Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?

  • Total voters
    53
Yaani 280,000 unalalamika mkuu tena kwamatumizi ya Dar mm natumia 600,000 tena kwa kujibana kweli kwa mwezi ndo natoboa nunua vitu sokoni vya week mfano Mabibo pale utaishi kwa amani na itapunguza kitu kidogo.

Ila sio kukimbia ndoa mtoto wa kiume nisawa sawa na kukimbia majukumu pambana ujana unamwisho.
 
Kwani vicoba sh,ngapi??

Sema amuelekeze mkewe apunguze matumizi yasiyo ya lazima,
Hana mke kaamua tu kupiga vita ndoa ki tafsida.
watu wanaojitambua na waliooa maisha yao yamekua yana mwanga kuliko walivyokua mabachela
kwanza ukiwa na mke gharama ya vyakula inakua ndogo kwasababu utanunua mahitaji atakua anapika nyumbani.

kwa sisi mabachela tunaokula migahawani tunajua ni jinsi gan ilivyo gharama kununua vyakula tena havieleweki alaf unakula Milo miwili tu kwa siku.
 
Kabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu .....

........., mimi kama mwanaume naweza kununua hata maandazi matano nikanywa na juice na siku ikaisha ila kwa mke

Nimegundua kuwa kuoa ni hasara kubwa sana duniani .....
Braza wewe hukua na hela hata kabla kuoa kwa jins ulivyochanganya lugha hapi juu.

Au umefiliska ila sababu si ndoa.

NB
UNapoleta kamba kamba hapa jukwaan uwe umejipanda.
Kuna sie ambao hatuna kaz zaid ya kusoma na kutafutiza uongo kwenye kkla ukwel 😂
 
Hana mke kaamua tu kupiga vita ndoa ki tafsida.
watu wanaojitambua na waliooa maisha yao yamekua yana mwanga kuliko walivyokua mabachela
kwanza ukiwa na mke gharama ya vyakula inakua ndogo kwasababu utanunua mahitaji atakua anapika nyumbani.

kwa sisi mabachela tunaokula migahawani tunajua ni jinsi gan ilivyo gharama kununua vyakula tena havieleweki alaf unakula Milo miwili tu kwa siku.
Kweli hamna ndoa hapa[emoji23]
 
Debe Moja ya Michele 60,000/=
Debe mbili za unga 50,000/=
Debe la maharage 50,000/=
Mafuta Lita Tano 20,000/=
Dagaa sado mbili 20,000/=

Viungo vya mboga na mboga au wakitaka kubadilisha mlo 7000/={per day } total 220,000/= Kwa mwezi

Sukari kilo nane 24,000/= mwezi mzima

Mkaa gunia 15000/=

Gesi 25000/=

Chumvi 3000/=

Unga wa ngano 15000/=

Viazi 15000/=

Total 517,000 /=

Kiufupi hapo kama mke Hana kazi mtafutie kazi akusaidie kama unaona hutaki afanye kazi komaa uongeze kipato

Hiyo Budget nimejaribu kupiga ni ya familia Ya watoto wanne pamoja na Baba na Mama na Bado Kuna vingi sijaviweka[emoji1787][emoji1787]

Usikimbilie ndoa kama hujajipangaa.
 
Back
Top Bottom