Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
ninge zini nao wote benchi hadi benchiWewe unaona fresh tu, ingekuwa ww ungefanyaje?

😂😁😁Walimu kudindisha muda wote ndiyo marupurupu eti?
Walivaa ila skuwahi kusimama mbele Yao wakanitanuliaHiyo PhD umeipata pataje ?? Ungefika hiyo ngazi ya elimu hayo uliyoyalalamikia yangekuwa ya kawaida maana wanafunzi wenzako kipindi unasoma walikuwa na hizo tabia na walivaa namna hiyo.
Bila kupepesa macho wewe ndo wale waliopata PhD kwa njia za udanganyifu! Kuiba kwa kuonga! Kuandikiwa thesis & presentation! Kwa ufupi kichwani hamna kitu na hiyo kazi umeipata kwa rushwa! The real PhD holder hawezi kubabaishwa na vibinti vidogo! Mpaka unapata PhD kama kweli ni yako lazima utakuwa na umri around 30s. This age uwezi ukaandika mambo ya kipuuzi kama haya! Naomba uongozi wa UDSM mfukuze kazi huyu anawaaibisha!Wataalam,
Nimeanza hii kazi mpya ila kidizaini kama naona maji yanataka kuzidi unga.
Naomba tu niwe muwazi kwenu kwa leo, kazi ninayofanya ni mwalimu wa chuo kikuu kikubwa hapa Dar na nchini (ingawa wenzangu hawapendi kujiita waalimu). Ninafundisha sanasana physics. multipurpose kuanzia Astrophysics mpaka Quantum mechanics.
On paper, qualifications zangu (PhD) zimenifanya niipate kazi kiurahisi, lakini kwenye field mambo naona ni magumu kwangu.
Changamoto nayopitia: Nina aibu sana.
Kuna wanafunzi wa kike wakikaa mbele hapa na sketi fupi wananichanganya sana akili yangu. Yaani kuna muda unakuta naelezea vitu kwenye whiteboard lakini nikiangalia kibinti kinanichekea nasahau hata nilikuwa naongea nini, nabaki tu nachekacheka pale mbele kama zoba.
Wanafunzi wakinikazia sana macho na kuniuliza maswali magumu natetemeka sana pale mbele.
Waalimu wenzangu mnawezaje kupambana na hii hali?
Kweli wanafunzi wa chuo wakorofi sana.😞
Hakuna Mwalimu CHUONI Kuna WAKUFUNZI .... Tangia hapo kazi hauiwezi acha Rudi advance huko ukawe Mwalimu wa fizikia.... Sasa vitoto hivyo ndio vikupotezee focus!??Wataalam,
Nimeanza hii kazi mpya ila kidizaini kama naona maji yanataka kuzidi unga.
Naomba tu niwe muwazi kwenu kwa leo, kazi ninayofanya ni mwalimu wa chuo kikuu kikubwa hapa Dar na nchini (ingawa wenzangu hawapendi kujiita waalimu). Ninafundisha sanasana physics. multipurpose kuanzia Astrophysics mpaka Quantum mechanics.
On paper, qualifications zangu (PhD) zimenifanya niipate kazi kiurahisi, lakini kwenye field mambo naona ni magumu kwangu.
Changamoto nayopitia: Nina aibu sana.
Kuna wanafunzi wa kike wakikaa mbele hapa na sketi fupi wananichanganya sana akili yangu. Yaani kuna muda unakuta naelezea vitu kwenye whiteboard lakini nikiangalia kibinti kinanichekea nasahau hata nilikuwa naongea nini, nabaki tu nachekacheka pale mbele kama zoba.
Wanafunzi wakinikazia sana macho na kuniuliza maswali magumu natetemeka sana pale mbele.
Waalimu wenzangu mnawezaje kupambana na hii hali?
Kweli wanafunzi wa chuo wakorofi sana.😞
Haya..Hata hao hawakupanulii mapaja yao ni wewe tu na nyege zako za balehe zinakusumbuaYale nilikuwa sisimami mbele kutanuliwa mapaja
Duh kwahyo aibu ilikata ukiwa na miaka mingapi?We bado bikra usijali siku ukipata demu aibu itapungua kidogo hata mimi nilikua kama wewe kilichonikera ni demu hanionei aibu alafu mi na aibu nikaona ni mambo ya kiboya
Mmmh nkifanya ivi sindo ntaonekana kilaza kabisaBasi kaza uwe unaangalia ubao mwanzo mwisho au pangua darasa wapeleke nyuma we si lecturer bwana.
Hata kama humuogop Mungu, Kuna jelaninge zini nao wote benchi hadi benchi
Haijaisha yote bado ipo ipo ila naficha wasijue kama nina aibu, nikiongea nao nawaangalia machoniDuh kwahyo aibu ilikata ukiwa na miaka mingapi?
Yah.umenielewa kumbe..huyu amefuzu katika masuala ya chai..Wanakolima ☕️
Labda Yale ya Kwa kina MwanaFyale....Nimeipatia Yale university
😂😂Wewe huyo huyo demu wako anajiuza ulaya
Wewe huyo huyo una demu wakishua analindwa mpaka na mabodigadi
Wewe huyo huyo ulipigana kisa 200 na konda
😂😂😂Mkuu kama huna kazi njoo tukate viazi mbona fureshi tu maisha yanaenda
Mzee Mimi nilikuwa Child prodigy, nilirushwa chekea to darasa la pili,then darasa la 6 to form 1.Bila kupepesa macho wewe ndo wale waliopata PhD kwa njia za udanganyifu! Kuiba kwa kuonga! Kuandikiwa thesis & presentation! Kwa ufupi kichwani hamna kitu na hiyo kazi umeipata kwa rushwa! The real PhD holder hawezi kubabaishwa na vibinti vidogo! Moaka unapata PhD kama kweli ni yako lazima utakuwa na umri around 30s. This age uwezi ukaandika mambo ya kipuuzi kama haya! Naomba uongozi wa UDSM mfukuze kazi huyu anawaaibisha!
Sawa.Labda Yale ya Kwa kina MwanaFyale....
Kuzuia kutetemeka, meza dawa ya propanolol kidonge kimoja, saa moja kabla ya kuingia darasani.Wataalam,