Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?


  • Total voters
    53

Acha ubinafsi,mfungulie mke biashara
 
Hapana hujafilisika baada ya kuoa sema ulikuwa hujajipanga....kwani baada ya kuoa tayari umeshaongeza mtu kwenye familia na huwezi mlisha maandazi matano na juice kama ulivyokuwa unakula wewe,tatizo lako ulitaka maisha yawe yaleyale...so usimtafute mchawi,mchawi ni wewe mwenyewe ulishindwa kuongeza kipaataoo baada ya kuoa.
 
Umesema la maana sikuwa na hiyo akili
 

Umepiga hesabu ya elfu10 ya kula kwa siku

Umesahau wigi, lotion, shampoo, shower gel, wanja, lipsticks face foundation, nail polish perfumes etc za mke. Au ndio umemleta hapo akiwa mrembo ili umchakaze🤣🤣🤣🤣

Ndoa ni jukumu
 
Na hapo sijaviweka hivi inamaana kwa mwaka IST moja imeteketea😭
 
Ongeza mke wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…