Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Unataka uitwe baba kwa njia gani mkuu kama sio njia halal ya ndoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHow come upo busy humu? Keep your words.
mzee wa ndoa ni wizi..ni ubatiliaiione dronedrake [emoji2][emoji2]
alishaiona mapema tu mbona😂😂😂mzee wa ndoa ni wizi..ni ubatili
Tangu lini masikini akafilisikaKabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu kwenye chakula, sikuwa mtu wa mawazo ya usumbufu wa kudaiwa daiwa vitu vya ndani kifupi nilikuwa naenjoy sana maisha yale hasa kwenye mambo ya kiuchumi yani sikuwa nakosa hela mfukoni.
Baada ya kuoa mwaka jana mwezi wa saba hali ikabadilika ghafla hela zikawa zinaishia kwenye chakula, mimi kama mwanaume naweza kununua hata maandazi matano nikanywa na juice na siku ikaisha ila kwa mke hutaweza kufanya hivyo itabidi utoe hela ya chakula na kwa maisha ya Dar sio chini ya elfu 10 kwa siku yaani kwa watu wawili mme na mke ukiwa na mtoto inaeza fikia mpka 20 kwa siku.
Kwahiyo kwa siku lazima 10 initoke kwa wiki elfu 70 mwezi 280,000, Mwaka 3,360,000. Hapo bado sijaweka umeme, maji, vocha, nauli za kwenda sokoni na kwenye mishe zangu na matibabu pia, bado kodi ambayo kwa mwezi nalipa 100,000. Kwahiyo chakula na kodi kwa mwaka ni 4,560,000 bado sijaweka vingine kwahiyo kwa mwaka ikanigharimu zaidi ya million 7.
Hapa nilipo hali imekuwa mbaya hasa njaa, hela zangu zimeisha kwasababu ya kuoa tu kwasababu tu ya kutaka kumiliki mbunye wakati sabuni zipo na oil na mimi sio mlevi wala mtu wa kuhonga.
Nimegundua kuwa kuoa ni hasara kubwa sana duniani sasa naomba ushauri nirudishe huyu mke ili niepuke hizi hasara ama nibaki nae kwasababu yakutaka kuwa na mbunye karibu nife maskini mwishowe.
Kama Diamond Platnumz mke amemshinda akaacha, Alikiba akaacha, Bill Gates kaacha mimi nitaweza vipi kuishi na mke ikiwa matajiri yamewashinda?
Unaongea hivi kwasababu hujaoaZamani nikiwa nasoma, nilikuwa nampigia kaka yangu simu namwambia kaka naomba hela nimefulia, alikuwa ananirekebisha ananiambia hujafulia, sema huna hela.
Na wewe mtoa mada tafuta tafsiri sahihi ya kufilisika au tumia neno jingine.