Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko
Kwa ni kipim kinachokufanya wewe uvimilie ata kwa kukuvunjia sheria. acha kuudanganya ulimwengu wa njee ukweli utabaki kuwa ukweli hakupendi ndio maana ana nguvu za kukudanganya kukuletea wanawake ndani usitake kuforce mahusiano yakayokuumiza kesho yako ili tu uwalidhishe nyumbani fanya maamuzi kwaajili ya kesho yako
 
Umetuona sisi ni maboya wa kutunywesha hii chai?
 
Nadhani utakua Daktari wa mijusi kama uwezo wako wa kuchambua na kutafakari umeishia hapo
 
Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye
Hata sijamaliza kusoma natamani hata mpalange awe amuachana chana kisokolokwembe pumbavu
 
Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu
Duh,we kwelii umekwama. Umelogwa wewe si bure,stuka
 
Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.

Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.

Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.

Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
Chai ya iliki hii
 
Unajiona una akili sana, kumbe f*rah tu.
1649017611913.png

Natamani ingekua chai my dear, but its my reality
 
Ukamlipia hotel yeye na mwanamke wake? Umejinunulia pete? Umejilipia mahari? Unajipost mitandaoni kwa account fake?

Well, you are not only very stupid, you need your head examined. You have lost your mind completely
 
Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.

Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.

Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.

Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
PIGA CHINI HUYO UMBWA

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kulea bomu, mpaka siku litakapokulipukia. Unataka MUNGU akuoneshe vipi kwamba huyo sio mumeo. Acha kuwa kipofu kwa jambo lililowazi. Muda haurudi nyuma.
 
Back
Top Bottom