Naomba Ushauri: Nataka ku-import mizinga ya kisasa ya nyuki toka China

Mkuu Bavaria, naomba unisaidie mawasiliano ya hao wakenya. Nahitaji kupata mizinga aina ya langstrong Kwa ajili ya ufugaji nyuki kwenye shamba langu jipya.

Kumradhi mkuu, nimechelewa kuona hili ombi lako.

Mawasiliano ni haya;

Green Acres House,
Ali Hassani Mwinyi Road,Victoria Area,
P.O. Box 5603, Dar es Salaam,Tanzania Tanzania

+255 756 664 369/ +255 737 218 778
 
Ninyi ndio mnasababisha thamani ya shilingi yetu kushuka. Kwani hapo Tanzania hakuna wachonga mizinga ya nyuki? Hakuna misitu? Ama unatafuta fahari tu.
Kama huna uwezo wa kununua siyo lazima uchangie hii ni global market hiyo biashara na uzalendo huwa haviendani watu wanataka mafanikio we umekuja kujaza mipasho hapa hela inashukaje hapo kwa mfano
 
Jaman mm nipo interested na shughuli ya utegaji mizinga,,, msada tafadhal mana sijui chochote kuhusu hii kazi,,,

Je inachukua mda gan kuvuna asali bada ya kutega mizinga na pia kuna aina ngap tofaut za mizinga?? yan hapa namanisha mizinga inayokuwa tayar kuvuna asali kwa muda tofaut tofaut!!
 
Uingize na nyuki wa kichina kabisa
 
Mkuu nyuki wa Tanzania ukiwaletea mizinga ya China hawataingia! Hivyo ili usijepata hasara wewe sema wataka mizinga mingapi,size gani and your offer then nakupatia mizinga bora inayoendana na mazingira yetu.
MM NATAKA MIZINGA ILA SIJAJUA SIZE ZAKE NA PIA UFUGAJI WAKE WAWEZA NISAIDIA KUNIPA MWONGOZO KIDOGO KWA HILI
 

Mkuu inaonekana Uko vizuri sana,tafadhali msaada wapi naweza kupata vifaa vya urinaji na ukamuaji kama manual honey extractor.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sorry Mkuu,
Kwani Muuzaji feki hawezi kumiliki Paypal
 
Sorry Mkuu,
Kwani Muuzaji feki hawezi kumiliki Paypal

Sina hakika sana, ila nicacho fahamu ni kuwa hawezi pokea malipo hadi awathibitishie kuwe kweli ametuma mzgo kwako!
 

NI WAZO ZURI ULILO NALO.
KUPATA MAJIBU SAHIHI YA MASWALI YAKO FANYA YAFUATAYO:

1: KUHUSU KODI - NENDA TRA WATAKUPA MAJIBU SAHIHI

2. UBORA - WASILIANA NA ALIBABA, PIA TAFUTA WATU WA TBS
 
Hivi soko la asali hapa bongo lipoje
 
*TANGAZO LA MAFUNZO*
[emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]


Shirika la *PRA - Tanzania* linawaletea Watanzania wote Mafunzo ya Ufugaji wa Nyuki Kibiashara kwa Vitendo.

Mafunzo haya yatafanyikia *Usa River (Leganga), Arusha, Kwanzia Tar.11/11/2018 - 23/11/2018.*

*Gharama ni 100,000/=*

Utapewa;
*1. Chakula cha mchana kila siku.*
*2. Vitabu vya Mafunzo.*
*3. Usafiri kwenda Shambani.*
*4. Cheti mwisho wa mafunzo.*

BAADHI YA MADA NI;
[emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]
1. Kutengeneza mizinga ya nyuki wakubwa na nyuki wadogo.
2. Kutengeneza kitenga malkia katika mizinga ya kisasa.
3. Kuzalisha makundi ya nyuki.
4. Kugawa au kuonganisha makundi.
5. Kuainisha na Kusimamia Mashamba ya Nyuki
6. Kuhamisha Makundi ya nyuki.
7. Kuongeza uzalishaji wa mazao ya nyuki.
8. Mazao saba ya nyuki (Asali, Nta, Chavua, Gundi, Sumu ya nyuki, Maziwa ya nyuki, supu ya nyuki)
9. Kuvuna,Kuchakata, kupaki na Masoko ya Mazao ya Nyuki.
10. Kuandika miradi ya ufugaji wa nyuki na Upatikanaji wa Ruzuku/Ufadhili.
12. Ufugaji nyuki kwaajili ya utalii (Api-tourism)


MADA ZINGINE NI;
[emoji518][emoji518][emoji518][emoji518][emoji518][emoji518][emoji518][emoji518][emoji518]
*Kutengeneza Mafuta ya kujipaka kwa kutumia nta, Kutengeneza Viholda na Mishumaa ya nta, Kufanya masaji kwa kutumia asali, Jinsi ya kuchakata ka kupaki asali, chavua, maziwa ya nyuki kwaajili ya biashara, kutengeneza Tiba za Magonjwa mbalimbali kama vile; Allergies, Kikohozi, Athma, Nguvu za Kiume, Kiharusi, Ukosefu wa Choo/Choo kigumu, tumbo, uzee, n.k...*


Jisajili kwa Mawasiliano yafuatayo;
Simu: 0753970565
Barua pepe: pratanzania@gmail.com
Tovuti: www.pratanzania.org
Facebook: www.facebook.com/PRATanzania
Instagram: www.instagram.com/pra_tanzania
[emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]

Usipitwe na Fursa Hii;
Mwisho wa Usajili ni Tarehe *31/10/2018*, Wahi Nafasi mi Chache.
 
Naomba tuwasiliane 0762276275
jonasjovin3@gmail.com
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Naweza kupata ekari 60
 
what are the safe rules mkuu?
 
Ninyi ndio mnasababisha thamani ya shilingi yetu kushuka. Kwani hapo Tanzania hakuna wachonga mizinga ya nyuki? Hakuna misitu? Ama unatafuta fahari tu.
Mizinga hiyo inaweza kutengenezwa hapa Tanzania, ila tatizo ninaloliona ni upatiakanaji wa mbao bora kutoka katika miti iliyokomaa. Misitu yenye miti ya aina hii yawezekana imewekwa kama hifadhi. Ukipata mbao utaalamu upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…