Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

NecZec

Member
Joined
Jan 23, 2019
Posts
68
Reaction score
119
Mimi na mpenzi wangu tuliyeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili tuliachana baada ya mwanamke huyo kuanza visa na akaenda nyumbani kwao. Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa mali akiongozwa na wakili mmoja hivi ambae ni ndugu yake.

Moja ya mali ni nyumba ambayo mahakama imeona tumechuma pamoja lakini mahakama hiyohiyo amejiridhisha kuwa kiwanja ni mali yangu peke yangu. Sasa mahakama imeagiza nyumba iuzwe tugawane kwa asilimia ambazo mahakama imeziona. Mimi sitaki kuuza kiwanja changu ambacho mahakama pia imedhibitisha kuwa ni mali yangu pekee yangu ila nyumba ambayo imejengwa ndio imeonekana tumechangia kujenga na huyo mwanamke.

Je hii hukumu itatekelezeka vipi kisheria maana ndio tunasubili uthamini?
 
Dah pole sana bro NecZec .

Mm Sio mwanasheria

1. Tathimini ikitoka means mgawanjo ww utapata 2/3 (una Kiwanja na nusu ya thaman ya nyumba)

2. Subiri tathmini alaf ukae mezan na huyo mtalaka wako ili ww umlipe kias chake 1/3 kama hela , ila nyumba usiuze.

Sometimes sio kila vita inabidi upigane, nyingne unaona kabisa ukipigana utashindwa na unapotezana kabisa .
Kuwa mpole , cheza na akili, bidada akubali ili ww umlipe hela bila kuuza nyumba.
 
Dah pole sana bro NecZec .

Mm Sio mwanasheria

1. Tathimi ikitoka means mgawanjo ww utapata 2/3 (una Kiwanja na nusu ya thaman ya nyumba)

2. Subiri tathmini alaf ukae mezan na huyo mtalaka wako ili ww umlipe kias chake 1/3 kama hela , ila nyumba usiuze.

Sometimes sio kila vita inabidi upigane, nyingne unaona kabisa ukipigana utashindwa na unapotezana kabisa .
Kuwa mpole , cheza na akili, bidada akubali ili ww umlipe hela bila kuuza nyumba.
Asante
 
Ukikaa na mwanamke kwa muda fulani huku mkipeana huduma za wanandoa kisheria inahesabika mpo kwenye ndoa hata kama hamjafunga ndoa rasmi.
Najua, sasa wao watathibitishaje kuwa alikuwa anakaa kila siku?.

Mm ntasema nilikuwa silali nae. Anakuja na kuondoka, mahakama sasa au yeye alete mashahidi kuwa alikuwa analala na mm
 
Dah pole sana bro NecZec .

Mm Sio mwanasheria

1. Tathimini ikitoka means mgawanjo ww utapata 2/3 (una Kiwanja na nusu ya thaman ya nyumba)

2. Subiri tathmini alaf ukae mezan na huyo mtalaka wako ili ww umlipe kias chake 1/3 kama hela , ila nyumba usiuze.

Sometimes sio kila vita inabidi upigane, nyingne unaona kabisa ukipigana utashindwa na unapotezana kabisa .
Kuwa mpole , cheza na akili, bidada akubali ili ww umlipe hela bila kuuza nyumba.
Exactly, na hapo mwanamke anatakiwa alipwe at least 26% ya thaman iliyokadiriwa
 
Back
Top Bottom