Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

Kaa chini mfanye kikao kizito wewe pamoja na akili yako, baada ya hapo Owa unaemkubali zaidi!!
 
Huu ni ushauri mzuri ila akimkuta mwanamke ana misimamo anaweza akampoteza huyo mchumba wake.

Kuna wanawake Wana misamamo sana. Wengine wanaweza kukusamehe lakini upendo na trust ikashuka mkaishi tu kwa mazoea ila si kwa mapenzi.

Kikubwa nadhani aanze kumueleza mchepuko ukweli. Na amuombe tu awe msiri
Kufanya hivi atajua msimamo wa mchepuko.

Kwa msimamo huo utampa dira ya namna ya kumuingia mchumba ake

Asilimia 85 ya wabunge wa CCM hawatarudi bungeni 2025
 
Huu ushauri ni mzuri lakini hiyo sentensi yako ya mwisho umeandika ukiwa unaelekea kusinzia.
 
Una uhakika yule uliyemuacha Mkoani unampenda kweli?
Mbona ni kama Unataka kumuacha?
Na huyo wa pili Kisa cha kulazimisha kwenda kwenu ni nini?
Nasimama na mdada uliyemsaliti 😜
 
Chief jaribu hivi.

Mwambie ukweli huyo mwanamke kuwa una mchumba wako wa siku nyingi, na ulipanga kuoana nae ila sababu ya umbali ukajikuta unaanza mahusiano mengine yaliyopelekea yeye kubeba mimba.

Ukimaliza huko, kama mchepuko kaelewa somo, fanya chapu muoe mchumba wako wa mwanzo( ila tu kama unampenda ,usioe kwa kumuonea huruma muda uliompotezea).

Mkishaoana ndio badae uje kumwambia ukweli wote kua una mtoto ila mchepuko ulikuficha kuhusu hiyo mimba, so now mchepuko kaniambia kuhusu mtoto wangu nmeona sio mbya nikakuomba msamaha.



Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
SIKUAMINI NA LEO TENA NIMETOKA KUCHUKUA VIPIMO NIMEMPIMA HOME IMO WAZEE NASHINDWA KUELEWA CHA KUFANYA NAANZAJE KUMWAMBIA UKWELI MCHUMBA WANGU NA NAJIULIZA HII DISAPPOINTMENT NITAIHENDO VIPI
Hii ndio sababu tukipokuwa shule ilikuwa nilazima usome biology.

Ukisex bila kutumia kinga tegemea mimba kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…