Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Chai Ya Mlonge Mbovu
Hakuna Doctor HapoDaktari, ulipitaje medical school kwa akili hii? Unahitaji kuonwa na psychiatrist. Sidhani kama uko sawa mentally. Inanukia kama chai lakini.
😁😆😄Wasanii wa kike wa Bongo Movie wapo wapi wake waichukue hi script wakatengeneze movie wapige nayo hela
BTW,nakushauri piga chini huyu chawa wako endelea na shughuli zako atakuja mwingine atakayekidhi vigezo vyako
😃😀😆😁😄😅🤣😂😂😆😁😄😃😀😅😆😁Maake hapo kwanza ncheke....
Hiki Sasa Ndiyo Kikombe Cha Bati Halafu Chai Mbovu Ya MotoView attachment 2174099Foo kabisa 😅😅😅
Dah ama kweli wee elimu haijakusaidiaHello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu
Sio, Chai Jaba.?Tatepa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2174099Foo kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]
Siamini, hii ni story tu. Kama ni kweli, basi umechanganyikiwa.Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye
Dada, tubu na urudi kundini (kama ni Mkristo), hiyo miaka 4 ya kwenye mahusiano maana yake mlianza mahusiano na ukiwa 23 yrs. Hadi umefika 27 yrs hujafahamu kama huyo jamaa ni mume au mwanaume?Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya
Pamoja na kufanya kazi na NGO za kimataifa lakini naona akili ni ya kijijini.Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.