Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

Wewe hapo baki na huyo uliyempa ujauzito beba mzigo wako uishi nae mtoto anahitaji malezi ya baba na mama
 
Hapa hakuna cha fair mkuu. Umeharibu tayari. In case unatafta fair basi oa wote. Hapo utakuwa umecheza vzr. Suala la nani umuoe nakushauri usikilize sana moyo wako unavyosema. usioe kwasabb ya huruma et huyu kanisubri sana au huyu kanibebea mimba. Fanya maamzi kwa kuwaona wote hawana mimba na wote wamekusubri kwa vipindi sawa! Hapo utamuona wa kumuoa!
 
Nashukuru
 
Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.

Katika situation kama uliyosimulia lazima kuna mtu ataumia na hapo ndipo neno "kucheza fair" is just a myth...

Katika hali kama yako watu wengi huamua kuishi na mwanamke mwenye ujauzito...

Siku nyingine jifunze kama hauna future na mwanamke, kondomu iwe kama jezi vile...
 
Mwanamke akitaka kuolewa huwa anawachumba wengi halafu anachagua mmoja ataemuoa, by assumption huyo mchumba wako kwakuwa bado hujamuoa bas kuna mwamba mwingine na yeye yupo kwenye racing kuelekea kumuoa.

Vice versa is true tena hapo hakijaharibika kitu na wewe uchague wa kumuoa, mambo mengine yote keep constant.

Mimi nachopenda kwenye kuoa wawepo na watu wanaoumia, sababu ndoa ni jambo la furaha basi furaha itanoga kama kuna mtu ataumia,
(angalizo usioe kwa kukomoa mtu)
kama kwenye mpira tu fainali watu wanachukua ndoo wanashangilia kwa furaha halafu wengine wanalia.

Mimi kipindi naoa, niliacha mtu nikaoa mwingine, niliemuacha wala hakuwa na kosa au shida yoyote na hatukuwahi kugombana bas tu nilijikuta nafanya ivo and I like it.
 
Usioe mwanamke kwa kumuonea huruma mfano kwa sababu ya mimba

Halafu huyo mchumbako mbona huko alipo watu wanajipigia tu unamwogopea nini sasa?

Wanawake ni wapumbavu sana anaona kabisa yuko siku za hatari na bado anakubali kutombwa kavu mtaishia kuwa single moms

New single mom in town anakuja
 
Ukipanda miogo itaota na ndiyo utakayovuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…