The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,952
- 4,631
sasa mkuu kazi ya nini unaendeshwa na magari ya kifahari Halafu hapo hapo ukapigana kisa 200?Mbona nazisimamia kama kadawia
sasa mkuu kazi ya nini unaendeshwa na magari ya kifahari Halafu hapo hapo ukapigana kisa 200?Mbona nazisimamia kama kadawia
Hakuna PhD ya physics hapaNtapatia wapi ugali? Maana kijiwe changu Cha kupaka rangi kucha skuizi kimedoda
Endelea nayo tu ukale ugali Ukonga tukuletee na Sukari na sabuni......Ntapatia wapi ugali? Maana kijiwe changu Cha kupaka rangi kucha skuizi kimedoda
Anazo nyingi humu 🤣🤣🤣Yah.umenielewa kumbe..huyu amefuzu katika masuala ya chai..
Tofauti ya mwalimu na mkufunzi ni nini?Hakuna Mwalimu CHUONI Kuna WAKUFUNZI .... Tangia hapo kazi hauiwezi acha Rudi advance huko ukawe Mwalimu wa fizikia.... Sasa vitoto hivyo ndio vikupotezee focus!??
Kumbe hivyo tu mkuu? Mwanzo mzuri huwa unachangamoto, hivyo ni kawaida... Hapo unatakiwa kukaza tu mkuu... Hiyo ndo kazi yako.... Ukifanya kwa muda utazoea tu.....Wataalam,
Nimeanza hii kazi mpya ila kidizaini kama naona maji yanataka kuzidi unga.
Naomba tu niwe muwazi kwenu kwa leo, kazi ninayofanya ni mwalimu wa chuo kikuu kikubwa hapa Dar na nchini (ingawa wenzangu hawapendi kujiita waalimu). Ninafundisha sanasana physics. multipurpose kuanzia Astrophysics mpaka Quantum mechanics.
On paper, qualifications zangu (PhD) zimenifanya niipate kazi kiurahisi, lakini kwenye field mambo naona ni magumu kwangu.
Changamoto nayopitia: Nina aibu sana.
Kuna wanafunzi wa kike wakikaa mbele hapa na sketi fupi wananichanganya sana akili yangu. Yaani kuna muda unakuta naelezea vitu kwenye whiteboard lakini nikiangalia kibinti kinanichekea nasahau hata nilikuwa naongea nini, nabaki tu nachekacheka pale mbele kama zoba.
Wanafunzi wakinikazia sana macho na kuniuliza maswali magumu natetemeka sana pale mbele.
Waalimu wenzangu mnawezaje kupambana na hii hali?
Kweli wanafunzi wa chuo wakorofi sana.😞
Aaah mzee Wewe unaongea tu,ushawahi kusimama mbele ya ubao kama professor? Tena proffesa kijana?Haya..Hata hao hawakupanulii mapaja yao ni wewe tu na nyege zako za balehe zinakusumbua
Usisahau visheti na kababu ....Ngoja nikalete maandazi kabla haijapoa.
Ahhaaa.....kwahyo umefanikiwa? Hawajui una aibu?Haijaisha yote bado ipo ipo ila naficha wasijue kama nina aibu, nikiongea nao nawaangalia machoni
Ooh aise hongera ila na PhD yako unalipwa 30 Million kwa mwaka mbona ni kidogo sana?Ndo hii kazi nilipogiwa pande na jamaa...yeye ndo head of department
Mwalimu ni shule mkufunzi ni chuoTofauti ya mwalimu na mkufunzi ni nini?
Dah nlifungua goli la kupaka rangi kucha ila hii January biashara ikadodaUkiona ngumu piga chini njoo mtaani ufungue genge
Sasa hio na kukaa mtaani Bora kipi?Ooh aise hongera ila na PhD yako unalipwa 30 Million kwa mwaka mbona ni kidogo sana?
Mweh! Huu uzi ufungwe sasa...Hii phd labda umeipatia Mafinga wilaya ya Mufindi
Tayari kama haujui tofati ya hivyo viwili hauna sifa ya kuwa hapo ulipo (kama upo kweli)...... Dumb Professor.....Tofauti ya mwalimu na mkufunzi ni nini?
Mimi sijasimama huko chuon mbele ya hao wanafunzi ambao washagongwaaa weeee hata hawana kipya ukitoa ma make up hayo..Aaah mzee Wewe unaongea tu,ushawahi kusimama mbele ya ubao kama professor? Tena proffesa kijana?
Wanaona utofauti tu kuna maneno yasiyo na mipaka siwezi kuwaelezaAhhaaa.....kwahyo umefanikiwa? Hawajui una aibu?