Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

Habari yenu ndugu zangu.

Niende kwenye mada.

Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.

Sasa mwaka jana mwez wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (kaskazini hukuhuku).

Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasabab hakutuwa tunaishi pamoja hata hapo awali na alikuwa na mishe zake anafanya kwahyo nikamuacha huko mkoani (nilipohamia ni mkoa jirani tu na alipo yeye).

Sasa mwez wa 9 nikakutana na binti mmoja katika mazingira ambayo yalifanya tubadilishane namba na hatimaye tukaanza kuwasiliana na kujikita tupo kwenye mahusiano ya rasharasha.
Kadri siku zilivokuwa zinaenda mapenz yakaanza kukolea.

Wiki ilopita alianza kunambia anajisikia vibaya mara kichwa mara kichefu chefu mara tumbo.

Majuzi kaenda kupima kaambiwa ana mimba ya wiki mbili kasoro na highly probably ni mimba yangu kwahesabu nilizopiga na hata hivo binti hana mambo mengi.

Nipo nawaza mchumba wangu itakuwaje, ananipenda nampenda hajanikosea anajua kabisa ni lazima nitamuoa na tayari huku binti naye nishampa ujauzito nayeye ananipenda sana tu sielewi cha kufanya.

Binti kashaanza kusema mimba hatoi na of course namimi sitak aitoe kibaya zaidi anasema anahitaji kupajua kwetu na kujua ndugu zangu in case ikitokea lolote bas ajue anaanzia wapi.

Huyu mchumba wangu cm kila mara sijui kanusa nini yani sim na mesej ni almost kila muda na huyu Binti nilichokosea sikumwambia kwamba ninamchumba na tuna mpango wa kuja kufunga ndoa.

Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.
Wewe hapo baki na huyo uliyempa ujauzito beba mzigo wako uishi nae mtoto anahitaji malezi ya baba na mama
 
Hapa hakuna cha fair mkuu. Umeharibu tayari. In case unatafta fair basi oa wote. Hapo utakuwa umecheza vzr. Suala la nani umuoe nakushauri usikilize sana moyo wako unavyosema. usioe kwasabb ya huruma et huyu kanisubri sana au huyu kanibebea mimba. Fanya maamzi kwa kuwaona wote hawana mimba na wote wamekusubri kwa vipindi sawa! Hapo utamuona wa kumuoa!
 
Nashukuru
 
Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.

Katika situation kama uliyosimulia lazima kuna mtu ataumia na hapo ndipo neno "kucheza fair" is just a myth...

Katika hali kama yako watu wengi huamua kuishi na mwanamke mwenye ujauzito...

Siku nyingine jifunze kama hauna future na mwanamke, kondomu iwe kama jezi vile...
 
Habari yenu ndugu zangu.

Niende kwenye mada.

Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.

Sasa mwaka jana mwez wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (kaskazini hukuhuku).

Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasabab hakutuwa tunaishi pamoja hata hapo awali na alikuwa na mishe zake anafanya kwahyo nikamuacha huko mkoani (nilipohamia ni mkoa jirani tu na alipo yeye).

Sasa mwez wa 9 nikakutana na binti mmoja katika mazingira ambayo yalifanya tubadilishane namba na hatimaye tukaanza kuwasiliana na kujikita tupo kwenye mahusiano ya rasharasha.
Kadri siku zilivokuwa zinaenda mapenz yakaanza kukolea.

Wiki ilopita alianza kunambia anajisikia vibaya mara kichwa mara kichefu chefu mara tumbo.

Majuzi kaenda kupima kaambiwa ana mimba ya wiki mbili kasoro na highly probably ni mimba yangu kwahesabu nilizopiga na hata hivo binti hana mambo mengi.

Nipo nawaza mchumba wangu itakuwaje, ananipenda nampenda hajanikosea anajua kabisa ni lazima nitamuoa na tayari huku binti naye nishampa ujauzito nayeye ananipenda sana tu sielewi cha kufanya.

Binti kashaanza kusema mimba hatoi na of course namimi sitak aitoe kibaya zaidi anasema anahitaji kupajua kwetu na kujua ndugu zangu in case ikitokea lolote bas ajue anaanzia wapi.

Huyu mchumba wangu cm kila mara sijui kanusa nini yani sim na mesej ni almost kila muda na huyu Binti nilichokosea sikumwambia kwamba ninamchumba na tuna mpango wa kuja kufunga ndoa.

Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.
Mwanamke akitaka kuolewa huwa anawachumba wengi halafu anachagua mmoja ataemuoa, by assumption huyo mchumba wako kwakuwa bado hujamuoa bas kuna mwamba mwingine na yeye yupo kwenye racing kuelekea kumuoa.

Vice versa is true tena hapo hakijaharibika kitu na wewe uchague wa kumuoa, mambo mengine yote keep constant.

Mimi nachopenda kwenye kuoa wawepo na watu wanaoumia, sababu ndoa ni jambo la furaha basi furaha itanoga kama kuna mtu ataumia,
(angalizo usioe kwa kukomoa mtu)
kama kwenye mpira tu fainali watu wanachukua ndoo wanashangilia kwa furaha halafu wengine wanalia.

Mimi kipindi naoa, niliacha mtu nikaoa mwingine, niliemuacha wala hakuwa na kosa au shida yoyote na hatukuwahi kugombana bas tu nilijikuta nafanya ivo and I like it.
 
Usioe mwanamke kwa kumuonea huruma mfano kwa sababu ya mimba

Halafu huyo mchumbako mbona huko alipo watu wanajipigia tu unamwogopea nini sasa?

Wanawake ni wapumbavu sana anaona kabisa yuko siku za hatari na bado anakubali kutombwa kavu mtaishia kuwa single moms

New single mom in town anakuja
 
Habari yenu ndugu zangu.

Niende kwenye mada.

Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.

Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku).

Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi pamoja hata hapo awali na alikuwa na mishe zake anafanya kwahyo nikamuacha huko mkoani (nilipohamia ni mkoa jirani tu na alipo yeye).

Sasa mwezi wa 9 nikakutana na binti mmoja katika mazingira ambayo yalifanya tubadilishane namba na hatimaye tukaanza kuwasiliana na kujikita tupo kwenye mahusiano ya rasharasha.
Kadri siku zilivokuwa zinaenda mapenzi yakaanza kukolea.

Wiki iliyopita alianza kunambia anajisikia vibaya mara kichwa mara kichefu chefu mara tumbo.

Majuzi kaenda kupima kaambiwa ana mimba ya wiki mbili kasoro na highly probably ni mimba yangu kwahesabu nilizopiga na hata hivo binti hana mambo mengi.

Nipo nawaza mchumba wangu itakuwaje, ananipenda nampenda hajanikosea anajua kabisa ni lazima nitamuoa na tayari huku binti naye nishampa ujauzito na yeye ananipenda sana tu sielewi cha kufanya.

Binti kashaanza kusema mimba hatoi na ofcourse na mimi sitaki aitoe kibaya zaidi anasema anahitaji kupajua kwetu na kujua ndugu zangu in case ikitokea lolote basi ajue anaanzia wapi.

Huyu mchumba wangu simu kila mara sijui kanusa nini yani simu na meseji ni almost kila muda na huyu Binti nilichokosea sikumwambia kwamba nina mchumba na tuna mpango wa kuja kufunga ndoa.

Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.

View attachment 3194170
Ukipanda miogo itaota na ndiyo utakayovuna.
 
Back
Top Bottom