MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Bro wanasemaje hapo mkoani ?Asilimia 90 ya waliocomment huu uzi ni watu wa dar na watu wa dar wanajulikana kwa roho mbaya
Mi nadhani uliposema tu jamaa ana familia hyo ni sababu tosha ya kumdhamini jamaa yako sababu hawezi kukimbia na kutelekeza familia yake.
Fanya wema naamini kuna siku utakulipa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nipo dar mkuu nahangaika na mafurikoBro wanasemaje hapo mkoani ?
Mvua vipi zinanyesha huko ? Jitahidi kulima sana huku dar kumenoga tunasubiri mvune ili mje kutuuzia mahindi yenu kwa bei za hasara.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Umkimbie kijanja wapi bwana ? Yaani kumchana kuwa sitaki kukudhamini ndiyo unaogopa .?Nimchane au nimkimbie kijanja?
Hao mashaidi wasimamie masharti yako kwamba usihusike na gharama zitakazo tokana na changamoto ya hio kazi yake.Issue ni kwamba wanasema kama ataiba au ataibiwa lindoni na kukimbia wadhamini ndio tutapaswa kumpeleka au kulipa mali zilizoibiwa.
Hapo mashahidi wafanye nini?
Fafanua
We jamaa utaua watu😂😂😂Mimi kwa uzoefu wangu nakushauri mkatae tu ndugu yangu .
Tena bora ingekuwa ni kampuni hizi za ulinzi ila ulivyosema ni kampuni za uzinzi sikushauri huko magonjwa nje nje yaani
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Jichanganye, utayatumba one day.!kwani kumdhamini mtu unadhani ni kumlipa mshahara au??? acha rohoo mbayaaa udhamini mara chache sana utakuweka kwenye matatizo kampuni haiwezi kuja kukushika wew kwa makosa yake.
haipo hiyoo nduguu hakuna mdamini ashawahi fungwa kisaa mfanyakazi aliemdhamini kazinguaJichanganye, utayatumba one day.!
Manishi dar au mnaishi kwenye majaruba ya mipunga, dar ni mto hameni huko kuna siku mvua itapiga kwa wiki moja mtazamishwa mji mzimaBro wanasemaje hapo mkoani ?
Mvua vipi zinanyesha huko ? Jitahidi kulima sana huku dar kumenoga tunasubiri mvune ili mje kutuuzia mahindi yenu kwa bei za hasara.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Umewahi kufika Dar lakini mkuu ?Manishi dar au mnaishi kwenye majaruba ya mipunga, dar ni mto hameni huko kuna siku mvua itapiga kwa wiki moja mtazamishwa mji mzima
Lake dar salama
Familia yake sijuiAsilimia 90 ya waliocomment huu uzi ni watu wa dar na watu wa dar wanajulikana kwa roho mbaya
Mi nadhani uliposema tu jamaa ana familia hyo ni sababu tosha ya kumdhamini jamaa yako sababu hawezi kukimbia na kutelekeza familia yake.
Fanya wema naamini kuna siku utakulipa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Fanya ivo huwezi kumdhamini mtu hujui kwake wala familia yakeFamilia yake sijui
Simjui hata ndugu yake wala nyumbani kwake.
May be nimwambie anipele kwao
Zamani aliwahi kanisimulia story nadhani yeye mwenyewe kasahau. Aliwahi kufanya kazi ya ulinzi akiwa na mwenzake walipiga dili wakapata zaidi ya milioni 50 wakagawana 25 ml. kila mmoja. Akaacha kazi kwa amani tu dili halijabumburuka.Fanya ivo huwezi kumdhamini mtu hujui kwake wala familia yake
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kama ndio ivo huyo jamaa sio muaminifu usimdhamini anaweza kukutia matatizoni ...ila mchane ukweli kwanini huwezi kumdhaminiZamani aliwahi kanisimulia story nadhani yeye mwenyewe kasahau. Aliwahi kufanya kazi ya ulinzi akiwa na mwenzake walipiga dili wakapata zaidi ya milioni 50 wakagawana 25 ml. kila mmoja. Akaacha kazi kwa amani tu dili halijabumburuka.
Mimi huyu nilikutana naye kwenye kazi za migodi 2014.
Vipi hawezi kurudia tena kukwiba mali za watu?
[emoji2]Mimi kwa uzoefu wangu nakushauri mkatae tu ndugu yangu .
Tena bora ingekuwa ni kampuni hizi za ulinzi ila ulivyosema ni kampuni za uzinzi sikushauri huko magonjwa nje nje yaani
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Naunga mkojo hona.Laa sivyo,aukane mwandiko wake.Mimi kwa uzoefu wangu nakushauri mkatae tu ndugu yangu .
Tena bora ingekuwa ni kampuni hizi za ulinzi ila ulivyosema ni kampuni za uzinzi sikushauri huko magonjwa nje nje yaani
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app