Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?

  • Total voters
    53
Hii kitu nikweli kabisa watu wanasema ila hatuamini tunakuja kuona kwa macho
mkuu kwa kuwa ushaya vulia maji sharti uyaoge.chakufanya mfundishe shem wetu ujasiriamali ili shida ndogo ndogo muwe mnasaidiana kuzisove, ila br wangu ramani isha badilika amebaki pombe sana na mke kumfukuza hawez na ashamzalisha watoto kadhaa
 
Manaake ndoa yako ikidumu miaka mitano utakua umepoteza IST 5 duh. piga chini ukusanye ukusanye Ist zako ufanye uber
Hapa ndo panaponichanganya ina maana kwa miaka mitano ningekuwa nazo 5, ndo mana matajiri hawataki kuoa kama akina Mondi na wengine mana hela zinakatika
 
Bado kidogo maana kula hakukwepeki yani maisha lazima yaendelee. We pbana kuongeza kipato. Milion saba kwa mwaka ni kama 550000 kwa mwezi so kama hiyo inajumuisha chakula na kodi na mengine si nyingi mkuu. Je, ukiweka mtoto na mtoto awe anasoma shule za saint mzungu si utakodisha gari la PA ulalamike mtaa mzma?
Atakimbia familia huyu[emoji28][emoji28]
 
Hapa ndo panaponichanganya ina maana kwa miaka mitano ningekuwa nazo 5, ndo mana matajiri hawataki kuoa kama akina Mondi na wengine mana hela zinakatika
Mkuu kwako ni pesa na matumizi ila wanawake wana chagamoto nyingi zaidi ya pesa, na kuambia ukweli, ukiwa na pesa ni mtihani zaidi kuliko yule asio kua na pesa.
 
Nikiri kuwa mke wangu ndiye alianza kunipenda na sikuwa na ndoto ya kuoa karibuni cuz kama ilivyo kwa vijana wengi ambao wanaanza maisha.

Ila huyu mwanamke aliniletea wazo la kuwa tufunge ndoa.Nikijicheki maisha yangu yalikuww ya kuunga unga sina kitu mfukoni. Ila cha ajabu mwanamke akasema usijali, pesa ya mahari nitakupa mimi ,ww nenda nyumbani kwetu kanipose. Nilistuka sana .Wasiwasi wa shetani ukaniingia mno kunikatisha tamaa juu ya suala la ndoa.Nikaanza kufikiria nitamhudumia vipi huyu mwanamke ,vipi tukipata watoto n.k

Nikawa nasita ila yeye akanipa ujasiri zaidi na kunitaka niende.Kweli kidume nikaenda na washenga zangu nyumbani kwa binti.Nikapokelewa,nikaeleza lengo langu,wakanielewa. Mahari ikatajwa, binti akanipa pesa....nikalipa.

Mwishowe harusi ikafungwa, nikaoa...nikiwa sina pesa wala kazi ya kueleweka ila cha ajabu baada ya ndoa kila kitu kilibaki kuwa ni historia.Pesa zikaja zenyewe na maisha yakasonga kama kawaida.

Sasa ni miaka zaidi ya 10 tupo kwenye ndoa na tumebarikiwa watoto.

Usikatae ndoa,ndoa ni baraka. Mungu hakutwishi mzigo usioweza kuubeba.
Kweli una historia kubwa ndugu
 
Mmh!!! wewe ulioa au uliolewa? Kwahiyo hali ina onekana wewe ndo unaosha hata viombo na kufua nguo za mkeo loh!!!!!
 
Mimi sijakuelewa umefilisika nini? Ulikuw na mali za kias gan au kwa siku mapato yako yalikuwaje? Ulikuw na vyanzo vya mapato vingap ambavyo ndoa imefilisi jaribu kufafanua hapo
 
Amesababisha pesa zangu ziishe kwa kasi wakati kabla ya kuoa hela ilikuwa imetulia mfukoni mwaka mzima na haya yamesababishwa na matumizi ya ndani vyakula na mauchafu mengine
 
Back
Top Bottom