jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Achana nae, ngono za hovyo hazichelewi kukutoa kwenye malengo na hata ukukatafuna hakuna kitu utapata ni kujilisha upepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Kama kweli wee umebaki peke yako kwenye stoo ya wanawake wajinga.
We usikute moyo na akili vyote hauna,labda ufuate kibofu chako #NoShadesHello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.
Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
Dada usijiingizie shida ya kudumu kansa hiyoHello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.
Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
Pumbaf kabisa,Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.
Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
Anaelimisha au anapiga hela...thru vitabu na hizo chai [emoji848]yule ni mtunzi tu kama watunzi wengine ana kipaji cha utunzi mzuri na yupo kwaajili ya kuelimisha jamii kupitia utunzi wake.
Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.
Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
Mimi now namsoma napita kimya kimyaYule nilimstukia baada ya kuona vitu vinajirudia rudia
Mara ya mwisho ni juzi , kuna mtu nimemueleza kuwa "mdada akipenda anapenda kweli" .Very sorry binti nakosa neno gani sahihi kwa huyo jamaa but kwa mda wa miaka minne, kiuhalisia na kihisia angekuwa mtu wa kubadilika ashabadilika na mshaendelea na future yenu ila mpaka hapo, ameshindwa kubadilika na hawezi tena .Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.
Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
vyote vyote mkuu hata shigongo alianzia huko😂😂😂Anaelimisha au anapiga hela...thru vitabu na hizo chai [emoji848]
Dah umesema wewe ni daktari?akili zako umeuza au?Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.
Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
Tumedangwa hapa, kwamba alilipia room ye na mwanamke wake halafu akaenda kwake kupiga picha tu😂😂😂😂😂Tumia Moyo maana huna akili
Nikuambie kitu huyo jamaa hajaweza kujitambua hayo anayokufanyia ni treilor bado atakuja kukufedhehesha sana mkishafunga ndoa.Yaani njemba umgharamikie kila kitu akufanyie unyanyasaji wa namna hiyo? Piga chini uangalie ustaarabu wako mwingine.Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.