MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Bro wanasemaje hapo mkoani ?Asilimia 90 ya waliocomment huu uzi ni watu wa dar na watu wa dar wanajulikana kwa roho mbaya
Mi nadhani uliposema tu jamaa ana familia hyo ni sababu tosha ya kumdhamini jamaa yako sababu hawezi kukimbia na kutelekeza familia yake.
Fanya wema naamini kuna siku utakulipa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mvua vipi zinanyesha huko ? Jitahidi kulima sana huku dar kumenoga tunasubiri mvune ili mje kutuuzia mahindi yenu kwa bei za hasara.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app