Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?

  • Total voters
    53
Ukiowa wewe kama kijana mume na binti mke mnatakiwa muache yale mliyokuwa mnafanya kama show off kwa jamii,kabisa muambiane coz maisha ya ndoa ni realty hayataki ubabaishaji wewe unalalamika vitu kama maandazi sijui nilikuwa sinunui vitu gani kabla ya muda fulani:ukiowa epuka hivi 👇🏿

(1)
Ulipokuwa single ulikuwa unakaa Sinza room moja kwa 60K leo umeowa utake kupanga Sinza hiyo hiyo upande mmoja wa nyumba kwa 180K na kipato ni kile kile wewe hutoboi.(hii wanayo vijana wengi sana wakiowa hupanua makazi yao huku wakisahau kama wanayalipia)
(2)Mkeo mlipokuwa wachumba kila week alikuwa anavaa nguo mpya kutokana na mfuko wako leo mmeowana mnaacha kupanga future yenu miaka kumi mbele itakuwaje bado mkeo ashindane na ma-slay queen kuvaa kipato kikiwa kile kile wewe hutoboi
(3)
Kupelekana kwenye starehe kipato kwa week 100K lakini unataka muende bar mbalimbali mjini zenye hadhi weekend unamwambia usipike tutoke mkienda bill ikija ndogo ni 80K na kipato chako hakijaongezeka wewe hutoboi
(4)
Kumbadilishia mkeo vitu vya thamani simu,saa,chain hereni handbags etc bila sababu za msingi huku kipato kikiwa kile kile wewe hutoboi.

Lessons;Mke uliyeamua kumpeleka kama ni kwa sheikh padre au mchungaji kwamba tumeamua sasa kujenga familia hadekezwi kwa vitu luxurious kama nilivyoorodhesha hapo juu,wewe mpe uhakika wa kwanza heshima yake (kwamba ni yeye tu mwenye thamani ya mapenzi kwako),uhakika wa kulisha familia mliyoianzisha na uhakika wa kuishi kama mwanamke smart,avae nguo nzuri ila siyo hizo za kila wiki pia uhakika wa malazi (nyumba) the rest utajiangusha mwenyewe.
 
Kabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu kwenye chakula, sikuwa mtu wa mawazo ya usumbufu wa kudaiwa daiwa vitu vya ndani kifupi nilikuwa naenjoy sana maisha yale hasa kwenye mambo ya kiuchumi yani sikuwa nakosa hela mfukoni.

Baada ya kuoa mwaka jana mwezi wa saba hali ikabadilika ghafla hela zikawa zinaishia kwenye chakula, mimi kama mwanaume naweza kununua hata maandazi matano nikanywa na juice na siku ikaisha ila kwa mke hutaweza kufanya hivyo itabidi utoe hela ya chakula na kwa maisha ya Dar sio chini ya elfu 10 kwa siku yaani kwa watu wawili mme na mke ukiwa na mtoto inaeza fikia mpka 20 kwa siku.

Kwahiyo kwa siku lazima 10 initoke kwa wiki elfu 70 mwezi 280,000, Mwaka 3,360,000. Hapo bado sijaweka umeme, maji, vocha, nauli za kwenda sokoni na kwenye mishe zangu na matibabu pia, bado kodi ambayo kwa mwezi nalipa 100,000. Kwahiyo chakula na kodi kwa mwaka ni 4,560,000 bado sijaweka vingine kwahiyo kwa mwaka ikanigharimu zaidi ya million 7.

Hapa nilipo hali imekuwa mbaya hasa njaa, hela zangu zimeisha kwasababu ya kuoa tu kwasababu tu ya kutaka kumiliki mbunye wakati sabuni zipo na oil na mimi sio mlevi wala mtu wa kuhonga.

Nimegundua kuwa kuoa ni hasara kubwa sana duniani sasa naomba ushauri nirudishe huyu mke ili niepuke hizi hasara ama nibaki nae kwasababu yakutaka kuwa na mbunye karibu nife maskini mwishowe.

Kama Diamond Platnumz mke amemshinda akaacha, Alikiba akaacha, Bill Gates kaacha mimi nitaweza vipi kuishi na mke ikiwa matajiri yamewashinda?
Kataa ndoa mkuu
 
Kula maandazi lengo kuepuka anasa, unafikiri MO anakula kuku choma kila siku sio
Nimeshindwa kuelewa ndoa imekufilisi vipi?hilo andazi wewe unaloliona siyo anasa yupo mtu analiona anasa na ana familia.

Mimi nilipokuwa sijaowa kwa siku nilikuwa natumia Tsh 10,000/= (miaka kumi nyuma) but nilipoowa kiasi kikawa hicho hicho kwa siku Ila leo nina watoto watatu baada ya kujiongeza na kuanza kununua mahitaji ya familia ya week nzima bado kwa siku naacha hiyo hiyo ten na sifilisiki.

Vijana wa hovyo mnafanya taasisi ya ndoa ionekane haifai kwa sababu hamjipangi mnapotaka kupanda step fulani ya maisha.
 
Achaaaaaaaa

Ndoa ni scammmmmmmmmmmm scammmmm original owner scammmmmmmmmmmm scammmmm original owner scammmmmmmmmmmm
 
Kama nisingekuwa naye sasa ningekuwa nishaanza ujenzi
Sijawahi kusikia mwanaume yeyote rijali,tajiri au masikini akiongea haya unayoongea.

Huo ujenzi unamjengea nani kama huwezi kuwa na familia?

Sidhani kama una mke bali nahisi huu uzi ni zile.kampeni zenu za kiupinde za kataa ndoa.Mlitulia naona mmeanza tena.

