mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Ntapatia wapi ugali? Maana kijiwe changu Cha kupaka rangi kucha skuizi kimedodaSi uache
Yeah, jamaa ni head of department apaNdio ile kazi alikuchorea jamaa yako
Sasa huko Yale, uvaaji ule wa kiutandawaz magharibi kuna kipi ambacho hujakijua sasa mpaka ujifanyishe namna hii?Nimeipatia Yale university
Siwezi, Hawa ni watu wazimaUtabaka kijana.
Tatizo maokoto sasaAchana na hiyo kazi utaaibika kila siku uje mtaani tuwavizie sokoni kwao aga wanakuja jioni kuomba omba.
Juzi ulisema kuna kazi umetafutiwa na jamaa yako anakusumbua umpe ela mara sasa unafundisha chuo mambo yanaenda kasi kweliWataalam,
Nimeanza hii kazi mpya ila kidizaini kama naona maji yanataka kuzidi unga.
Naomba tu niwe muwazi kwenu kwa leo, kazi ninayofanya ni mwalimu wa chuo kikuu kikubwa hapa Dar na nchini (ingawa wenzangu hawapendi kujiita waalimu). Ninafundisha sanasana physics. multipurpose kuanzia Astrophysics mpaka Quantum mechanics.
On paper, qualifications zangu (PhD) zimenifanya niipate kazi kiurahisi, lakini kwenye field mambo naona ni magumu kwangu.
Changamoto nayopitia: Nina aibu sana.
Kuna wanafunzi wa kike wakikaa mbele hapa na sketi fupi wananichanganya sana akili yangu. Yaani kuna muda unakuta naelezea vitu kwenye whiteboard lakini nikiangalia kibinti kinanichekea nasahau hata nilikuwa naongea nini, nabaki tu nachekacheka pale mbele kama zoba.
Wanafunzi wakinikazia sana macho na kuniuliza maswali magumu natetemeka sana pale mbele.
Waalimu wenzangu mnawezaje kupambana na hii hali?
Kweli wanafunzi wa chuo wakorofi sana.😞
Right now ni lunch break ndo nmepata wasaa wa kuingia JfWewe huyo huyo demu wako anajiuza ulaya
Wewe huyo huyo una demu wakishua analindwa mpaka na mabodigadi
Wewe huyo huyo ulipigana kisa 200 na konda
😂😂😂Mkuu kama huna kazi njoo tukate viazi mbona fureshi tu maisha yanaenda
Yale nilikuwa sisimami mbele kutanuliwa mapajaSasa huko Yale, uvaaji ule wa kiutandawaz magharibi kuna kipi ambacho hujakijua sasa mpaka ujifanyishe namna hii?
Yule demu wako baba yake bilionea Kwanini asikuupe mtaji au usimamie biashara zake?Right now ni lunch break ndo nmepata wasaa wa kuingia Jf
Ndo hii kazi nilipogiwa pande na jamaa...yeye ndo head of departmentJuzi ulisema kuna kazi umetafutiwa na jamaa yako anakusumbua umpe ela mara sasa unafundisha chuo mambo yanaenda kasi kweli
Wewe unaona fresh tu, ingekuwa ww ungefanyaje?eti hii nayo ni changamoto kwa mtu mwenye phd
mwafrika muda wote anawaza ngono kama tumbili
Wanakolima ☕️Hii phd labda umeipatia Mafinga wilaya ya Mufindi
Basi kaza uwe unaangalia ubao mwanzo mwisho au pangua darasa wapeleke nyuma we si lecturer bwana.Tatizo maokoto sasa
Mbona nazisimamia kama kadawiaYule demu wako baba yake bilionea Kwanini asikuupe mtaji au usimamie biashara zake?