Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?

  • Total voters
    53
To be honest wakati sijaoa nilikua sina hela kabisa, yaani akili ya utafutaji ilikua imelala kabisa alafu nilikua nime relax tu naona kama kawaida tu yaani nipo nipo.

Nilipokuja kuoa sasa ndio akili ikafunguka, yaani kichwa kikawa active balaa kubuni madili ya pesa na pesa zikawa zinamiminika tu hadi wazazi wakawa wanashangaa kumbe mtoto wao nina akili hivi.

Now nashukuru mungu na namshukuru mke wangu kwa kunikubali kipindi kile katika hali kama ile.

Kauli mbiu yangu : Ukiwa na mke ndio milango ya mafanikio inafunguka labda uamue kuifunga mwenyewe.

Sometimes we push the door that says PULL.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila kitu ni kwaajili ya kila mtu [emoji41] ... Usilazimishe mambo, kwasabab fulan ameweza uczan na wew utaweza, Fanya ukishindwa acha lasivyo utakufa mapema
 
To be honest wakati sijaoa nilikua sina hela kabisa, yaani akili ya utafutaji ilikua imelala kabisa alafu nilikua nime relax tu naona kama kawaida tu yaani nipo nipo.

Nilipokuja kuoa sasa ndio akili ikafunguka, yaani kichwa kikawa active balaa kubuni madili ya pesa na pesa zikawa zinamiminika tu hadi wazazi wakawa wanashangaa kumbe mtoto wao nina akili hivi.

Now nashukuru mungu na namshukuru mke wangu kwa kunikubali kipindi kile katika hali kama ile.

Kauli mbiu yangu : Ukiwa na mke ndio milango ya mafanikio inafunguka labda uamue kuifunga mwenyewe.

Sometimes we push the door that says PULL.!

Sent using Jamii Forums mobile app
🤗🪓
 
Ukiowa wewe kama kijana mume na binti mke mnatakiwa muache yale mliyokuwa mnafanya kama show off kwa jamii,kabisa muambiane cos maisha ya ndoa ni realty hayataki ubabaishaji wewe unalalamika vitu kama maandazi sijui nilikuwa sinunui vitu gani kabla ya muda fulani:ukiowa epuka hivi 👇🏿

(1)
Ulipokuwa single ulikuwa unakaa Sinza room moja leo umeowa utake kupanga upande mmoja wa nyumba na kipato ni kile kile wewe hutoboi.
(2)
Mkeo mlipokuwa wachumba kila week alikuwa anavaa nguo mpya kutokana na mfuko wako leo mmeowana mnaacha kupanga future yenu miaka kumi mbele itakuwaje bado mkeo ashindane na ma-slay queen kuvaa kipato kikiwa kile kile wewe hutoboi
(3)
Kupelekana kwenye starehe kipato kwa week 100K lakini unataka muende bar mbalimbali mjini zenye hadhi weekend unamwambia usipike tutoke mkienda bill ikija ndogo ni 80K na kipato chako hakijaongezeka wewe hutoboi
(4)
Kumbadilishia mkeo vitu vya thamani simu,saa,chain hereni etc bila sababu za msingi huku kipato kikiwa kile kile wewe hutoboi.

Lessons;Mke uliyeamua kumpeleka kama ni kwa sheikh padre au mchungaji kwamba tumeamua sasa kujenga familia hadekezwi kwa vitu luxurious kama nilivyoorodhesha hapo juu,wewe mpe uhakika wa kwanza heshima yake (kwamba ni yeye tu mwenye thamani ya mapenzi kwako),uhakika wa kulisha familia mliyoianzisha na uhakika wa kuishi kama mwanamke smart,avae nguo nzuri ila siyo hizo za kila wiki pia uhakika wa malazi (nyumba) the rest utajiangusha mwenyewe.
Kaka unaonekana una akili sana 💯
 
To be honest wakati sijaoa nilikua sina hela kabisa, yaani akili ya utafutaji ilikua imelala kabisa alafu nilikua nime relax tu naona kama kawaida tu yaani nipo nipo.

Nilipokuja kuoa sasa ndio akili ikafunguka, yaani kichwa kikawa active balaa kubuni madili ya pesa na pesa zikawa zinamiminika tu hadi wazazi wakawa wanashangaa kumbe mtoto wao nina akili hivi.

Now nashukuru mungu na namshukuru mke wangu kwa kunikubali kipindi kile katika hali kama ile.

Kauli mbiu yangu : Ukiwa na mke ndio milango ya mafanikio inafunguka labda uamue kuifunga mwenyewe.

Sometimes we push the door that says PULL.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkeo ana baraka zake, wengine ni misala tu
 
Sijawahi kusikia mwanaume yeyote rijali,tajiri au masikini akiongea haya unayoongea.

Huo ujenzi unamjengea nani kama huwezi kuwa na familia?

Sidhani kama una mke bali nahisi huu uzi ni zile.kampeni zenu za kiupinde za kataa ndoa.Mlitulia naona mmeanza tena.

Wapo wanaume marijali.wanapokea 150K kwa mwezi na familia zao zinaishi.vizuri tu kulingana na kipato chao.

Kama unafikiri.wewe ni straigt man basi kacheck hormones zako kuna kitu hakipo.sawa kwenye uanaume wako.
Mm nimeoa mkuu nafahamu mke anavyomaliza hela
 
Fanya hivi, tafuta hela moja kubwa:

  • nunua mchele 30kg
  • Gas kuwa na mtundi wa ziada jaza.
  • Kama una fridge weka vitu bulk...

Itakusaidia sana, ukimpa mwanamke hata 30,000 kwa siku kama hamna kitu ndani haitoshi.

Kuoa pia ni majukumu, kaongezeka mtoto na Mama yake, wewe unafikiri hela itaacha kupungua?
Nilioa na kipato changu akikua kikubwa nilinunua mtungi mdogo wa gesi unga kilo tano kwa weak mbili na kwa siku naacha elfu 5 tukimiss wali tunanunua mchele kiasi chake na maisha yalienda poa nikatafuta kiwanja na nikajenga japo aijaisha ila nina kwangu...kuhusu kodi majukumu kuzidi aangalie tu chumba anachoweza kukimudu na vyakula vya bei poa kesho nayo ni siku
 
Kweli mkuu umenena
 
Back
Top Bottom