Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Mshukuru Mungu, ulipata mwanamke ambaye ni baraka kwako... rejea uzao na kuneemeka kwa mimea... lazima sehemu jike na dume za mmea vikutane ili kuwe na matunda na mazao mwisho wa siku... mbegu mbovu daima mazao yako huwa mabovu, uchavushaji (kujaamisha me na ke ya mmea) hafifu daima mazao yake ni hafifu....To be honest wakati sijaoa nilikua sina hela kabisa, yaani akili ya utafutaji ilikua imelala kabisa alafu nilikua nime relax tu naona kama kawaida tu yaani nipo nipo.
Nilipokuja kuoa sasa ndio akili ikafunguka, yaani kichwa kikawa active balaa kubuni madili ya pesa na pesa zikawa zinamiminika tu hadi wazazi wakawa wanashangaa kumbe mtoto wao nina akili hivi.
Now nashukuru mungu na namshukuru mke wangu kwa kunikubali kipindi kile katika hali kama ile.
Kauli mbiu yangu : Ukiwa na mke ndio milango ya mafanikio inafunguka labda uamue kuifunga mwenyewe.
Sometimes we push the door that says PULL.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia hayo pia ndio maisha ya mwanadamu
Kiuhalisia hayo pia ndio maisha ya mwanadamu