Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PambafffffffHello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.
Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
Pole sana. Je umelidhia kuwa mke wa pili?, Au nini mipango yake huyo ndugu.mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Mrejesho 😁👀👀👀Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.
Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
Wewe sio Hanifer Mjanja, bali Hanifa Mjinga. Unaziniwa mwaka wa nne sasa, na unafurahia. Kwa nini msifunge ndoa?Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.
Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
Hata Iddi Makengo hawezi kuandika stort ya hiviHakunaga utumbafu wa kiwango hiki hata kama wewe ni zezeta, yaani eti ulipie safari ya Zenji halafu aje na mwanamke wake wewe uishie kupiga picha!?. Unatuonaje lakini kutupiga fix za kitaahira 'namuna' hii??[emoji24]
ChaiHello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.
Namfanyia kila kitu ila ni mtu wa wanawake mpaka nachoka, anaweza kuongea na wanawake wengine mbele yangu bila kujali hisia zangu. Najaribu kuigiza kwenye mitandao, mpaka kufikia hatua nimefungua account Instagram kwa jina lake, najipost kwenye ukurasa wake ili watu wajue tu kuwa nina furaha. Ninajinunulia zawadi, nalipia tutoke out naye ili tu watu wajue ananijali lakini hakuna kitu, nimechoka na sijui nifanye nini.
Mwezi uliopita nilimpeleka kwetu, nikajilipia mahari, nikanunua pete na kugharamia kila kitu ili tu anioe kwani nyumbani kila siku wananipigia kelele kuhusu ndoa. Baada ya kuvalishana pete nikamuomba tuende Zanzibar, mimi nikalipia kila kitu lakini akagoma kwenda, kwakua nilishawaambia marafiki zangu nilimbembeleza sana akakubali ila kwa sharti aende na mwanamke wake.Nilikubaliana na sharti lake, nikamlipia hoteli yeye na mwanamke wake, akalala naye mimi nimelala mwenyewe yeye akaja kwangu kupiga picha tu.
Nimerudi niemchoka, najihisi kuchanganyikiwa kwani anataka kunioa ila sioni kama nitakua na furaha. Nilikua naamini kuwa labda atabadilika ila kila nikitafakari, akili inaniambia hakuna kitakachobadilika, ila moyo hautaki. Mama yangu anampenda, ndugu zangu wanampenda, wanajua amesoma kumbe ni darasa la saba, wanajua na kazi nzuri kumbe hata gari anayoendesha na kuzunguka wanawake zake ni yangu, nisaidieni ushauri nifanye nini? Niufuate moyo wangu au akili yangu?
Acha ujinga kimbia kimbia hapo unachunwa tu hakuna mapenzi mwanaume anasaidiwa lakini sio kwa kiwango hicho acha kujivika majukumu ambayo sio ya kwako,amkaHello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni mwaka wa nne sasa. Mimi ndiyo namhudumia kwa kila kitu tunaishi kwangu lakini Kaka nalazimika kuigiza kuwa naishi kwake ili tu kumlindia heshima yake.