AsanteDah pole sana bro NecZec .
Mm Sio mwanasheria
1. Tathimi ikitoka means mgawanjo ww utapata 2/3 (una Kiwanja na nusu ya thaman ya nyumba)
2. Subiri tathmini alaf ukae mezan na huyo mtalaka wako ili ww umlipe kias chake 1/3 kama hela , ila nyumba usiuze.
Sometimes sio kila vita inabidi upigane, nyingne unaona kabisa ukipigana utashindwa na unapotezana kabisa .
Kuwa mpole , cheza na akili, bidada akubali ili ww umlipe hela bila kuuza nyumba.
Hatukufunga ndoa
Ukikaa na mwanamke kwa muda fulani huku mkipeana huduma za wanandoa kisheria inahesabika mpo kwenye ndoa hata kama hamjafunga ndoa rasmi.Kwan uko wap?
Mpenz unagawana nae Mali?.
Kwan mmezaa?.
Kukaa tu miaka miwili tu ndio wamekushindia.
Aisee kata Rufaa. Kesi isogee mbele.
Mm nikajua ni mke wa ndoa
bora uoe unakila kitu,ili kama akizingua aende kama alivyokuja
Najua, sasa wao watathibitishaje kuwa alikuwa anakaa kila siku?.Ukikaa na mwanamke kwa muda fulani huku mkipeana huduma za wanandoa kisheria inahesabika mpo kwenye ndoa hata kama hamjafunga ndoa rasmi.
Exactly, na hapo mwanamke anatakiwa alipwe at least 26% ya thaman iliyokadiriwaDah pole sana bro NecZec .
Mm Sio mwanasheria
1. Tathimini ikitoka means mgawanjo ww utapata 2/3 (una Kiwanja na nusu ya thaman ya nyumba)
2. Subiri tathmini alaf ukae mezan na huyo mtalaka wako ili ww umlipe kias chake 1/3 kama hela , ila nyumba usiuze.
Sometimes sio kila vita inabidi upigane, nyingne unaona kabisa ukipigana utashindwa na unapotezana kabisa .
Kuwa mpole , cheza na akili, bidada akubali ili ww umlipe hela bila kuuza nyumba.
Hana haki ya kuchukua chochote kwako, nenda ofisi yoyote ya wakili atakusaidia.Hatukufunga ndoa