Naomba ushauri: Nimdhamini au niachane naye?

Naomba ushauri: Nimdhamini au niachane naye?

Asilimia 90 ya waliocomment huu uzi ni watu wa dar na watu wa dar wanajulikana kwa roho mbaya

Mi nadhani uliposema tu jamaa ana familia hyo ni sababu tosha ya kumdhamini jamaa yako sababu hawezi kukimbia na kutelekeza familia yake.

Fanya wema naamini kuna siku utakulipa.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Bro wanasemaje hapo mkoani ?
Mvua vipi zinanyesha huko ? Jitahidi kulima sana huku dar kumenoga tunasubiri mvune ili mje kutuuzia mahindi yenu kwa bei za hasara.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Issue ni kwamba wanasema kama ataiba au ataibiwa lindoni na kukimbia wadhamini ndio tutapaswa kumpeleka au kulipa mali zilizoibiwa.
Hapo mashahidi wafanye nini?
Fafanua
Hao mashaidi wasimamie masharti yako kwamba usihusike na gharama zitakazo tokana na changamoto ya hio kazi yake.
 
We kamdhamini bhana,ila hakikisha unajua background yake ya aliookuwa anafanya kazi
Nini hasa kilioelekea kutemeshwa mzigo.
Maana usije Kuta,alishiriki upotevu wa Mali au kushiriki wizi Kwa namna Moja au nyingine.

Kingine,ujue mahusiano na ndugu zake yakoje
Sasa hivi hata ndugu awe wapi barua za udhamini zinamfikia mlengwa.
So fanya hovyo.

Japo udhamini nasikia Huwa una mda wake anapofikisha mda flani kazini udhamini unaisha.inabaki yeye na mwajiri wake.
Kama unavojua mjini mipango,msaidie apate kazi.
 
kwani kumdhamini mtu unadhani ni kumlipa mshahara au??? acha rohoo mbayaaa udhamini mara chache sana utakuweka kwenye matatizo kampuni haiwezi kuja kukushika wew kwa makosa yake.
Jichanganye, utayatumba one day.!
 
Bro wanasemaje hapo mkoani ?
Mvua vipi zinanyesha huko ? Jitahidi kulima sana huku dar kumenoga tunasubiri mvune ili mje kutuuzia mahindi yenu kwa bei za hasara.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Manishi dar au mnaishi kwenye majaruba ya mipunga, dar ni mto hameni huko kuna siku mvua itapiga kwa wiki moja mtazamishwa mji mzima

Lake dar salama
 
Manishi dar au mnaishi kwenye majaruba ya mipunga, dar ni mto hameni huko kuna siku mvua itapiga kwa wiki moja mtazamishwa mji mzima

Lake dar salama
Umewahi kufika Dar lakini mkuu ?
Kwasisi wazawa tunaishi sehemu nzuri ambako hata mvua inyeshe mwaka mzima haina shida .

Huko unakosikia kuna mafuriko ni kule ndugu zenu wa mkoani wanakoishi maana walikimbia huko kwenu mikoani eti wanakuja kutafuta maisha huku kwetu .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Leo kwake kesho kwako, kuimba kupokezana maisha ni kusaidiana.

Ielewe comment #11, halafu umdhamini, msaidie mwanaume mwenzio.
 
Asilimia 90 ya waliocomment huu uzi ni watu wa dar na watu wa dar wanajulikana kwa roho mbaya

Mi nadhani uliposema tu jamaa ana familia hyo ni sababu tosha ya kumdhamini jamaa yako sababu hawezi kukimbia na kutelekeza familia yake.

Fanya wema naamini kuna siku utakulipa.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Familia yake sijui
Simjui hata ndugu yake wala nyumbani kwake.
May be nimwambie anipele kwao
 
Fanya ivo huwezi kumdhamini mtu hujui kwake wala familia yake

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Zamani aliwahi kanisimulia story nadhani yeye mwenyewe kasahau. Aliwahi kufanya kazi ya ulinzi akiwa na mwenzake walipiga dili wakapata zaidi ya milioni 50 wakagawana 25 ml. kila mmoja. Akaacha kazi kwa amani tu dili halijabumburuka.
Mimi huyu nilikutana naye kwenye kazi za migodi 2014.
Vipi hawezi kurudia tena kukwiba mali za watu?
 
Aysee kuna watu roho mbaya.
Kwani ukimzamini utapungukiwa nini?
Achana na wanaokutia hofu, msaidie jamaa
 
Zamani aliwahi kanisimulia story nadhani yeye mwenyewe kasahau. Aliwahi kufanya kazi ya ulinzi akiwa na mwenzake walipiga dili wakapata zaidi ya milioni 50 wakagawana 25 ml. kila mmoja. Akaacha kazi kwa amani tu dili halijabumburuka.
Mimi huyu nilikutana naye kwenye kazi za migodi 2014.
Vipi hawezi kurudia tena kukwiba mali za watu?
Kama ndio ivo huyo jamaa sio muaminifu usimdhamini anaweza kukutia matatizoni ...ila mchane ukweli kwanini huwezi kumdhamini

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mdhamini… watu wanadhamini wabakaji na makesi mengine kibao huyo ni ajira tu ndio ushindwe?
 
Back
Top Bottom