Wapo wanaume marijali.wanapokea 150K kwa mwezi na familia zao zinaishi.vizuri tu kulingana na kipato chao.

Kama unafikiri.wewe ni straigt man basi kacheck hormones zako kuna kitu hakipo.sawa kwenye uanaume wako.
 
ukioa jua ume ongeza familia na majukumu yale maisha ya kuishi geto rent 70/80k una yaacha unasogea kweny rent 150k/200k atleast utaweza pata nyumba ya sebule vyumba viwil etc.
kwenye chakula ile bajet ya ww mwezi mzima kutumia 100k ina badilika na kua atlest 200k_250k maana uko na wife + kid
ww mwenyew itahitaj kwenda kazin na kurud tenga bajet ya nauli
kuna emergency either kwa upande wako ama ukweni atleast uwe na 50k ya ziada kwa emergency kama hizo usije aibika

kaa na mkeo wekeni mikakati ya matumizi ya fedha kuanzia kodi ya mahala unapo ishi, chakula, usafir etc
jitahid kupunguza matumizi yako binafsi mfano ku hang out wknd na washkaji itakusaidia kusave
mkeo ndo mshkaji wako funga mkanda kijana

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Kabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu kwenye chakula, sikuwa mtu wa mawazo ya usumbufu wa kudaiwa daiwa vitu vya ndani kifupi nilikuwa naenjoy sana maisha yale hasa kwenye mambo ya kiuchumi yani sikuwa nakosa hela mfukoni.

Baada ya kuoa mwaka jana mwezi wa saba hali ikabadilika ghafla hela zikawa zinaishia kwenye chakula, mimi kama mwanaume naweza kununua hata maandazi matano nikanywa na juice na siku ikaisha ila kwa mke hutaweza kufanya hivyo itabidi utoe hela ya chakula na kwa maisha ya Dar sio chini ya elfu 10 kwa siku yaani kwa watu wawili mme na mke ukiwa na mtoto inaeza fikia mpka 20 kwa siku.

Kwahiyo kwa siku lazima 10 initoke kwa wiki elfu 70 mwezi 280,000, Mwaka 3,360,000. Hapo bado sijaweka umeme, maji, vocha, nauli za kwenda sokoni na kwenye mishe zangu na matibabu pia, bado kodi ambayo kwa mwezi nalipa 100,000. Kwahiyo chakula na kodi kwa mwaka ni 4,560,000 bado sijaweka vingine kwahiyo kwa mwaka ikanigharimu zaidi ya million 7.

Hapa nilipo hali imekuwa mbaya hasa njaa, hela zangu zimeisha kwasababu ya kuoa tu kwasababu tu ya kutaka kumiliki mbunye wakati sabuni zipo na oil na mimi sio mlevi wala mtu wa kuhonga.

Nimegundua kuwa kuoa ni hasara kubwa sana duniani sasa naomba ushauri nirudishe huyu mke ili niepuke hizi hasara ama nibaki nae kwasababu yakutaka kuwa na mbunye karibu nife maskini mwishowe.

Kama Diamond Platnumz mke amemshinda akaacha, Alikiba akaacha, Bill Gates kaacha mimi nitaweza vipi kuishi na mke ikiwa matajiri yamewashinda?

Laki 3 unakaa nayo miezi 3 kwenye chakula, sio kweli, hela kidogo sana hiyo
 
Mtu aliyekuwa akila maandazi 5 na juice ya 500 jumla buku kisha kwenda kupiga punyeto leo hii anatangaza kufilisiwa na mke.
Ahahahaha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu kwenye chakula, sikuwa mtu wa mawazo ya usumbufu wa kudaiwa daiwa vitu vya ndani kifupi nilikuwa naenjoy sana maisha yale hasa kwenye mambo ya kiuchumi yani sikuwa nakosa hela mfukoni.

Baada ya kuoa mwaka jana mwezi wa saba hali ikabadilika ghafla hela zikawa zinaishia kwenye chakula, mimi kama mwanaume naweza kununua hata maandazi matano nikanywa na juice na siku ikaisha ila kwa mke hutaweza kufanya hivyo itabidi utoe hela ya chakula na kwa maisha ya Dar sio chini ya elfu 10 kwa siku yaani kwa watu wawili mme na mke ukiwa na mtoto inaeza fikia mpka 20 kwa siku.

Kwahiyo kwa siku lazima 10 initoke kwa wiki elfu 70 mwezi 280,000, Mwaka 3,360,000. Hapo bado sijaweka umeme, maji, vocha, nauli za kwenda sokoni na kwenye mishe zangu na matibabu pia, bado kodi ambayo kwa mwezi nalipa 100,000. Kwahiyo chakula na kodi kwa mwaka ni 4,560,000 bado sijaweka vingine kwahiyo kwa mwaka ikanigharimu zaidi ya million 7.

Hapa nilipo hali imekuwa mbaya hasa njaa, hela zangu zimeisha kwasababu ya kuoa tu kwasababu tu ya kutaka kumiliki mbunye wakati sabuni zipo na oil na mimi sio mlevi wala mtu wa kuhonga.

Nimegundua kuwa kuoa ni hasara kubwa sana duniani sasa naomba ushauri nirudishe huyu mke ili niepuke hizi hasara ama nibaki nae kwasababu yakutaka kuwa na mbunye karibu nife maskini mwishowe.

Kama Diamond Platnumz mke amemshinda akaacha, Alikiba akaacha, Bill Gates kaacha mimi nitaweza vipi kuishi na mke ikiwa matajiri yamewashinda?
Nenda kaishi kijijini kodi kule ni 20000 tu.
 
Back
Top Bottom