Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

Kwani mwenzetu nini kilikupata juzi kati, mbona unasema hivyo?

Sijapatwa na chochote wala sijai tapeliwa isipokua stay vigilant na ujue full details and verify cz nyumba nyingi za kununua za urithi zina migogoro sana hasa kutokana na ndugu (wauzaji) kuzungukana ama aliye acha urithi ukute kuna namna ana mapingamizi yake aliyo acha.

Inawezekana kununua ila kuwa makini sana na weka makubaliano makali ikitokea wauzaji wanakuja kuzengua unawasweka ndani unakula nao biriani sahani moja.

So unaweza nunua nyumba za hivyo zenye migogoro kila siku ikawa ni kupoteza muda mahakamani mpaka uje urejeshewe stahiki zako ni kipande na ushapoteza muda. So linaloweza epukika liepuke tu.
 
Sijapatwa na chochote wala sijai tapeliwa isipokua stay vigilant na ujue full details and verify cz nyumba nyingi za kununua za urithi zina migogoro sana hasa kutokana na ndugu (wauzaji) kuzungukana ama aliye acha urithi ukute kuna namna ana mapingamizi yake aliyo acha.

So unaweza nunua nyumba za hivyo zenye migogoro kila siku ikawa ni kupoteza muda mahakamani mpaka uje urejeshewe stahiki zako ni kipande na ushapoteza muda. So linaloweza epukika liepuke tu.
Nimekuelewa. Lakini nahisi ule msisitizo wako, kuna jambo umewahi kujifunza kwa uzoefu binafsi. Emu funguka tu, buana. Mimi spika nakulindia muda wako. No one will eat into your time.
 
Nimekuelewa. Lakini nahisi ule msisitizo wako, kuna jambo umewahi kujifunza kwa uzoefu binafsi. Emu funguka tu, buana. Mimi spika nakulindia muda wako. No one will eat into your time.

Blaza nishaona watu wakiingia kwenye majanga kama hayo hata kwa kuangalia kikubwa ni kupotezewa muda na fedha kutokana na migogoro iwe ya muuzaji mwenyewe au migogoro ya warithi.

Inshort wauzaji anza kuwapekua kuanzia ngazi ya majirani, mjumbe wa nyumba 10, M/Kiti Serikali Ya Mtaa, Mtendaji Kata, Manispaa mpaka verification kutoka Ardhi na maelezo yote utapopita huko yawe sawa sawia (parallel). Kote huko unapopita omba historia ya eneo husika ukweli utaujua tu. Usipuuze hata doubt moja ya maneno mawili.

Mwisho weka legal papers za maana hakikisha wanaopokea hela yako hawachomoki wakizenugua una watia ndani.

Kikubwa Ni Kuepuka Kupotezewa Fedha Na Muda. All The Best [emoji817].
 
Ukiamua kununua nyumba, nunua za shirika la nyumba au kampuni za real estate, ila usije ukanunua nyumba kwenye minada ya mahakama au iliyokwisha kuishi mtu yoyote.

Ukiamua kujenga basi uwe na muda wa kufuatilia kila hatua na ujipe muda kwenye huo ujenzi.

Haya chagua unachokiweza hapo.
 
Back
Top Bottom