Naomba Ushauri: Nataka ku-import mizinga ya kisasa ya nyuki toka China

Wadau mmeelezea vizur kuhusu suala la kuimport na aina za mizinga na uwezo wake...nimekuwa interested na hii biashara ya asali nilikuwa nahitaj kujua garama za kuanzisha hii biashara pia na changamoto zake na kuhusu masoko(bei)
 
... Kweli... Tuwe wazalendo angalau kwa haya tunayoyaweza.
Ingekuwa vizuri huo uzalendo ungeanzia kwa wauzaji kwanza sio kwa wanunuaji pekee. Mzinga china amekwambia ni 50,000 wakati tanzania ni 220,000. Yani bei ya mzinga mmoja tz unapata minne china
 
vipi mkuu ulifanikiwa??? naomba utupatie feedback mkuu
 
Sikununua tena China. Nlinunua hapahapa Tanzania. Kuna Wakenya waliniuzia mizinga mizuri..

Ntaenda China nikiamua kufuga large scale.
Mkuu bavaria mzinga ulinunua s.ngapi kwa hao wakenya?
 
Mkuu we kweli unajua..wengine wanaleta mihemko ya kibiashara tu.
 
Ninyi ndio mnasababisha thamani ya shilingi yetu kushuka. Kwani hapo Tanzania hakuna wachonga mizinga ya nyuki? Hakuna misitu? Ama unatafuta fahari tu.
UkiSkia mizinga we unajua ya mbai tu.
 
It's my pleasure introducing to you ALOHEN Company ltd.

Alohen is a private Company deals Located in Mafinga-Iringa dealing with Beehives and other related equipments, all our hives are manufactured here in Tanzania (not imported) with quality kiln dried pine patula timber and well smoothened to make a better and suitable home for bees. Our hives are strong durable and withstanding all environmental condition with a life span of more than 30 years. Our hives are designed with very strong and effective Hive doors to lock the bees inside during re-location or transportation. The door locks are designed in such a way that you can calibrate entrance to match the size of the bees in order to avoid entry of unwanted pests such as the Hive beetles, Wasps etc.

Ni mzinga wa kisasa wenye uwezo wa kutoa kilo 12 hadi 14 kwa mvuno mmoja,
Una uwezo wa kuvuna zaidi ya mara sita kwa mwaka mmoja

Attachments

Hachana na mambo ya China ingia Veta au Sido waambie wakutengenezee kama unavyotaka iwe utakuwa umepunguza Risk ya pesa yako kupotea
 
Unaweza kuniuliza hapahapa. Hakuna tatizo.

It's my pleasure introducing to you ALOHEN Company ltd.
Alohen is a private Company deals Located in Mafinga-Iringa dealing with Beehives and other related equipments, all our hives are manufactured here in Tanzania (not imported) with quality kiln dried pine patula timber and well smoothened to make a better and suitable home for bees. Our hives are strong durable and withstanding all environmental condition with a life span of more than 30 years. Our hives are designed with very strong and effective Hive doors to lock the bees inside during re-location or transportation. The door locks are designed in such a way that you can calibrate entrance to match the size of the bees in order to avoid entry of unwanted pests such as the Hive beetles, Wasps etc.

Ni mzinga wa kisasa wenye uwezo wa kutoa kilo 12 hadi 14 kwa mvuno mmoja,
Una uwezo wa kuvuna zaidi ya mara sita kwa mwaka mmoja
 
Attachments

Asali nawauzia wao. Performance ni nzuri kutokana na mazingira mzuri ya kufugia nyuki.
Mkuu Bavaria, naomba unisaidie mawasiliano ya hao wakenya. Nahitaji kupata mizinga aina ya langstrong Kwa ajili ya ufugaji nyuki kwenye shamba langu jipya.
 
Mkuu Bavaria, naomba unisaidie mawasiliano ya hao wakenya. Nahitaji kupata mizinga aina ya langstrong Kwa ajili ya ufugaji nyuki kwenye shamba langu jipya.

Mizinga hiyo mkuu, bei yetu ni laki na ishirini tu (Tshs 120,000/=), uwezo (capacity) ya mzinga mmoja ni lita 40 (madumu mawili) ya asali. Ukihitaji na banda (Bee Cage) bei yake ni Milioni nane tu (Tshs 8,000,000/=) Karibu.

0755732981 / 0784 324102
 
Mkuu Bavaria nahitaji mzinga aina ya commercial hive, naomba unisaidie mawasiliano ya hao watu waliokuuzia. Naomba unitumie pm kama hutojali

Kumradhi mkuu, nimechelewa kuona hili ombi lako.

Mawasiliano ni haya;

Green Acres House,
Ali Hassani Mwinyi Road,Victoria Area,
P.O. Box 5603, Dar es Salaam,Tanzania Tanzania

+255 756 664 369/ +255 737 218 778
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…