuna muda unakuta naelezea vitu kwenye whiteboard lakini nikiangalia kibinti kinanichekea nasahau hata nilikuwa naongea nini, nabaki tu nachekacheka pale mbele kama zoba.

Wanafunzi wakinikazia sana macho na kuniuliza maswali magumu natetemeka sana pale mbele.

Waalimu wenzangu mnawezaje kupambana na hii hali?

Kweli wanafunzi wa chuo wakorofi sana.😞
Wewe ni mzushi.
 
Bila kupepesa macho wewe ndo wale waliopata PhD kwa njia za udanganyifu! Kuiba kwa kuonga! Kuandikiwa thesis & presentation! Kwa ufupi kichwani hamna kitu na hiyo kazi umeipata kwa rushwa! The real PhD holder hawezi kubabaishwa na vibinti vidogo! Mpaka unapata PhD kama kweli ni yako lazima utakuwa na umri around 30s. This age uwezi ukaandika mambo ya kipuuzi kama haya! Naomba uongozi wa UDSM mfukuze kazi huyu anawaaibisha!
Bro mambo na watu wa jf husiwachukulie serious sana, wengine huwa wanafurahisha genge humu
 
The dumb Professor

Screenshot_20240131-003709_Chrome.jpg
 
Huyu ni bwege flani mwendesha bodaboda, keshaenda kwa mama ntilie, kapata ugali na matembele, kashiba, anasubiri abiria, ndiyo akaamua kuanzisha thread!
Nikisema hata nikuambie dissertation yangu ya physics pale Yale ilikuwa inahusu nini nitakuonea sana...itakuwa sawa na kumbebesha Panzi Gunia la mkaa
 
Yaani wewe unachanganyikiwa na hawa ambao matiti yao yamedondoka?

Je,sisi tunaofundisha form three mpaka six tufanyaje?
Yaani form three to six mtoto ziwa saa sita kasoro afu na zile sketi na alegeze vifungo viwili vya shati kwa juu,aisee huwa nachanganyikiwa.
We kumbe hujui nguvu ya wigi na makeup
 
Halafu inawezekana vipi hali hii imuanze leo akiwa anakaribia kuupata u-senior lecturer ilhali alimudu huko nyuma kote tangia akiwa tutorial assistant?! Huenda hii ni chai kweli!
Duh haya yote umeyatolea wapi? Mim sjaanza kama T.A
Proffesa unakiwaje T.A?
 
Back
Top Bottom