Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

Fata moyo wako unaempenda. Sio kufata mtoto. Kama binti mwenye mimba ndiye unamkubali chukua huyo, kama ni huyo wa mkoani nenda kamwambie atakusamehe
Pascal Mayalla alishauri sio kila ukweli usemwe.

Nakumbuka niliambiwa nisioe mwanamke kwa sababu tu nimempa mimba. Bali awe amefikisha vigezo vingine ambavyo nilikuwa navyo kwa ajili ya mwenza.
 
Amwambie mchumba ameteleza, waendelee na mipango, huyu mjamzito amwambie atalea mtoto!..
Mimba inapangwa kutafutwa siyo unaileta tu kwa sapraizi.
 
Mkuu mwenye mimba yake kasema anampenda huruma inatoka wapi halafu upumbavu sehem ya pili ni kulala na mwanamke bila kuvaa condom wakati huna lengo la kuitwa baba
 
Yaani atelekeze mimba au sijaelewa?
 
oa huyo ulomtia dungu mkuu,mana niafadhal kuanz mechi huku unagol1 kibindon kuliko ianze bila bila. unaez kuta huyo ulotaka funga nae ndoa hawez kukuzalia. mke sahih huwez kupanga huwa inatkea t.
 
Mkuu mwenye mimba yake kasema anampenda huruma inatoka wapi halafu upumbavu sehem ya pili ni kulala na mwanamke bila kuvaa condom wakati huna lengo la kuitwa baba
Huyo demu anaweza akawa anapenda asipopendwa

Huyo jamaa na kamwanamke kake wote wajinga wanatombanaje kavu siku za hatari hawajui matokeo yake?

Mwanamke hakikisha unapigwa kavu na mume wako wa ndoa

 
Fanya hivi
1. Mwambie mchumba wako umeharibu ila utamuoa, akikubali ruka naye huyo ndio mke
Ila mtoto umlee inavyotakiwa
2. Akikasirika sababu umetia mimba huku ruka na uliyempa mimba ila ujiandae na vimbwanga.
 
Yaani atelekeze mimba au sijaelewa?
Hapana huo ni ukatili! Amuweke wazi tu kuwa alikuwa na mtu ila amlishindwa kumweleza.

Kisha kwa muktadha huo Sasa, asikilize mwanamke atakachosema!

From there atapata Nini Cha kufanya!

Pengine kwa kusema ivo! Mwanamke anaweza nae akafunguka na kusema kuwa hiii mimba pia si yako, PENGINE

AU Binti akakubali tu kuwa atatunza Siri na kuwa wabaki tu kuwa wazazi

Nacho jaribu kusema ni kuwa katika uwazi kwa huyu mwenye mimba linaweza kumpa dira!

Kuna kisa fulani Cha jamaa angu kilimtokea kama hivi
 
kwa mimi kipaumbele ni mtoto so ningedili na mama kijacho. But kwanza ningewaweka wazi wote kilichotokea kisha ningefocus na mama kijacho. Huyo mchumba kwa miaka mitatu mliyozini hakupata hata mimba mwenzie kamuovateki kaja juzi na mimba juu. Watu wanajua kujiongeza.
 
Tayari kichwa panzi umeshabambikiwa MIMBA.

Hicho kipimo kwa akili yako hapo kinasomaje ujauzito wa wiki mbili??!!!stuka umepigwa na umbumbu wako๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ yaani wamekusoma kuwa ww mgeni wakakupa na MIMBA.

Ungekuwa unahudhuria vikao vya wanaume haya yote yasingekukuta. Haya pambana kuleo watoto wa wanaume wenzako.

Mkiwa wageni sehemu mtulie kwanza kusoma mazingira. Kimeshakuramba unakuja JF kutupigia kelele.


#Kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
 
Akili yako imeganda, nililala naye tar27 mwez wa 12 haya mpka siku naleta huu uzi ni muda gani? Unafikiria kwamba hao wanawake wakijinga mnaowapata ndo kila mtu anawapata wa hivo? Mwanamke humjui kaa kimya
 
Akili yako imeganda, nililala naye tar27 mwez wa 12 haya mpka siku naleta huu uzi ni muda gani? Unafikiria kwamba hao wanawake wakijinga mnaowapata ndo kila mtu anawapata wa hivo? Mwanamke humjui kaa kimya
We mshamba tu, ungekuwa mjanja na mzoefu wa wanawake usingekuja kuomba ushauri hapa kwa ujinga ulioufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